Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

What is very unlikely?

Kwamba FBI hawatokuja na jipya au Dems hawatahamisha goli?
No kuna habari ambazo zinaweza kutazamwa kwa pande mbili

1. Senate judiciary kama sikosei imepeleka habari DOJ kutoka kwa 'asiyejulikana' au mtonyaji kuhusu information alizotoa Kavanaugh na rekodi ya nyuma si sahihi.
Hili halina uhusiano na ngono

Kama ni kweli kwa mujibu wa vyanzo, kuna mambo mawili
1. Senate judiciary imeamua kuwa 'ahead' ili yasitokee ya FBI. Kama preemptive strategy
2. Inawezekana kamati inawasi wasi kuwa mtonyaji anaweza kuwa alitonya 'media' hivyo ni vema kuwahi ili kuzuia isijeonekana wanafukia madudu
3. Au wanaweza kuwa na habari zinazoshabihiana na mtonyaji

Ni mapema mno ngoja tusubiri ''Sunday talks'' kama habari zitathibitishwa
 
No kuna habari ambazo zinaweza kutazamwa kwa pande mbili

1. Senate judiciary kama sikosei imepeleka habari DOJ kutoka kwa 'asiyejulikana' au mtonyaji kuhusu information alizotoa Kavanaugh na rekodi ya nyuma si sahihi.
Hili halina uhusiano na ngono

Kama ni kweli kwa mujibu wa vyanzo, kuna mambo mawili
1. Senate judiciary imeamua kuwa 'ahead' ili yasitokee ya FBI. Kama preemptive strategy
2. Inawezekana kamati inawasi wasi kuwa mtonyaji anaweza kuwa alitonya 'media' hivyo ni vema kuwahi ili kuzuia isijeonekana wanafukia madudu
3. Au wanaweza kuwa na habari zinazoshabihiana na mtonyaji

Ni mapema mno ngoja tusubiri ''Sunday talks'' kama habari zitathibitishwa

Okay, sawa.

But what say you kuhusu Diane Feinstein kuikalia barua hadi dakika za mwisho?

Je, kulikuwa na political calculus au hakukuwepo?
 
Kwa hiyo ndugu yangu kilichopo hapo ni siasa mwanzo mwisho na Dr. Ford ni political pawn wa Democrats.
Senetor Graham, Lindsey alilifafanu vizuri sana hili. Ewe msoma post hii kama hukupata furusa ya kumsikiliza Senetor Graham, basi mtazame na kumsikiliza pale alipopewa nafasi; maelezo yake yanaanzi dakika ya 6 sekunde ya 27. karibu.
 
Okay, sawa.

But what say you kuhusu Diane Feinstein kuikalia barua hadi dakika za mwisho?

Je, kulikuwa na political calculus au hakukuwepo?
Ndani ya viunga vya DC kilalifanyikalo ni katika 'calculus' liwe la kisiasa au la. Ninchoweza kusema ni kuwa Diane ame play smart

Barua aliyokuwa nayo haikuwa na idhini ya mtoaji kuianika hadharani
Calculus walizofanya Republicans zilikuwa kuharakisha confirmation ya Kavanaugh kwa malengo
1. Kuna kila dalili walijua yapo matatizo ndiyo maana walipoombwa rekodi zake walikataa na walipopata shinikizo wakatoa 48,000 zisomwe chini ya masaa 12 kabla ya hearing

Diane Feinstein na akina Cory walipoomba muda zaidi kupitia hizo 48,000 na kuomba zitolewe zote chair Chuck Grassley akatumia umwamba kwa maana ya calculus kuzima hoja
Hadi hapo tukubaliane kwanza kwamba walioanza kucheza foul ni GOP na Chuck Grassley

2. Feinsten alimpa barua Chuck wiki moja kabla ya kuvuja. Alichokifanya Grssley ni kukimbiza hearing akiiweka barua ile pembeni tena akitoa muda wa hearing, voting and confirmation

3. Feinsten na Dems wakabaini ubabe wa Grassley na barua ile ikavuja makusudi.
Hii ilikuwa ni 'calculus' ya kumlazimisha Grassley asichimbie barua

4. Grassley hakuwa na chaguo bali kuendelea na mchakato kwa njia ya 'mahakama bubu'
Alifanya hivyo ili kuhakikisha anakwepa FBI na kutumia senate judiciary GOP kumpitisha Kavanaugh. Calculus zikakwama baada ya kila kitu kuwekwa wazi. Ikafika tulipo

Kwa sasa hivi kuna juhudi za ku limit uchunguzi, hapo ndipo watu wanajiuliza kama Kavanaugh ni safi kwanini kuna jitihada za kufunika funika mambo. Jibu lake ni rahisi, muda si rafiki na GOP wanajua huyu ni ''mwenzao'' na wanajua nyuma yake kuna nini

Kwamba Feinstein kacheza political calculus ni yes kama ambavyo Grassley amecheza
Tofauti yao ni kuwa Feinstein ame mu 'outsmart Grassley big time''

In the end GOP watamthibitisha Kavanaugh kwa advantage ya Dem.Damage ni kubwa .
Kwa Trump loyaslist hakuna mabadiliko, kwa ''educated or independent'' Kavaugh katia doa

Kumbuka Trump loyalists wamesambaa nchi nzima wanatengeneza 32% ambayo ni kubwa kwa kuongeza makundi mengine.

Midterm Trump hayupo katika ballot box na uchaguzi ni kwa baadhi ya representatives na senators. Kupunguza idadi kidogo kuna impact kubwa

Kavanaugh anaweza kwenda SC kama kinga ya conservatives, Trump na GOP baadaye

Kwa siasa na taratibu za US si kila jambo linakwenda SC, mengine yapo ndani ya uwezo wa house na senate.

Je, damage anayosababisha Kavanaugh italipa kwa kupoteza senate au house?
 
