Duuh kweli Magufuli ni balaa, hata huyu?

Ukweli utajitokeza tu. Mwaka moja tu umepita na mambo tayari tete. Tusubiri tu. Mafuta yatajitenga na maji.
 
Akili za wapinzani lazima zipigwe ganzi maana mirija yao ya hela imeminywa..Mwafaa![emoji23][emoji23]
Kuwa mkweli wanaporwa shughuli zao za uchumi kama tulivyoporwa viwanja vya michezo n majengo tuliyojenga wote tukaambiwa ni mali ya CCM.

KIMYA PIA NI JIBU
 
Aiseeeh si kawaida kabisa kwa tunayoyaona yanatokea kwa sasa ndani ya nchi yetu juu ya Baadhi ya Wanasiasa maana wapo kimya tofauti na tulivyowazoea.

Mfano mdogo ni mzee wetu Edo. Si kawaida kabisa kuona yupo kimya hajapita pita mahali na kuongea for almost two weeks sasa. Je hii inaashiria nini?

Kwa upande wa CHADEMA napo hali si shwari kabsa. Kimya kimezidi mno kupita maelezo. Hii inaashiria hali tete na pumzi imekata. Ni aibu chama kikubwa kama CHADEMA kutokuwa na PLAN B ya kupambana na SERIKALI baada ya PLAN A kushindwa kabsa kufanya kazi. Hiki ni kiashiria kimoja kikubwa kuwa hawa bado sana kuwa tayari kuongoza nchi.

USHAURI:
Wale vijana wenye mapenzi mema na hiki chama hebu pazeni sauti zenu kwa kuanzisha HASHTAG na kuprint fulana za kuhimiza reformation ya hiki CHAMA na ikiwezekana hata Maandamano ili tuone na reaction ya chama juu ya maandamano yakitokea upande wao ni hatua zipi wanazozichukua isiwe maandamano ni kwa Serikali tu.

Hata sisi tuliowengi tungependa kuona TUNA UPINZANI ULIO IMARA NA MADHUBUTI WENYE MALENGO THABITI ya kupambana na SERIKALI VILIVYO ili NCHI HII ipate maendeleo yanayo stahili...
HONEST INA HUZUNISHA SANA KUONA AINA YA UPINZANI TULIO NAO NDANI YA NCHI HII KWA SASA......
Anzisha chama chako imara tukufuate. Vinginevyo funga domo lako
 
Pamoja na matumizi ya dola,ni wazi kuna udhaifu/kujisahau kwa wapinzani kwa kiasi fulani.Hii ni hatari sana.

Kwa mfano,hivi wapinzani wangeita waandishi na kuhoji kuhusu yanayoendelea huko Chato wangekamatwa?

Mfano mwingine.Kwa kutumia lugha ya kawaida tu wakahoji ni kwanini Bodi haijapeleka fedha vyuoni mpaka wahitimu wananyiwa vyeti watakamatwa?

Wanachotakiwa wapinzani kwa sasa ni kutumia lugha ya kawaida tu mradi ujumbe ufike.

Upinzani muwe flexible ili kutompa mtu fulani sababu na zaidi mtapata advantage ya kuufahamisha umma ni nini kinaendelea katika nchi yetu.

Msisahau hata mkitumia lugha za kistaarabu wao watawachokoza kwa kuwapiga vijembe/kutumia lugha mbovu na kuwakashifu ili tu kuwatia hasira ili nanyi mjibu kwa lugha mbaya na kisha wapate sababu ya kuwakamata.

Watawabeza/watawakejeli kuwa mmetia adabu, n.k(kwa watu wasio na foresight) ila muda ndio utakaosema ni nani katiwa adabu as long as ujumbe unaifikia jamii(hapa ni the end justifies the means).

Kuna msemo: ukila na kipofu,usimshike mkono.
point kubwa siyo lazima ubwatuke ndio usikikeee
 
Na wewe ni mpinzani kwa mawazo yako simama useme yanayokukela kama mtanzania. Nashangaa kwa nini unasubiri mtu mwingine akusemee?
Huyo unayemsubiri naye anawakati wake wa kusema. Huridhiki sema wewe maana sheria si inakulinda?
 
Kuwa mkweli wanaporwa shughuli zao za uchumi kama tulivyoporwa viwanja vya michezo n majengo tuliyojenga wote tukaambiwa ni mali ya CCM.

