Duuh kweli Magufuli ni balaa, hata huyu?

Duuh kweli Magufuli ni balaa, hata huyu?

Na wewe ni mpinzani kwa mawazo yako simama useme yanayokukela kama mtanzania. Nashangaa kwa nini unasubiri mtu mwingine akusemee?
Huyo unayemsubiri naye anawakati wake wa kusema. Huridhiki sema wewe maana sheria si inakulinda?
Huu ndio ujinga wenyewe.Wao ndio wanataka kushika dola hivyo wao wanapaswa kuikosoa na kuihoji serikali na hii ndio kazi ya upinzani duniani kote kazi ambayo Magu hataki wapinzani waifanye ili awamalize kisiasa hivyo wapinzani hawapaswi kukubali kirahisi tu.

Tumia akili
 
Siasa kama hizi ndio wapinzani unawapa upewo wakampeni mwisho wakampeni za uchaguzi mkuu watasema tulikuwa twataka tuje tuwakumbuke lakini hali sio mukiiona basi wapinzani watakuwa hawana lawama na washapata njia ya kupita na watasema mukituona tulivyo tukupapatua watasemaa ndio
 
Wapinzani wapi? Tz haina kitu kinaitwa wapinzani bwana msitake kutuzingua, Tz tuna wapigaji wanaotumia siasa kutimiza ya kwao na matumbo yao.
 
Pamoja na matumizi ya dola,ni wazi kuna udhaifu/kujisahau kwa wapinzani kwa kiasi fulani.Hii ni hatari sana.

Kwa mfano,hivi wapinzani wangeita waandishi na kuhoji kuhusu yanayoendelea huko Chato wangekamatwa?

Mfano mwingine.Kwa kutumia lugha ya kawaida tu wakahoji ni kwanini Bodi haijapeleka fedha vyuoni mpaka wahitimu wananyiwa vyeti watakamatwa?

Wanachotakiwa wapinzani kwa sasa ni kutumia lugha ya kawaida tu mradi ujumbe ufike.

Upinzani muwe flexible ili kutompa mtu fulani sababu na zaidi mtapata advantage ya kuufahamisha umma ni nini kinaendelea katika nchi yetu.

Msisahau hata mkitumia lugha za kistaarabu wao watawachokoza kwa kuwapiga vijembe/kutumia lugha mbovu na kuwakashifu ili tu kuwatia hasira ili nanyi mjibu kwa lugha mbaya na kisha wapate sababu ya kuwakamata.

Watawabeza/watawakejeli kuwa mmetia adabu, n.k(kwa watu wasio na foresight) ila muda ndio utakaosema ni nani katiwa adabu as long as ujumbe unaifikia jamii(hapa ni the end justifies the means).

Kuna msemo: ukila na kipofu,usimshike mkono.
Tatizo lenu ni kuacha siasa ifanye kila kitu. Kama yanayoendelea huko Chato hayafai, he wananchi wa mikoa mingine kwa nini wasiinuke kuhoji na kuandamana ili kupinga? Hilo la wanafunzi kutowekewa hela na kupelekea kunyimwa vyeti, kwa nini wanafunzi na wazazi wasiinuke kupaza sauti zao. Wanasiasa wamedhibitiwa ilikua ni fursa ya makundi mengine kusimama na kusaidia kupaza sauti. Hata nauli zinapopanda mnataka wanasiasa ndiyo waawaongelee, kodi za Nyumba zikipanda Nazo mnnataka siasa iingilie kati, eti hata gharama kubwa za harusi mnataka siasa iingilie kati ili zipunguzwe!!
Hivi watanzania ni viumbe gani hasa? Mawe au Maiti?
 
Pamoja na matumizi ya dola,ni wazi kuna udhaifu/kujisahau kwa wapinzani kwa kiasi fulani.Hii ni hatari sana.

Kwa mfano,hivi wapinzani wangeita waandishi na kuhoji kuhusu yanayoendelea huko Chato wangekamatwa?

Mfano mwingine.Kwa kutumia lugha ya kawaida tu wakahoji ni kwanini Bodi haijapeleka fedha vyuoni mpaka wahitimu wananyiwa vyeti watakamatwa?

Wanachotakiwa wapinzani kwa sasa ni kutumia lugha ya kawaida tu mradi ujumbe ufike.

Upinzani muwe flexible ili kutompa mtu fulani sababu na zaidi mtapata advantage ya kuufahamisha umma ni nini kinaendelea katika nchi yetu.

Msisahau hata mkitumia lugha za kistaarabu wao watawachokoza kwa kuwapiga vijembe/kutumia lugha mbovu na kuwakashifu ili tu kuwatia hasira ili nanyi mjibu kwa lugha mbaya na kisha wapate sababu ya kuwakamata.

Watawabeza/watawakejeli kuwa mmetia adabu, n.k(kwa watu wasio na foresight) ila muda ndio utakaosema ni nani katiwa adabu as long as ujumbe unaifikia jamii(hapa ni the end justifies the means).

Kuna msemo: ukila na kipofu,usimshike mkono.
Media nazo zimebanwa wasitangaze habari za wapinzani wasifie hata pale pakukosoa.shame hadi ITV imeipiku TBC kwa upuuzi
 
Aiseeeh si kawaida kabisa kwa tunayoyaona yanatokea kwa sasa ndani ya nchi yetu juu ya Baadhi ya Wanasiasa maana wapo kimya tofauti na tulivyowazoea.

Mfano mdogo ni mzee wetu Edo. Si kawaida kabisa kuona yupo kimya hajapita pita mahali na kuongea for almost two weeks sasa. Je hii inaashiria nini?

Kwa upande wa CHADEMA napo hali si shwari kabsa. Kimya kimezidi mno kupita maelezo. Hii inaashiria hali tete na pumzi imekata. Ni aibu chama kikubwa kama CHADEMA kutokuwa na PLAN B ya kupambana na SERIKALI baada ya PLAN A kushindwa kabsa kufanya kazi. Hiki ni kiashiria kimoja kikubwa kuwa hawa bado sana kuwa tayari kuongoza nchi.

USHAURI:
Wale vijana wenye mapenzi mema na hiki chama hebu pazeni sauti zenu kwa kuanzisha HASHTAG na kuprint fulana za kuhimiza reformation ya hiki CHAMA na ikiwezekana hata Maandamano ili tuone na reaction ya chama juu ya maandamano yakitokea upande wao ni hatua zipi wanazozichukua isiwe maandamano ni kwa Serikali tu.

Hata sisi tuliowengi tungependa kuona TUNA UPINZANI ULIO IMARA NA MADHUBUTI WENYE MALENGO THABITI ya kupambana na SERIKALI VILIVYO ili NCHI HII ipate maendeleo yanayo stahili...
HONEST INA HUZUNISHA SANA KUONA AINA YA UPINZANI TULIO NAO NDANI YA NCHI HII KWA SASA......
Wewe hebu tupe muelekeo wa huo upinzani, yaani wapinzani wapinge nini hasa katika serikali hii? Fafanua
 
Akili za wapinzani lazima zipigwe ganzi maana mirija yao ya hela imeminywa..Mwafaa![emoji23][emoji23]
Hahahahahaha Naona Simon Kisamo wa UDA yupo Upinzani. Na wale wa Bilioni nane aka Meli Mbovu wako Upinzani. Na Lugumi je??Hataki Serikali yenu iguswe sasa tumeiacha ufanye inavyotaka bado.mnaona shida mnataka kusikia sauti za akina Mbowe subirini basi mtazisikia siku akipeleka mahakamani IPTL na UDA
 
Back
Top Bottom