JAJI KABANAUGH NA MRINDIMO KATIKA MEDIA

Kuna bandiko tulieleza kuwa mahojiano ya Jaji Kabanaugh na TV ya Fox yalifanya uharibifu badala ya kumjenga. Pengine alifanya hivyo kujibu mapigo ya habari zake katika media. Ilikuwa kosa

Katika mahojiano Jaji alijidhihiri kama mwema aliyeishi maisha ya heshima kuanzia highschool

Katika mahojiano na judiciary committee alikiri kunywa akikataa kuwa chakari

Ni mahojiano hayo yaliyoibua waliokuwa wanafunzi wenzake.

Wapo waliomtetea wakisema alikunya bila kujisahau au kuwa chakari.
Kundi la pili linasema alikuwa mkorofi alipokunywa na kupoteza fahamu

Hawa ni wanafunzi wenzake wakiwa highschool na Chuo cha Yale.
Maongezi yameendelea na kutoboa siri kuwa1985 Jaji aliwahi kupigana bar na polisi kuingilia

Je, kunywa pombe ni kosa? Jibu ni hapana. Je, kunywa na kujisahau au kuwa chakari ni kosa?
Jibu ni hapana. Kama ni hivyo kwanini mjadala umehamia katika ulabu wake?

Kuna mambo mawili yanayotokana na hali ya kulewa chakari na kujisahau

1.Chini ya kiapo katika kamati alikana kuwa chakari akikiri kupata kilaji kwa wastani
Kwa ushahidi unaotolewa na classmate wake inaelekea alidanganya akiwa katika kiapo.

2. Kulewa chakari kuna shadidia hoja ya Dr Ford, Jaji hakumbuki aliyomtendea katika jaribio la k kumbaka akiwa na rafiki yake. Rafiki zake 2 wanaosema walikuwepo wanadai hawana 'recollection' ya tukio. Kavanaugh anasema wamesema tukio halikutokea

Recollection kwa lugha yetu ni kumbukumbu. Mtu asiyekumbuka si lazima tukio halikutokea. Unaweza kutokuwa na recollection kwa maana hukumbuki ilikuwa au haikuwa

Jaji anaposema wamesema haikutokea anakanusha maana ya recollection

Jaji ameendelea kuwa distractions katika suala zima la uteuzi wa SC.
Kama si WH uchunguzi ungeweza kufumua mengi zaidi. WH inajua na ipo makini sana

Kura itapigwa siku ya Ijumaa baada ya FBI kumaliza kazi. Kinachoshtua ni uwepo wa kura kabla ya taarifa haijasomwa. Hili ni kosa jingine ambalo Mitchell na Grasseley wanalifanya

Kuna maseneta 3 wanaosemekana wapo nje ya fence wakitazama.
Jeff Flake ambaye hatagombea, Susan Collins na Murkowisk.

Hawa wakiwa na shaka juu ya ulevi kama iliyoelezwa namba 1 na 2 hapo juu, huenda Kavanaugh akalazimika kuondoa jina. kura hazitatosha

Mahojiano katika TV yanamgharimu kidogo kidogo na huenda yakamgharimu zaidi
 
Breaking News: Donald Trump exposed!...New York Times

The president has long sold himself as a self-made billionaire, but a Times investigation found that he received at least $413 million in today’s dollars from his father’s real estate empire, much of it through tax dodges in the 1990s.

By age 3, Mr. Trump was earning $200,000 a year in today’s dollars from his father’s empire. He was a millionaire by age 8. By the time he was 17, his father had given him part ownership of a 52-unit apartment building. Soon after Mr. Trump graduated from college, he was receiving the equivalent of $1 million a year from his father. The money increased with the years, to more than $5 million annually in his 40s and 50s.

President Trump participated in dubious tax schemes during the 1990s, including instances of outright fraud, that greatly increased the fortune he received from his parents.

Much of this money came to Mr. Trump because he helped his parents dodge taxes. He and his siblings set up a sham corporation to disguise millions of dollars in gifts from their parents, records and interviews show. Records indicate that Mr. Trump helped his father take improper tax deductions worth millions more.

He also helped formulate a strategy to undervalue his parents’ real estate holdings by hundreds of millions of dollars on tax returns, sharply reducing the tax bill when those properties were transferred to him and his siblings.

For more read this...

 
Breaking News: Donald Trump exposed!...New York Times

The president has long sold himself as a self-made billionaire, but a Times investigation found that he received at least $413 million in today’s dollars from his father’s real estate empire, much of it through tax dodges in the 1990s.

By age 3, Mr. Trump was earning $200,000 a year in today’s dollars from his father’s empire. He was a millionaire by age 8. By the time he was 17, his father had given him part ownership of a 52-unit apartment building. Soon after Mr. Trump graduated from college, he was receiving the equivalent of $1 million a year from his father. The money increased with the years, to more than $5 million annually in his 40s and 50s.

President Trump participated in dubious tax schemes during the 1990s, including instances of outright fraud, that greatly increased the fortune he received from his parents.

Much of this money came to Mr. Trump because he helped his parents dodge taxes. He and his siblings set up a sham corporation to disguise millions of dollars in gifts from their parents, records and interviews show. Records indicate that Mr. Trump helped his father take improper tax deductions worth millions more.

He also helped formulate a strategy to undervalue his parents’ real estate holdings by hundreds of millions of dollars on tax returns, sharply reducing the tax bill when those properties were transferred to him and his siblings.

For more read this...

Naona gutter politics zinaanza kumrudia yeye mwenyewe sasa
 
Breaking News: Donald Trump exposed!...New York Times
Aisee! Mimi ngoja nimalizie fanya uchunguzi binafsi kuhusu Dr Ford na mahojiano kutoka kwa walioshuhudia kwa karibu sana tukio hili na amabo walikuwa na taarifa za awali juu ya mwenendo wa Dr. Ford. Nimepata hii hapa. Jisomee.
-----
Emotion aside, on a factual basis, Ford has repeatedly gotten caught in a web of contradictions.

