gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Hata forujohn hajui anafanya niniUjue hii nchi sasa imefika stage kila mtu hajui afanye nini. Na kila anaye ongea hajui kesho kitampata nini.
Tuko kwenye mida migumu kweli
Hata forujohn hajui anafanya niniUjue hii nchi sasa imefika stage kila mtu hajui afanye nini. Na kila anaye ongea hajui kesho kitampata nini.
Tuko kwenye mida migumu kweli
HahahaaHata forujohn hajui anafanya nini
Vipi chama cha Mapinduzi kinazungumza au na chenyewe kiko kimya? Maandamo ya mshikamano yako wapi ICU au kaburini?Aiseeeh si kawaida kabsa kwa tunayo yaona yanatokea kwa sasa ndani ya NCHI yetu juu ya Baadhi ya WANASIASA maana wapo kimya tofauti na tulivyoi wazoea.....
Mfano mdogo ni mzee wetu EDO si kawaida kabsa kuona yupo kimya ajapita pita mahali na kuongea for almost two weeks sasa...je hii ina ashiria nini?????
Kwa upande wa CHADEMA napo hali si shwari kabsa.....KIMYA kimezidi mno kupita maelezo....Hii ina ashiria HALI NI TETE UFIPA pumzi imekata.......Na ni aibu chama kikubwa kama CHADEMA kutokuwa na PLAN B ya kupambana na SERIKALI baada ya PLAN A kushindwa kabsa kufanya KAZI hiki ni kiashiria kimoja kikubwa kabsa ya kuwa HAWA BADO SANA kuwa TAYARI kuongoza NCHI HII......
USHAURI...Wale vijana wenye mapenzi mema na HIKI CHAMA ebu pazeni sauti zenu kwa kuanzisha HASHTAG na kuprint fulana za KUHIMIZA reformation ya hiki CHAMA na ikiwezekana hata MAANDAMANO YA AMANI ili tuone na REACTION YA CHAMA JUU YA MAANDAMANO YANAPOFANYIKA KWENYE UPANDE WAO ni hatua zipi wanazozichukua ISIWE maandamano ni kwa SERIKALI TU.....
maana hata sisi tuliowengi tungependa kuona TUNA UPINZANI ULIO IMARA NA MADHUBUTI WENYE MALENGO THABITI ya kupambana na SERIKALI VILIVYO ili NCHI HII ipate maendeleo yanayo stahili...
HONEST INA HUZUNISHA SANA KUONA AINA YA UPINZANI TULIO NAO NDANI YA NCHI HII KWA SASA......
Tatizo La Magufuli Hawezi Kabisa Unafiki Wa Kisiasa. Yeye Ni Battle- Battle!Akili za wapinzani lazima zipigwe ganzi maana mirija yao ya hela imeminywa..Mwafaa![emoji23][emoji23]
Mirija ya 51% ya hisa za UDA na mirija ya Lugumi, mirija ya rushwa ya million 10 kwa kila mbunge wa ccm, pia usisahau mirija ya white elephant projects zinazofanyika chato.Akili za wapinzani lazima zipigwe ganzi maana mirija yao ya hela imeminywa..Mwafaa![emoji23][emoji23]
Ukiona hivyo wameikubali serikaliUjue hii nchi sasa imefika stage kila mtu hajui afanye nini. Na kila anaye ongea hajui kesho kitampata nini.
Tuko kwenye mida migumu kweli
HahahahaUkiona hivyo wameikubali serikali
Yale waliyokua wanayapazia sauti ndiyo yanayotekelezwa sasa wapige kelele gani tena?Imebakia kidogo tu watavunja ukimya na kuanza kusifu.Mkuu hata wakereketwa wa-CHAMA mtaani wamebaki wamepigwa na butwaa hawajui Plan B ya kuokoa chama maana wameshajua dereva kalewa tembo.
Nyerere alimwambia Mrema mwaka 1995 kuwa; Jikite kutafuta wabunge achana na uachane na urais chama chako bado legelege but hawakumuelewa mzee Mchonga. Hadi leo wameshindwa kusimama na wataendelea hivyo. Fuatilia siasa za Kenya kuelekea uchaguzi 2017 utajifunza wale jamaa wanajua siasaTatizo la wapinzani ni ile lugha wao wanafikiri watasikika wakitoa kashfa na matusi na dharau ya kuwaona wengine hawajui na hawajasoma...... Toroka uje!!!!!!!