Duuuh, kweli wanawake wengine!

Duuuh, kweli wanawake wengine!

Aiseeee kama ni mtihani, sijui huo ni cpa?
Hekima za kimungu zikuongoze mkuuu uepukane na hilo balaaa....

Mkuuu kama una girlfriend wako ungemualika hom leo, alafu huyo mke wa rafik yako umtambulishie...
 
Kula vitu,unaweza kumwambia rafiki yako na huyo binti akasema ulimuita na umeshafanya nae mapenzi sk nyingi,na huo itakuwa mwisho Wa urafiki na best yako .kesi itakurudia
 
Anko usije jaribu kumla huyo shem wako tafadhal sana.... Fikiria ka rafiki yako akijua Itakuaje maana dunia ndogo hii na hakuna siri ya watu wawil
Ahsante Mkuu,hapa wazo langu kuu ni kwenda kulala hoteli nimuache hapa alale tu,japo sijui matokeo yake yatakuwaje!!!!
 
usimege kaka,hata kama baadae itatokea hali ambayo ni ya kukuchafua uongo ni uongo tu na utajitenga pembeni,na ukweli utajulikana but cha kufanya kwa sababu unaeza amua usifanye nae chochote na analala kwako either na wewe ukiwepo au kutowepo kwa nyumba hiyo ni vizuri ukamjulisha huyo jamaa yako kilichotokea kwa usalama wako na usalama wa urafiki wenu.huezi jua lolote linaeza tokea.me naamini hyo ndo namna ya kuepuka hilo janga.ya mungu mengi huyo ni shetani,sali sana na epuka hayo majaribu.kua clean na kila kitu utaona kiko sawa.
 
Kula vitu,unaweza kumwambia rafiki yako na huyo binti akasema ulimuita na umeshafanya nae mapenzi sk nyingi,na huo itakuwa mwisho Wa urafiki na best yako .kesi itakurudia
Sasa nikifanya naye halafu jamaa akajua si ndo itakuwa mbaya zaidi?najiuliza endapo nkienda kulala hotel madhara yake yatakuwaje?nshauri kwa hilo ndugu waonaje?
 
Aiseeee kama ni mtihani, sijui huo ni cpa?
Hekima za kimungu zikuongoze mkuuu uepukane na hilo balaaa....

Mkuuu kama una girlfriend wako ungemualika hom leo, alafu huyo mke wa rafik yako umtambulishie...
Anamfahamu vizuri mchumba wangu,wanawasiliana sana tu,ila msichana wangu mimi anaishi Mbeya!!!
 
Usimsaliti rafiki yako mkomeshe huyo shemeji yako kwa kumuita mchumba wako hapo nyumbani umtambulishe kuwa ni mke wa rafiki yako kapitia kuwasalimia so unataka wafahamiane naamini atakuaga tu hawezi kulala hapo na umlazimishe mchumba ako abaki mlale wote ataona sasa njama zake zimekufa
Ndugu yangu,huyu shemeji yangu wanafahamiana vizuri kabisa na mchumba wangu,na wanawasiliana sana tu,na mchumba wangu anaishi Mbeya!!!
 
Bora umenisaidia aisee,SITAKI KABISA KUMSALITI RAFIKI YANGU,naona muda unazidi kwenda,shemeji yangu amesinzia hapa kwenye kochi,na mimi sijapata kujua haswa nifanye nini,jamani nikienda kulala hotelini nikamuacha hapa,yaweza kuleta madhara hasi??
afu we kiazi nshaona unataka kumsaliti rafiki yako sasa ukiondoka unahisi madhara hasi yatoke wapi?we ni mwanaume mkuu ndo mana una kifua hicho kifua kipo kwa ajili ya maamuzi magumu kama hayo hawa wadada ukiwaendekeza utapotea
 
usimege kaka,hata kama baadae itatokea hali ambayo ni ya kukuchafua uongo ni uongo tu na utajitenga pembeni,na ukweli utajulikana but cha kufanya kwa sababu unaeza amua usifanye nae chochote na analala kwako either na wewe ukiwepo au kutowepo kwa nyumba hiyo ni vizuri ukamjulisha huyo jamaa yako kilichotokea kwa usalama wako na usalama wa urafiki wenu.huezi jua lolote linaeza tokea.me naamini hyo ndo namna ya kuepuka hilo janga.ya mungu mengi huyo ni shetani,sali sana na epuka hayo majaribu.kua clean na kila kitu utaona kiko sawa.
Nashukuru kwa ushauri wako ndugu yangu,nahofia kumwambia jamaa kwa sababu nahisi anawezafikiri kuwa nawagombanisha,na jamaa anamuamini sana mchumba wake kwa kweli
 
Ameelekea kibura mwenyewe huyo, lkn usisahau kutumia condm...
 
Huyo shemu si mwaminifu tena......hata ukimushit hawezi acha tabia chafu....cha kufanya stay away from her na umpeleke Guest ya karibu...then kesho mpe nauli arudi Dom.....akiendelea mjulishe mdau......ni vzr kuvunja uhusiano na huyo shemu kuliko rafiki yako..u will remain mshindi na mfalme km utafanya hivo.
 
Mkuu pole sana asee jaribu kuondoka zako kalale kwingine ukijaribu kufanya chochote nafsi yako itakusuta sana sana na dhambi ya usaliti inatesa sana kaka angu yangu ni hayo tu
Dah ukute jamaa anajitahidi kumpenda huyo mdada ila ndo hivyo maskini weeee.
 
Tafuta hoteli usiku ukalale huko, mwachie nyumba hata kama una vyumba vingi. Kesho asubuhi Moe nauli arudi kwake, muambie ajiheshimu na kuiheshimu Familia yake.
Kulala na mke/mume wa mtu wala sio dili japo kuna wengine wanajisifia kabisa na kuona hakuna ubaya wowote kulala na mume/mke wa mtu.
 
Huyo mtu toka unawasiliana naye anaonekana tu anataka dyudyu..Sasa we sijui ambacho haukukielewa ni kipi mpaka ukamkaribisha..Au ulikuwa unataka ushahidi???....We Dada kaa hapohapo usiondoke bila kupewa Dushe
Mpaka ana mpokea stendi hakujiuliza...anazuga tu..
 
aiss...siyo kwa hii njaa niliyo nayo kwa kweli!huku ni kutafutiana lawama...
 
kamua kaka kamua...kamua usione hurumaaaa....
 
Sppamoja ya kwamba namheshim sana mke wangu sinaga tabia ya kuvumilia wanawake kiasi hiki aisee. We piga mambo mataokeo utajua mbele kwa mbele mi hata angekuwa mke wa kaka yangu wa dam kwa mazingira hayo nikimuacha mizimu ya Kipare lazima iniadhibu.

Duc in Altum
 
Back
Top Bottom