Here are the most notable thus far:

1) Ford told the committee that she couldn't remember if she gave the Washington Post her therapist's notes. (The Washington Post reported that she had in fact provided these notes.) Unlike the original incident, this was only weeks ago, and yet she's forgotten a very basic detail.

2) Her attorneys previously told the Senate Judiciary Committee she has a fear of flying and asked if they would postpone last week's scheduled hearing, as she would need to drive across country. Sen. Grassley complied, postponing the hearing specifically to give her more time. Yet during her testimony, Ford admitted that not only did she indeed fly to the hearing, she flies all the time.

3) She's given several different accounts of how many people were at the party. In the polygraph test, she says there were "four boys and a couple of girls," but to the Washington Post she said there were only four people total. Today she said she wasn't sure how many people were there, but that there were "at least" four boys and two girls. She said there is one boy whose name she cannot recall; she also said there is someone who helped arrange her attendance at this event, but she didn't want to bring his name into the public. That would mean there were at least five boys (Kavanaugh, Mark Judge, "PJ," who is Patrick Smyth, the boy she can't remember, and the boy she doesn't want to name).

4) Ford said there was at least one girl in attendance, her friend Leland Ingham Keyser. In an earlier statement to the press, however, Leland Keyser said that not only was she not at this party, she doesn't even know Brett Kavanaugh.

5) Ford says she's "100 percent" sure Kavanaugh assaulted her. However, she admitted having a zero percent recollection of when the party was, where it was, how she got to the party, who pushed her into the room, and how she got home. She also forgot when her grandmother's funeral was last month (which was the date she took her polygraph test), as well as conversations she had two weeks ago with The Washington Post. It's odd she has such certainty about a hazy event 37 years ago when her memory has clear lapses over both the near and long term.

6) In her testimony, Ford said she met with the staff of Rep. Anna Eshoo (D-Calif.) on July 18th and with her "on July 20th." But in her written testimony, she said she "met with her staff on July 11th and with her on July 13th."
Six Times Ford Has Contradicted Herself in Her Senate Testimony [Updated]
=====
Hivi mwenye matatizo ya kumbukumbu namna hii wakutiliwa maanani kweli. Nimesikia kuna mwanaume amejitokeza na kusema yeye ndiye alihusika Dr. Ford anamtuhumu Brett kimakosa.
 
Aisee! Mimi ngoja nimalizie fanya uchunguzi binafsi kuhusu Dr Ford na mahojiano kutoka kwa walioshuhudia kwa karibu sana tukio hili na amabo walikuwa na taarifa za awali juu ya mwenendo wa Dr. Ford.

Hivi mwenye matatizo ya kumbukumbu namna hii wakutiliwa maanani kweli. Nimesikia kuna mwanaume amejitokeza na kusema yeye ndiye alihusika Dr. Ford anamtuhumu Brett kimakosa.
TUJITEGEMEE, Dr. Christine Margaret Blasey Ford has nothing to gain/lose from this whole episode while Judge Brett M. Kavanaugh has everything to gain/lose. Dr. Christine Margaret Blasey Ford accused Judge Brett M. Kavanaugh before he was even nominated by President Trump...think about it.

Who is Dr Christine Margaret Blasey Ford?

Dr Christine Margaret Blasey Ford is an American psychologist. She is a professor in clinical psychology at Palo Alto University. Her work specializes in designing statistical models for research projects.

She has been a visiting professor at Pepperdine University, a research psychologist for Stanford’s Department of Psychiatry, and a professor at the Stanford School of Medicine Collaborative Clinical Psychology Program.

In 2018, she went public with allegations that U.S. Supreme Court nominee Brett Kavanaugh had sexually assaulted her in 1982. To corroborate her account, she made available session notes from her therapist written in 2012, and in August 2018 took a polygraph test.
 
SAKATA LA GOP NA KAVANAUGH

WANASHERIA 600 WAANDIKA BARUA

MCHAKATO WA KUMTHIBITISHA KUENDELEA

Baada ya habari za Rais Trump na utajiri wake ikiwemo mizengwe ya kodi kuwekwa bayana, wengi walitarajia Trump angekuja juu kwa kushambulia gazeti la NY Times kama kawaida

Kinyume chake Rais Trump alimwendea kombo Dr Ford katika mkutano na wafuasi wake
Trump alimdhihaki Dr Ford kiasi cha wapambe wake kama Lindsey Graham kupingana naye

Hasira zake zimeamsha hisia kwa wajumbe wenye kura dhidi ya Kavanaugh, seneta Susan Collins, Lisa Murkowiski na Jeff Flake.

Mashambulizi yanayonyesha kuduma juhudi za kumthibitisha Kavanaugh.
Maseneta hao watatu wana kura ya turufu 'swing votes'

FBI wamekamilisha uchunguzi wa ziada 'supplemental background check' kukiwa na maswali

Inaelezwa FBI wamefanya uchunguzi mwembamba kutokana na maelezo
Wamehoji watu wachache wakiwaacha Kavanugh na Dr Ford

Hili limeibua mjadala mwingine kwamba, uchunguzi haukuzingatia ukubwa 'scope' hasa kwa kujua FBI inachunguza makosa kwa muda fulani. Hii ni habari njema kwa Jaji Kavanugh

Kwa maneno mengine, hakuna mashahidi na hata waliotaka kujitokeza kueleza walichokijua hawakuitwa na FBI. Taarifa ya FBI imeshatua WH na kesho itapelekwa Capitol Hill kujadiliwa na maseneta wa pande zote. Taarifa haitakuwa wazi kwa umma hata hivyo itavuja tu

