dah tumejisahau sana wana jf, kila mwanadamu ana kasoro zake na hakuna aliyetimia.Mungu amemuumba kila mwanadamu kwa kusudio lake sa kama ww unamuona hajatimia hata wewe nafikiri unamapungufu zaidi ya yeye.siasa na maumbile yake ni tofauti tumkosee kwa utendaji wake lakini si maumbile yake hata yeye hajapenda awe hivyo.
Kama sura yake inakupendeza, nenda kanywe naye chai!lol
tuacheni utoto humu
Not a good joke!!Hujafa hujaumbika!!
kwani kilemaa? Acheni hizo bana,kuna shida gani pale?