kantalambazi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 2,010
- 650
Ngoja tu tuone km ni vinginevyo lkn kwa sasa yale waliyoyataka yanafanywa na mtu mkali km walivyotaka.Hahahaha
Hapo ume assume tu lakini
Ngoja tu tuone km ni vinginevyo lkn kwa sasa yale waliyoyataka yanafanywa na mtu mkali km walivyotaka.Hahahaha
Hapo ume assume tu lakini
upinzani hakuna ndugu yangu...wapiga diliPamoja na matumizi ya dola,ni wazi kuna udhaifu/kujisahau kwa wapinzani kwa kiasi fulani.Hii ni hatari sana.
Kwa mfano,hivi wapinzani wangeita waandishi na kuhoji kuhusu yanayoendelea huko Chato wangekamatwa?
Mfano mwingine.Kwa kutumia lugha ya kawaida tu wakahoji ni kwanini Bodi haijapeleka fedha vyuoni mpaka wahitimu wananyiwa fedha watakamatwa?
Wanachotakiwa wapinzani kwa sasa ni kutumia lugha ya kawaida tu mradi ujumbe ufike.
mimi nafikiri hakuna haja ya wapinzani kuongeaongea,huu ukimya kama ni coincidence au ni mipango yao naona ni bora sana maana itafika mahali watu waliochoka kwa hiyari yao watawahitaji wapinzani maana kila mtu ataguswa zamu yake ikifika.Pamoja na matumizi ya dola,ni wazi kuna udhaifu/kujisahau kwa wapinzani kwa kiasi fulani.Hii ni hatari sana.
Kwa mfano,hivi wapinzani wangeita waandishi na kuhoji kuhusu yanayoendelea huko Chato wangekamatwa?
Mfano mwingine.Kwa kutumia lugha ya kawaida tu wakahoji ni kwanini Bodi haijapeleka fedha vyuoni mpaka wahitimu wananyiwa fedha watakamatwa?
Wanachotakiwa wapinzani kwa sasa ni kutumia lugha ya kawaida tu mradi ujumbe ufike.
Upinzani gani utakao upata hapa,Natamani upinzani ila kwasasa sioni chama cha upinzani thabiti...
Kila mtu na msalaba wakeKwa sasa kila mmoja analia kivyake kutokana hali ilivyo kwenye nchi yetu. Popote unapokuwa utalalamika kwa aina yoyote upendayo kutokana na kazi unayofanya. Uwe MWANASIASA, MKULIMA, MTUMISHI WA SERIKALI, AJIRA BINAFSI, AJIRA KWENYE SEKTA BINAFSI N.K utalalamika kwa hali uonayo kwenye eneo lako. Uvumilivu na subira inatubidi tuvishike kwa magego ili kupata salama kwenye nchi yetu ya AHADI
acha kudanganya wewe,umeongea mara ngapi toka Magufuli achukue nchi,mbona una dunda tuUjue hii nchi sasa imefika stage kila mtu hajui afanye nini. Na kila anaye ongea hajui kesho kitampata nini.
Tuko kwenye mida migumu kweli
Umuhimu wao upo lakini wasubirie kuhoji baada ya miaka 10 kama history kwa sasa hawawezi washaingia baridi lete mdomo hujui sheria unasweka ndaniMm nashukuru,kama mmeona umuhimu wao,mpaka mnataka wahoji ujenz huko chato,bodi kuchelewa kupeleka fedha.wanaumuhimu wao.
Uongoz wowote,ukiwa mpya unakujaga na mambo mapya mengi,baada ya muda mambo ya zaman yanaendelea.kwahiyo haya anayofanya mjomba ni upya tu.Umesahau Kwamba Mzee BABA alikataza maandamano
Naunga Mkono hojaHata sisi tuliowengi tungependa kuona TUNA UPINZANI ULIO IMARA NA MADHUBUTI WENYE MALENGO THABITI ya kupambana na SERIKALI VILIVYO ili NCHI HII ipate maendeleo yanayo stahili...
HONEST INA HUZUNISHA SANA KUONA AINA YA UPINZANI TULIO NAO NDANI YA NCHI HII KWA SASA......