Kiongozi wa GOP Mitch McConnel ametoa taarifa ya upigaji kura siku zijazo kama alivyosema siku za nyuma. Hii ina maana moja, uchunguzi hauna kitu kitakachokwaza tena jitihada za WH na seneti GOP. Laiti kungekuwa na jambo Jaji angeombwa aondoe jina lake mapema

Ni kwa muktadha huo kura za kumthibitisha Kavanaugh ziptapigwa kama ilivyokuwa awali

Hata hivyo kuna kikwazo kimoja kimebaki. Kuwashawishi maseneta watatu kuunga mkono

GOP hawana nafasi za kupoteza maseneta 2. Wana back up ya VP Pence
Ingawa inaonekana kama ''deal done'' bado kuna vikwazo mbele

Wakati huo huo wanasheria 600 wamesaini barua wakieleza kutoridhishwa na 'temperament' au mihemuko ya Jaji Kavanaugh katika kamati wakieleza mihemuko haishabihi wadhifa wa SC

Tusemezane
 
KAVANAUGH AKIRI 'KUHEMUKA'
JAJI MSTAAFU WA SCOTUS ASEMA HAFAI

Sehemu ya I

Maseneta wamepitia nyaraka ya FBI kila upande ukiwa na maoni tofauti. Republicans wanasema hawakuona lolote 'linalomtuhumu' Kavanaugh. Dems wakisema uchunguzi haukuta ushahidi

Taarifa hiyo ni siri hata hivyo itavuja tu baada ya sakata zima kutulia

Ni wazi GOP na WH wapo katika mood nzuri ya kusherehekea kuthibitishwa kwa Kavanaugh
Bado kuna maseneta wanne ambao hawajaamua watapiga kura kwa mwelekeo gani

1. Seneta Heid Heitkamp (D) anatoka North Dakota ambayo ni himaya ya Republicans. Yupo katika uchaguzi (midterm). Yeye ametoa msimamo hatampigia kura Kavanaugh

2. Seneta Joe Manchin(D) anatoka west Virginia ambayo ni himaya ya Republicans. Yupo katika pressure ya kuamua atapiga vipi kura. Hajaamua

3. Seneta Jeff Flake(R) aliyesimamisha mchakato baada ya kuwekwa mtu kati na akina mama hagombei tena useneta. Hajaamua ingawa ameonyesha kuridhishwa na taarifa ya FBI

4. Seneta Susan Collins(R) Meine, hajaamua atapiga kura vipi ingawa naye kama Jeff Flake ameonyesha kuridhishwa na taarifa ya FBI. Hajaamua

5. Seneta Lisa Murkowisk(R-Ala) hajaamua atapiga kura vipi. Huyu yupo katika pressure kali kutoka ''jimboni' kwake hasa wanawake 'indigenous' walioathirika sana na mambo ya ubakaji

Hesabu zipo kama ifuatavyo. Republicans wanahitaji maseneta 2 kumtibitisha Kavanugh
Murkowisk, Collins na Jeff wakipiga kura ya ndiyo hakuna Kavanaugh atathibitishwa

Jeff Flake na Susan Collins wakipiga kura ya ndiyo, Joe Manchin (D) atapiga ya ndiyo ili kupunguza pressure jimboni kwake. Atafanya hivyo kwani kura yake kwa Dems haitakuwa na utofauti. Ni vema ili siku za baadaye aendelee kuwa seneta wa D

Hali itakuwa hivyo ikiwa Murkowisk atapiga ndiyo na mmoja kati ya Jeff au Susan Collins

Ikiwa maseneta wawili watapiga kura ya hapana, huo utakuwa mwisho wa Kavanaugh kama Joe Manchin atapiga hapana. Vinginevyo VP atapiga kura ya kuamua

Ukichukua Collins, Murkowisk, Flake na Manchin kama kura za turufu hesabu za 'probability' zinaonyesha Kavanugh atathibitishwa na senate judiciary na senate nzima

Kuna kikwazo kidogo, seneta mmoja wa Republicans hatkuwepo Jumamosi akihudhuria sherehe ya bintiye anayeolewa. Hili litalazimisha mchakato wa senate kupiga kura jumamosi uahirishwe

Kuahirishwa ni kutokana na jinsi maseneta 'baki' watakavyopiga kura. Ikiwa itakuwa 2 kwa 2, Republicans hawatakuwa na 'margin of error'. Kuondoa mmoja kutaweza kuwakwaza

Hiyo ni hali ilivyo hadi wakati huu. Tuangalie mengine yaliyojiri

Inaendelea...
 
KAVANAUGH AKIRI 'KUHEMUKA'
JAJI MSTAAFU WA SC ASEMA HAFAI

Sehemu ya II

Ndani ya viunga vya DC yamekuwepo maandamano katika kushinikiza maseneta kumwacha Kavanaugh. Wengine waakiwa na sababu tofauti hasa uwepo wake katika SC

Maadamano hayawezi kubadili msimamo wa GOP ambao Mitch alisema watafanya kila liwezekanlo kumthibitisha Kavanaugh

Kwa wale mnaofuatilia mjadala mtakumbuka ampema kabisa tulieleza makosa aliyofanya Kavanaugh nje ya tuhuma zinazo mkabili.

Kwanza, mahojiano na TV ya FOX ambayo yameibua wanaomfahamu na kumwelezea tofauti

Mahojiano hayakuwa na ulazima, na alipolazimisha au kutumwa yamempa wakati mgumu
Wanaomjua wanasema alichosema ndani ya kamati sicho na hivyo aliongopa. Doa

Pili, marofesa na wasomi 1200 wamesikitishwa na jazba na mihemuko wakati wa mahojiano.

