Aiseeeh si kawaida kabisa kwa tunayoyaona yanatokea kwa sasa ndani ya nchi yetu juu ya Baadhi ya Wanasiasa maana wapo kimya tofauti na tulivyowazoea.
Mfano mdogo ni mzee wetu Edo. Si kawaida kabisa kuona yupo kimya hajapita pita mahali na kuongea for almost two weeks sasa. Je hii inaashiria nini?
Kwa upande wa CHADEMA napo hali si shwari kabsa. Kimya kimezidi mno kupita maelezo. Hii inaashiria hali tete na pumzi imekata. Ni aibu chama kikubwa kama CHADEMA kutokuwa na PLAN B ya kupambana na SERIKALI baada ya PLAN A kushindwa kabsa kufanya kazi. Hiki ni kiashiria kimoja kikubwa kuwa hawa bado sana kuwa tayari kuongoza nchi.
USHAURI:
Wale vijana wenye mapenzi mema na hiki chama hebu pazeni sauti zenu kwa kuanzisha HASHTAG na kuprint fulana za kuhimiza reformation ya hiki CHAMA na ikiwezekana hata Maandamano ili tuone na reaction ya chama juu ya maandamano yakitokea upande wao ni hatua zipi wanazozichukua isiwe maandamano ni kwa Serikali tu.
Hata sisi tuliowengi tungependa kuona TUNA UPINZANI ULIO IMARA NA MADHUBUTI WENYE MALENGO THABITI ya kupambana na SERIKALI VILIVYO ili NCHI HII ipate maendeleo yanayo stahili...
HONEST INA HUZUNISHA SANA KUONA AINA YA UPINZANI TULIO NAO NDANI YA NCHI HII KWA SASA......