KIMYA PIA NI JIBU
Na Nyie Piganieni Uhuru, Nyang'au Sana TANU Walipokuwa Wanapigania Uhuru Ninyi Vyama Uchwara Mlikuwa Wapi ?
 
Kwa sasa kila mmoja analia kivyake kutokana hali ilivyo kwenye nchi yetu. Popote unapokuwa utalalamika kwa aina yoyote upendayo kutokana na kazi unayofanya. Uwe MWANASIASA, MKULIMA, MTUMISHI WA SERIKALI, AJIRA BINAFSI, AJIRA KWENYE SEKTA BINAFSI N.K utalalamika kwa hali uonayo kwenye eneo lako. Uvumilivu na subira inatubidi tuvishike kwa magego ili kupata salama kwenye nchi yetu ya AHADI
Hata CCM wanalalamika
 
Sasa Hivi Kila Mtu Anamwogopa Magufuli, Hakuna Cha Kamanda Wala Nini - Ukimbip Magu Battle Utakalopata Utamsimulia Mkeo Kudadeki, Kama Huamini Muulizie Lema, Mbowe Na Maalim Seif
 
Upinzani tangu zamani walikuwa bado hawajajipanga kuing'oa sisiemu na ndio maana walikodisha mgombea wa urais
Kama wapinzani hawaja jipanga mbona wakati wa uchaguz mnakamata watu isiku kucha. Kama uchaguzi wa 2015. February makamba alijiona kama atakuwa wazir mkuu anapita na polisi kukamata vijana wengi mkisema. Eti. Wana ingilia uchaguzi kwa kutumia. Computer.
 
Pamoja na matumizi ya dola,ni wazi kuna udhaifu/kujisahau kwa wapinzani kwa kiasi fulani.Hii ni hatari sana.

Kwa mfano,hivi wapinzani wangeita waandishi na kuhoji kuhusu yanayoendelea huko Chato wangekamatwa?

Mfano mwingine.Kwa kutumia lugha ya kawaida tu wakahoji ni kwanini Bodi haijapeleka fedha vyuoni mpaka wahitimu wananyiwa vyeti watakamatwa?

Wanachotakiwa wapinzani kwa sasa ni kutumia lugha ya kawaida tu mradi ujumbe ufike.

Upinzani muwe flexible ili kutompa mtu fulani sababu na zaidi mtapata advantage ya kuufahamisha umma ni nini kinaendelea katika nchi yetu.

Msisahau hata mkitumia lugha za kistaarabu wao watawachokoza kwa kuwapiga vijembe/kutumia lugha mbovu na kuwakashifu ili tu kuwatia hasira ili nanyi mjibu kwa lugha mbaya na kisha wapate sababu ya kuwakamata.

Watawabeza/watawakejeli kuwa mmetia adabu, n.k(kwa watu wasio na foresight) ila muda ndio utakaosema ni nani katiwa adabu as long as ujumbe unaifikia jamii(hapa ni the end justifies the means).

Kuna msemo: ukila na kipofu,usimshike mkono.
Hao wahitimu kwa nini wasihoji wenyewe?? lazima wasimame na miguu Yao miwili, tena wasipeleke kabisa hela, wafeeee.

Yanayotokea kwa wafanyakazi tuico kimya, nayo pia wapinzani wahoji. Nasema kaeni kimya wapinzani tuone tutafika wapi.

wapinzani wanajitahidi sana under very extreme conditions. wengine wako ndani, wengine wanakamatwa, wengine biashara zao zimebomolewa na kulima pia wanakatwaza.

watu wote wako kimya hata kusema wana njaa wanaogopa, hii nayo mpaka wapinzani waseme. Wapinzani wakisema kuna njaa, wanajitokeza wapambe wanasema hakuna njaa wakati huo wenye njaa wako kimya.
Wananchi lazima wa take responsibility. Juzi maelfu ya marekani wamendamana huu ni mfano wa wanachi ku take responsibility. Sisi tungelaumu upinzani.

Siwatetei upinzani ila wananchi ndio shida, tena waliosoma ndio shida zaidi, ni wanafiki balaa. Leo hii hata walimu wakiminywa hawataongea, watasubiria upinzani. Wacha number isomeke kwanza
 
Kila mtu na msalaba wake
Kila Mtu atauchukua Mzigo wake mwenyewe...