Hili nalo tulilisema mapema ya kuwa hakuwa na ulazima wa kueleza mambo ya kisiasa hadi kuwataja akina Clinton, au uchaguzi wa Trump. Ilikuwa upuuzi wa hali ya juu

Tatu, Jaji wa SC mstaafu John Paul Stevens aliyemuunga mkono awali amebadilisha msimamo akisema mahojiano ndani ya kamati hayakuonyesha uvumilivu na weledi, hafai kuwa Jaji wa SC

Kwa kutambua fyongo Inaweza kuyumbisha misimamo ya maseneta waliobaki,Kavanaugh kaandika WJ OP-ED akijutia jazba na kwamba yapo aliyosemahayakustahili kusemwa

Anajua kwa maseneta waliobaki hiyo inaweza kuwa kikwazo, ''kashariwa na WH''

Kavanaugh kujawa na jazba ni funzo kwetu. Kwamba wakati wa pressure subra inahitajika. Kwenda TV ya Fox na Kiburi katika mahojiano havikuwa sahihi wala kumsaidia

Tulikuwa sahihi bila 'bias' na anayethibitisha usahihi huo ni Kavanugh kupitia andiko lake WJ

Tusemezane
 
My oh my!

Bravo Senator Susan Collins for sticking to constitutional principles. She was absolutely brilliant on that senate floor.

That speech was a tour de force. A compelling support for Judge Brett Kavanaugh.

She put a lot of thought into it and now Judge [soon to be Justice] Kavanaugh is all but certain to be on the US Supreme barring some unforeseen mind-changing event between now and tomorrow.

Prof. Ford’s allegations were as weak as they could be.

Couldn’t remember shit. Waited some 36 years to come out.

She’s been used and abused by the Democraps.

Hopefully, going forward, this confirmation process will serve as a lesson, that, serious allegations against anyone should be judged by the universal standards of equity.

Timelines, evidence/corroboration, the accused afforded due process, etc.

Now Senator Joe Mancini, D-West Virginia, is also a ‘yes’ vote.

Hahahahaaa.....just hahahahaaa.
 
"Nyani Ngabu, post: 28656910, member: 188"Bravo Senator Susan Collins for sticking to constitutional principles. She was absolutely brilliant on that senate floor.That speech was a tour de force. A compelling support for Judge Brett Kavanaugh.
It brings back a memory of the late John McCain when he thumbed down the Obamacare.McCain was condemned by conservatives for sticking to the same constitutional principles.
Prof. Ford’s allegations were as weak as they could be.
No, inategemea unaangalia kwa mtazamo gani.

Allegation za Stormy zilionekana weak, kadri siku zinavyosonga tunapata picha kubwa zaidi. Trump alimuagiza Trump Jr na Cohen kuzuia timbwili la Stormy kitu ambacho alisema hakikutokea. Madai ya Russia yalionekana weak kadri siku zinavyokwenda tunajua mengine n.k.
Couldn’t remember shit. Waited some 36 years to come out.
Wait! what about Billy Cosby?
Hopefully, going forward, this confirmation process will serve as a lesson, that, serious allegations against anyone should be judged by the universal standards of equity.
Billy Cosby?
Timelines, evidence/corroboration, the accused afforded due process, etc.
Not at all. Nimekuwekea ushahidi wa Rais Trump kukataa FBI wasifanye uchunguzi. Senate Judiciary walikataa uchunguzi wa FBI wakilazimisha kura.

Ni pale tu ambapo Jeff Flake waliweka ngumu na walibaini mchakato utaishia hapo, then Mitch and Trump succumbed to the pressure and accepted the same.
In a rare moment, president Trump bowed down to the pressure and made unconventional U turn.

Hata hivyo, uchunguzi wa FBI uliwekewa uzio 'scope' wahusika Brett and Ford bila kuhojiwa. Copy ya nakala ilikuwa moja na classified na hakuna uchunguzi mwingine kwa waliojitokeza.

Katika kamati hakuna aliyeruhusiwa kuleta mashahidi wa tukio.
Katika tukio la watu wawili, who could be right or wrong without witness.

Hapa nina maana hakukuwepo na ''due process but duress process''.

Katika siku zijazo kila kitu kitawekwa wazi kwa kujua hakuna atakayezuia na hapo ndipo tutaweza kujua scope ya uchunguzi na nini FBI waliona
Now utapataje evidence bila witness? hasa likiwa tukio la wawili?

My point kama ilivyokuwa awali ni kuwa kulikuwa na shinikizo la kumpata Kavanaugh kwa njia zozote.Hiyo ilimnyima Dr Ford haki ya kusikilizwa au madai kufanyiwa uchunguzi wa kina

Kama unasema ''Timelines, evidence/corroboration, the accused afforded due process,'' je kwa Jaji Garland constitutional principles na due process ilikuwepo?

Si Republicans walikataa kumsikiliza kwa zaidi ya mwaka. Leo wanakuwaje mashujaa wa constitutional principles?
Now Senator Joe Mancini, D-West Virginia, is also a ‘yes’ vote
Kama ulinisoma jana, kura ya Joe Manchin ilikuwa ya kuzuia ''uharibifu'' kwa upande wake. Yupo katika ballot box midterm na katika himaya ya red state.

