Duu!hi kali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duu!hi kali.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Landala, Mar 9, 2011.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 911
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kweli uswahilini kuna mambo,juzi umeme ulikatika c mnajua 2po kwenye mgao,sasa kipindi wanachakachuana demu akawa anapiga kelele na pia KUMSALIMIA MSHIKAJI WAKE SHIKAMOO!SHIKAMOO!SHIKAMOO!yaani hadi kero kwa wapangaji wengine.Jamani akina dada punguzeni mizuka wakati wa kuchakachuana.
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,070
  Trophy Points: 280
  umbea tu nawe si ungetafuta wako ili kuepuka hizo kero...................
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,564
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ungeitikia marahaba kwa sauti mpaka asikie angenyamaza
   
 4. m

  mams JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 615
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Na wewe ungeendelea na wako!
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Mmmhh Lundala wewe hebu acha uongo bana wakati wa majambozi hiyo Shikamoo hata kama kaisema haitasikikia kavu kavu kihivyo unless uniambie ni wewe ndo alikuwa anakwambia shikamoo vinginevyo huo ni uongo maneno huwa hayatoki mazima mazima
   
 6. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 911
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu Dena Amsi hiyo stori ni ya kweli kabisa,kumbuka 2kio limetokea umeme ukiwa umekatika hivyo ucku huo kulikuwa kimya,dirisha langu na la huyo mpangaji mwenzangu yanatazamana hivyo hizo shikamoo zilikuwa zinatoka kwa sauti kubwa na nikawa ninazickia.
   
 7. k

  kinu Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa haya katoa shikamoo we inakukera nini
   
 8. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 568
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mmmhh kumbe kweli coz niliwahi kusikia story ya mzungu aliyewahi kuhoji kuhusu nyeto. Akambiwa ukitaka kujuwa habari yake, na ww piga huku ukihesabu 1 hadi 5. Kaenda kupiga lkn kuhesabu alishindwa co anaishia "moj mbil tat mbil tat mbil tat, moj moj moj mbil tat mbil tat mbil tat" Habari ndo hiyo
   
 9. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 911
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Imeniletea kelele ambazo zilifanya nikachelewa kulala,kesho yake asubuhi waliockia walimwekea kikao bibie wakamuambia kuwa apunguze kelele wakati wa uchakachuaji.
   
 10. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  hilo nalo neno,
  rudia wewe hiyo shikamoo ingetokaje?
   
 11. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,949
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  kw cku thread mbili!!!
   
 12. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 599
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mmh em ngoja nitue kwanza nakuja :plane:
   
 13. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,015
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Mi napata shida na hili neno kuchakachua sielewi hasa wapi linatakiwa litumike na kwa makusudio gani. Kwa mtazamo wangu labda lingetumika wakati watu wamesalitiana hivi, mtu amegonganisha mabwana n.k maana lilikoanza kujulikana zaidi ni baada ya uchanganyaji wa mafuta (Uchakachuaji)
   
 14. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,533
  Likes Received: 310
  Trophy Points: 180
  Ndugu yangu Gazeti we angalia sentensi imeanzaje mpaka kufikia kutajwa hilo neno ili upate maana kamili
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,589
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Shkamooo!
  Unders at work!
   
 16. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,610
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ingetokea kama hivi, shimo shimo shimo ha haaa.
   
 17. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,610
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duh wakati ana amkia mshikaji wake na yeye angekua anajibu kwa kelele, marahaba marahaba duh wangetengeneza singo kali mbayaaa!
   
 18. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  Ikifikiaga hapo hapo mwanamke anakuwa hajielewi hata ukija kumwambia baada atakataa kabisa........
   
 19. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,015
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Ahsante Washawasha nimekuelewa lakini huu pia ni uchakachuaji wa Lugha yetu ya kiswahili.
   
 20. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Labda dudu lilikosea mlango na likapitia dirisha la uani....! Si umesema umeme umekatika?
   
Loading...