Na kila Mtu atabeba Madhambi yake Mwenyewe...

Hako kawimbo kananikumbusha kila inapokaribia Pasaka.

Jamani
 
Aiseeeh si kawaida kabisa kwa tunayoyaona yanatokea kwa sasa ndani ya nchi yetu juu ya Baadhi ya Wanasiasa maana wapo kimya tofauti na tulivyowazoea.

Mfano mdogo ni mzee wetu Edo. Si kawaida kabisa kuona yupo kimya hajapita pita mahali na kuongea for almost two weeks sasa. Je hii inaashiria nini?

Kwa upande wa CHADEMA napo hali si shwari kabsa. Kimya kimezidi mno kupita maelezo. Hii inaashiria hali tete na pumzi imekata. Ni aibu chama kikubwa kama CHADEMA kutokuwa na PLAN B ya kupambana na SERIKALI baada ya PLAN A kushindwa kabsa kufanya kazi. Hiki ni kiashiria kimoja kikubwa kuwa hawa bado sana kuwa tayari kuongoza nchi.

USHAURI:
Wale vijana wenye mapenzi mema na hiki chama hebu pazeni sauti zenu kwa kuanzisha HASHTAG na kuprint fulana za kuhimiza reformation ya hiki CHAMA na ikiwezekana hata Maandamano ili tuone na reaction ya chama juu ya maandamano yakitokea upande wao ni hatua zipi wanazozichukua isiwe maandamano ni kwa Serikali tu.

Hata sisi tuliowengi tungependa kuona TUNA UPINZANI ULIO IMARA NA MADHUBUTI WENYE MALENGO THABITI ya kupambana na SERIKALI VILIVYO ili NCHI HII ipate maendeleo yanayo stahili...
HONEST INA HUZUNISHA SANA KUONA AINA YA UPINZANI TULIO NAO NDANI YA NCHI HII KWA SASA......
Hayo unayoyasema unataka yafanyike katika nchi ipi? hayo maandamano unataka kutuua? kampeni na mikutano mnatupiga marufuku mnatumia bunduki,mabomu ya machozi mpaka mabomu halisi, kwa hiyo unataka tuandamane mtulipue alafu useme wamejiripua wenyewe kama mlivyosema Kyle Arusha baada ya kuvamia mkutano na kurusha mabomu? rejea Mwangosi mlinfanya nini?Ulimboka my young brother na wengineo.
 
Kuna majitu humu JF kama mleta mada; majinga kweli kweli...!!
Wapinzani mnawaona ka maadui wenu; wahalifu.. Wakiwaachia mjipeleke mbele kwa mbele kumbe pia inawauma..
 
Pamoja na matumizi ya dola,ni wazi kuna udhaifu/kujisahau kwa wapinzani kwa kiasi fulani.Hii ni hatari sana.

Kwa mfano,hivi wapinzani wangeita waandishi na kuhoji kuhusu yanayoendelea huko Chato wangekamatwa?

Mfano mwingine.Kwa kutumia lugha ya kawaida tu wakahoji ni kwanini Bodi haijapeleka fedha vyuoni mpaka wahitimu wananyiwa vyeti watakamatwa?

Wanachotakiwa wapinzani kwa sasa ni kutumia lugha ya kawaida tu mradi ujumbe ufike.

Upinzani muwe flexible ili kutompa mtu fulani sababu na zaidi mtapata advantage ya kuufahamisha umma ni nini kinaendelea katika nchi yetu.

Msisahau hata mkitumia lugha za kistaarabu wao watawachokoza kwa kuwapiga vijembe/kutumia lugha mbovu na kuwakashifu ili tu kuwatia hasira ili nanyi mjibu kwa lugha mbaya na kisha wapate sababu ya kuwakamata.

Watawabeza/watawakejeli kuwa mmetia adabu, n.k(kwa watu wasio na foresight) ila muda ndio utakaosema ni nani katiwa adabu as long as ujumbe unaifikia jamii(hapa ni the end justifies the means).

Kuna msemo: ukila na kipofu,usimshike mkono.
Mkuu you have a point
 
Hapa ndipo pengo la Mbatia linapojidhihirisha.
Get well soon Mbatia [emoji24]
 
Back
Top Bottom