Hesabu za Dems ni kutopoteza maseneta katika midterm. Hivyo kura ya Susan Collins imem 'cover' Manchin in a way

Katika mabandiko #673 nilisema wazi kura ya turufu ipo kwa Murkowisk na Collins.
Laiti Collins angekwenda No, Joe Manchin angepiga No kwa cover kwamba waliomkataa ni GOP

Ninadhani Dems wakubali kuwa kulikuwa na due process kupitia FBI. Hili litawasaidi mbeleni wakati Trump atakapolalamika FBI kuwa bias na kwamba inatumika politically
 
KAVANAUGH KUTHIBITISHWA KESHO

Ni baada ya kura ya seneta Susan Collins(R-Meine) aliyesema atapiga kura ya ndiyo kwake
Hakuna kikwazo kingine kilichobaki dhidi yake, atakuwa associate SC Justice

Kuthibitishwa kwake kumekuja baada ya figisu za kisiasa , kisheria na kimezengwe

Kavanaugh anakwenda SC akiwa na historia ya kupingwa na makundi mbali mbali
Hilo halitamzuia kuwa Jaji wa SC

Kuna mambo kadhaa yanayojitokeza, ya muda mrefu na muda mfupi

Muda mfupi:

Kuelekea uchaguzi wa midterm, kuthibitishwa kwa Kabanaugh kutakuwa na athari kwa pande zote mbili, Liberal na conservative

Kwa conservatives hasa wa vijijini ambao ni 'mashabiki wakubwa wa Rais Trump, tukio hilo litawapa Jaji waliyemtaka ambaye kwa miaka mingi atapiga kura za sheria kadhaa

Moja ya sheria hizo ni WadeV Roe ambayo conservatives na hasa evangelical hawaipendi

Kesi hiyo ina mitazamo miwili. Kwamba kuna watu waisoitaka kwa imani za kidini.

Katika kundi hilo wapo wanawake wanaokubaliana nayo na wapo wasiokubaliana nayo.
Hata hivyo kwa kuangalia conservatives kwa ujumla, hili linampa Rais Trump big victory

Conservatives wataendelea kumuunga mkono Rais Trump na wafuasi wake katika house na senate. Ndiyo maana Republicans wamekuwa waoga sana kumgusa Trump wakihofia kundi hilo

Kwa Dems, Wade V Roe itawasaidia kumega kundi la wanawake kutoka conservatives wanaodhani wanawake wana haki ya kuamua hatma ya miili na maisha yao.

Hivyo, kwa sehemu kubwa wataitumia hiyo kama hoja ya kupunguza kundi la conservatives

Kwa upande wa wanawake wasomi na hasa wa mijini, tukio hilo lina maana mbili

Moja linawagusa katika Wade V Roe na pili linawakumbusha machungu ya 'kudhalilishwa kijinsia'
Kundi hili litaunga mkono Dems na Republicans watapunguza

Madhara ya kura za wanawake yanaweza kuonekana kwa kuangalia state ya Albama.
Katika special election ya senator, Roy Moore alituhumiwa kudhalilisha wanawake.

Katika kura ya jimbo ambalo ni Republicans wanawake waliamua nani mshindi kwa kumchagua mgombea wa Dems

Kwa mtazamo mpana, kwavile chaguzi za senate zinahusisha 'state' kwa ujumla, uwezekano wa GOP kupoteza maseneta ni mdogo kwani wana back up ya evangelicals na conservatives

Kwa upande wa house, representatives wapo katika districts. Hizi ni za mijini na vijijini.

Uwezekano wa GOP kupoteza wawakilishi mijini ni mkubwa kuliko ilivyo kwa senate
Ni hayo ndiyo yanasababisha kile kinachoitwa 'blue wave' kwa house

Senate ina maamuzi ya mwisho, House ina maamuzi ya awali hasa katika miswada

Tuangalie maamuzi ya muda mrefu

Inaendelea...
 
It brings back a memory of the late John McCain when he thumbed down the Obamacare.McCain was condemned by conservatives for sticking to the same constitutional principles.

What constitutional principle did McCain stick to when he thumbed down that Obamacare vote?

Senator Collins today talked about the principle of due process [specifically the presumption of innocence], which is spoken about in the 5th and the 14th Amendments of the U.S. Constitution.

What about John McCain?

No, inategemea unaangalia kwa mtazamo gani.

Okay, hebu twende mudogo mudogo tuone...

Allegation za Stormy zilionekana weak,

Zilionekana weak kwa mujibu wa nani? Mfano/ mifano?

kadri siku zinavyosonga tunapata picha kubwa zaidi. Trump alimuagiza Trump Jr na Cohen kuzuia timbwili la Stormy kitu ambacho alisema hakikutokea.

Hapo kwa Stormy hakuna kesi hapo. Sana sana kilichopo labda ni embarrasing information tu. Mpaka sasa hakuna ushahidi wowote ule unaomtia hatiani Trump kuwa alikiuka sheria za campaign finance.

Miaka miwili hii inakatika na hakuna lolote. Time to let it go.

Madai ya Russia yalionekana weak kadri siku zinavyokwenda tunajua mengine n.k.

Hahahaaa....Russian collusion illusion. There's no there there! Miaka miwili inakatika hakuna lolote la maana.

Wait! what about Billy Cosby?

Yeah, what about Bill Cosby? Last I checked he was sentenced to 3 to 10 years in a state prison for drugging and sexually assaulting Andrea Constand at his home 14 years ago.

This is 2018, right? So 14 years ago was 2004, right?

There is absolutely no comparison between what Bill Cosby was accused of and eventually found guilty of and what Brett Kavanaugh was being accused of.

Bill Cosby's accuser/ victim reported the incident to police back in 2005.

Dr. Ford waited until Brett Kavanaugh was nominated to the Supreme Court before she conveniently came out.

She couldn't even remember when the supposed incident took place, couldn't remember where it took place, couldn't remember shit about it....but could only remember it was Brett Kavanaugh and Mark Judge.

Mark Judge denied everything.

She had nothing to corroborate her allegations. Nothing.

So Bill Cosby's situation is no where even remotely comparable to what was being alleged against Judge Kavanaugh.

Sexual predators rarely end their predatory ways. Cosby has had a long list of allegations going back some 40 some years ago.

Kavanaugh has been in the limelight for 20 years or so serving at various levels of the US government. Never in his professional he has been accused of such serious crimes.

Only when he got appointed to the US Supreme Court is when all of this crap popped up.

He has sat on the United States Court of Appeals for the District of Columbia Circuit for 12 years. To sit on that bench he had to go through senate confirmation hearings and all that jazz.

