Walk out & occupation: Sanders delegates stage walk out during DNC roll call
5 ways Clinton will be great for fighting Putin, according to Albright
----------
Madeleine Albright, the US’ first female secretary of state, accused Russia’s president of hacking DNC emails to aid Donald Trump, while praising Hilary Clinton for having “Truman’s fighting spirit,” which she claims is needed if the US is to be kept safe.
Albright, who made the US home at the age of 11, has spoken out in support of Clinton, urging fellow Democrats to support Hillary as
“our next Commander-in-Chief.”
===
Democrat hawajaridhishwa
Albright siyo wa kupuuzwa.
Mkuu unaposema Democrats hawajiridhishwa kuna hoja
1. Hatutegemei watu wote waridhike100%. 2008 wapo waliosema hawatampigia kura Obama
2. Popular vote Hillary ana idadi kubwa,na wajumbe. Je, Democrats unayoongelea kwa ujumla ni ipi?
3. Republican hawajaridhishwa, lakini Trump ana popular vote na delegates wengi, ndiye nominee
Kama ulifuatilia mjadala huu tangu uanze, kuna hoja nyingi juu ya Sanders.
Mag3 amehoji, wafuasi wa Sanders kwanini wanaonekana ni kikundi kidogo cha 'watu'fulani, who are they and who's behind their movement?
Kumbuka, katika mdahalo wa Brooklyn, NY, Kulikuwa na kikundi cha watu kilichoaminisha Sanders alikuwa 'mshindi' kwa kelele za kushangilia na kuzomea. Hawa ni 'Democrat'
Matokeo, Hillary ameshinda kwa takribani 9 points katika idadi ya laki na ushee.
Unaposema Dem hawakuridhishwa, ilikuwaje ikatokea hivyo?
Kama Dem ni watu wa Sanders, tunawaweka wapi waliompa Hillary 9 points ahead of Sanders?
Kuhusu Madeline, hizo zinabaki kuwa tuhuma hadi uchunguzi utakapotoa majibu
Mwisho, Sanders kasema anarudi katika seneti kama independent.
Je, ni Dem? Nani Dem zaidi, wafuasi wake au Dem waliobaki?