Where were all these people then?

Not at all. Nimekuwekea ushahidi wa Rais Trump kukataa FBI wasifanye uchunguzi. Senate Judiciary walikataa uchunguzi wa FBI wakilazimisha kura.

Ni pale tu ambapo Jeff Flake waliweka ngumu na walibaini mchakato utaishia hapo, then Mitch and Trump succumbed to the pressure and accepted the same.
In a rare moment, president Trump bowed down to the pressure and made unconventional U turn.

Okay, sawa. Trump bowed and gave them what they asked for. In the end, like I predicted, there was nothing new.

Hata hivyo, uchunguzi wa FBI uliwekewa uzio 'scope' wahusika Brett and Ford bila kuhojiwa.

Kabla ya hiyo supplemental investigation, Kavanaugh alikuwa keshafanyiwa uchunguzi mara 6!

Isitoshe, Dr. Ford na Judge Kavanaugh wote walikuwa washahojiwa na kamati.

Naamini FBI waliona hakuna sababu ya msingi ya kuwahoji tena ilhali ushuhuda wao mbele ya kamati upo tayari.

Copy ya nakala ilikuwa moja na classified na hakuna uchunguzi mwingine kwa waliojitokeza.

Hiyo ni standard operating procedure ya FBI kutokuweka wazi matokeo ya chunguzi zake.

Katika kamati hakuna aliyeruhusiwa kuleta mashahidi wa tukio.
Katika tukio la watu wawili, who could be right or wrong without witness.

Mhusika mwenyewe hajielewi. Hajui kingine chochote zaidi ya kudai Brett ndiye alimtendea visivyo.

Waste of time.

Hapa nina maana hakukuwepo na ''due process but duress process''.

Naam. Kamala Harris na Dems wenzake kusema kwamba wanamwamini Dr. Ford kabla hata hajaenda mbele ya kamati ni kuonyesha bias ya hatari sana dhidi ya 'mtuhumiwa'.

Walichemka.

Katika siku zijazo kila kitu kitawekwa wazi kwa kujua hakuna atakayezuia na hapo ndipo tutaweza kujua scope ya uchunguzi na nini FBI waliona
Now utapataje evidence bila witness? hasa likiwa tukio la wawili?

Duh!

Kama mhusika mwenyewe hajui chochote zaidi ya kutaja jina la mtuhumiwa, hao mashahidi wengine wangesema nini?

Mark Judge mbona naye FBI walimhoji hii majuzi. Hukusikia?

Watu wote alowataja huyo mama kuwa walikuwepo wamekana.

Huyo mama katumiwa tu kisiasa na Dems. Hakuwa na kesi kabisa dhidi ya Kavanaugh.

And btw, hata aliyetoa sharti la hiyo supplemental investigation, Jeff Flake, karidhika na matokeo ya hiyo investiogation na atapiga kura ya 'Ndiyo' kumthibitisha Kavanaugh.

Ha!

My point kama ilivyokuwa awali ni kuwa kulikuwa na shinikizo la kumpata Kavanaugh kwa njia zozote.Hiyo ilimnyima Dr Ford haki ya kusikilizwa au madai kufanyiwa uchunguzi wa kina

Kama unasema ''Timelines, evidence/corroboration, the accused afforded due process,'' je kwa Jaji Garland constitutional principles na due process ilikuwepo?

Hahahaaa! Come on man.

Dems [Diane Feinstein] walijua kuhusu hayo madai tokea Julai. Kama kweli hao Dems walikuwa na nia ya kutafuta ukweli basi wange raise hiyo issue tokea kipindi hicho.

Lakini kwa vile nia yao ilikuwa ni kujipatia pointi za kisiasa, wakasubiri hadi dakika za majeruhi.

Kwa hiyo usizungumzie mambo ya haki ya Dr. Ford kusikilizwa halafu ukajisahaulisha kuwa ni Dems ndiyo walikuwa na hizo taarifa lakini wakazibania hadi mwishoni dakika za majeruhi ndo wajaribu bahati yao lakini mbinu yao imebuma.

Si Republicans walikataa kumsikiliza kwa zaidi ya mwaka. Leo wanakuwaje mashujaa wa constitutional principles? Kama ulinisoma jana, kura ya Joe Manchin ilikuwa ya kuzuia ''uharibifu'' kwa upande wake. Yupo katika ballot box midterm na katika himaya ya red state.

Kuhusu Judge Garland, well, GOP walikuwa na kura za kutosha kuzuia/ kuukalia uteuzi wake. Hawakuvunja katiba.

Walitumia uwezo wao wa kikatiba kupata kile walichokitaka. Naamini hata Dems kama wangekuwa na wingi katika senate na wao wangefanya hivyo hivyo tu dhidi ya Kavanaugh.

That's why elections have consequences.

Hesabu za Dems ni kutopoteza maseneta katika midterm. Hivyo kura ya Susan Collins imem 'cover' Manchin in a way

Katika mabandiko #673 nilisema wazi kura ya turufu ipo kwa Murkowisk na Collins.
Laiti Collins angekwenda No, Joe Manchin angepiga No kwa cover kwamba waliomkataa ni GOP

Ninadhani Dems wakubali kuwa kulikuwa na due process kupitia FBI. Hili litawasaidi mbeleni wakati Trump atakapolalamika FBI kuwa bias na kwamba inatumika politically

We'll see.
 
Nyani Ngabu, post: 28658152, member: 188"]What constitutional principle did McCain stick to when he thumbed down that Obamacare vote?What about John McCain?
Conservatives and alt-right walimshambulia McCain kwa kauli yake kuwa Healthcare issue zinapaswa zifanyike in bipartisan. McCain alikuwa ana exercise his freedom of speech which is enshrined in the constitution, first amendment
Zilionekana weak kwa mujibu wa nani? Mfano/ mifano?
Zilionekana weak kwa conservative media, surrogates and supporter wa Trump kwavile zilitoka kwa Stormy, mfanyabiashara ya ngono.
Hapo kwa Stormy hakuna kesi ni embarrasing information tu. Hakuna ushahidi unaomtia hatiani Trump kuwa alikiuka sheria za campaign finance
Suala si kesi ni uthabiti wa madai yaliyotolewa na ukweli uliopo. Trump alikana kufanya ngono, si kweli alikula tunda na Stormy. Akakana kutotoa pesa, ukweli unajulikana alitoa.Cohen kasema Don Jr aishirikI. Tusubiri kuona kama campaign finance haitarudi tena.
Russian collusion illusion. There's no there there! Miaka miwili inakatika hakuna lolote
Kwa mujibu wa nani? Kuna indictment 100+. Mueller yupo kazini hatujui nini kitatokea. Kusema no there there kunaturudisha mwanzo uliposema habari za Russia collusion ni fake kutoka Clinton news network.
Leo siyo fake kwasababu the inner circle wanatoa ushirikiano kwa Mueller.
Wantoa ushirikiano wa nini kwa kitu fake? Siyo fake, the question is Mzee alishiriki?
Last I checked he was sentenced to 3 to 10 years in a state prison for drugging and sexually assaulting Andrea Constand at his home 14 years ago.This is 2018, right? So 14 yearS, there is absolutely no comparison between what Bill Cosby was accused and what Brett Kavanaugh was being accused of.Sexual predators rarely end their predatory ways. Cosby has had a long list of allegations going back some 40 some years ago.
Right !Uh, one man's meat is another man's poison. The comparison is on the 'due process'.
Dr. Ford waited until Brett Kavanaugh was nominated to the Supreme Court before she conveniently came out.
Not true, please check your source(s). Dr Ford presented her 'allegations' before Kavanaugh was nominated
Mark Judge denied everything.
Hey ! do you expect an accomplice to implicate himself? By the way he never used the word 'deny'.
Mark said, he has no recollections. Deny means refuting categorically that no such event happened. 'Recollection' is loss of memory. You may qualify it as 'may be or may be not'
She had nothing to corroborate her allegations. Nothing.
She was never interrogated ,never given a chance to corroborated her allegations.
Judge Kavanaugh denied FBI investigations at the begining. He knew, through the normal procedure, a lot could be unearthed, that's the reason Mitch and Magahn limited the scope of investigation
So Bill Cosby's situation is no where even remotely comparable to what was being alleged against Judge Kavanaugh.
Cosby is convicted predator , Kavanaugh is accused predator, the lesser of two evils, uh!
Kavanaugh has been in the limelight for 20 years or so serving at various levels of the US government. Never in his professional he has been accused of such serious crimes.
It's all about 'alleged crimes' committed before he became a judge. It's about his credibility as Brett not a judge. Kavanaugh has exhibited the lack of composure and incoherence through his vulgar remarks that cast doubt on his past
Only when he got appointed to the US Supreme Court is when all of this crap popped up.
The same as Obama's Birther mantra well orchestrated by Trump
He has sat on the United States Court of Appeals for the District of Columbia Circuit for 12 years. To sit on that bench he had to go through senate confirmation hearings and all that jazz.Where were all these people then?
Obama was a state senator and then US Senator, why Trump never raised a concern about 'birtherism'?
Kabla ya hiyo supplemental investigation, Kavanaugh alikuwa keshafanyiwa uchunguzi mara 6!Isitoshe, Dr. Ford na Judge Kavanaugh wote walikuwa washahojiwa na kamati.
Kamati ni FBI? Kama ni hivyo kwanini walipeleka FBI ikiwa kamati ilishafanya kazi ya FBI?
Naamini FBI waliona hakuna sababu ya msingi ya kuwahoji tena ilhali ushuhuda wao mbele ya kamati upo tayari.
Kwanini hawaku declare
Hiyo ni standard operating procedure ya FBI kutokuweka wazi matokeo ya chunguzi zake.
Not true! Walipopeleka WH ikiwa na seal. Ilipopelekwa kwa Mitch haikuwa classified.
Kilichofanyika ni Mitch kuzuia public isione.

Hakuna procedure hiyo na wala FBI hawana procedure hiyo. Ni wajibu wa aliyeomba taarifa
Mark Judge mbona naye FBI walimhoji hii majuzi. Hukusikia?Watu wote alowataja huyo mama kuwa walikuwepo wamekana.
Hajakana, wamesema hawana recollections. Hili neno ni muhimu sana kulielewa
And btw, hata aliyetoa sharti la hiyo supplemental investigation, Jeff Flake, karidhika na matokeo ya hiyo investiogation na atapiga kura ya 'Ndiyo' kumthibitisha Kavanaugh.
Si kweli, sharti la FBI lilizungumzwa kabla. Mitch alikataa, Trump alikataa. Mitch akataka kura ya lazima.

Flake akasimamishwa na akina mama. Hakuwa na jinsi akataka uchunguzi wa FBI uliopendekezwa. Si kweli kwamba ndiye aliyetoa wazo
Kuhusu Judge Garland, well, GOP walikuwa na kura za kutosha kuzuia/ kuukalia uteuzi wake. Hawakuvunja katiba.
Waliwahi kumsikiliza? Waliwahi kupiga kura?Due process ilifanyika?
 
KUTHIBITISHWA KWA KAVANAUGH

Kura zinahesabiwa na hakuna mabadiliko licha ya maandamano na kupingwa kuthibitishwa kwake
Wakati wote wapingaji walikuwa wakipiga kelele uingilia hotuba na kutolewa nje

Jaji Kavanaugh anathibitishwa kuwa Associate justice of SC-US kama ilivyotarajiwa

VP Pence amemthibitisha Kavanaugh kwa kura 50 kwa 48
 
Back
Top Bottom