Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,250
- 113,634
''Very unlikely'' kwa mujibu wa habari za leo.Inaonekana kuna jingine linafukuta ngoja tusubiri
What is very unlikely?
Kwamba FBI hawatokuja na jipya au Dems hawatahamisha goli?
''Very unlikely'' kwa mujibu wa habari za leo.Inaonekana kuna jingine linafukuta ngoja tusubiri
No kuna habari ambazo zinaweza kutazamwa kwa pande mbiliWhat is very unlikely?
Kwamba FBI hawatokuja na jipya au Dems hawatahamisha goli?
No kuna habari ambazo zinaweza kutazamwa kwa pande mbili
1. Senate judiciary kama sikosei imepeleka habari DOJ kutoka kwa 'asiyejulikana' au mtonyaji kuhusu information alizotoa Kavanaugh na rekodi ya nyuma si sahihi.
Hili halina uhusiano na ngono
Kama ni kweli kwa mujibu wa vyanzo, kuna mambo mawili
1. Senate judiciary imeamua kuwa 'ahead' ili yasitokee ya FBI. Kama preemptive strategy
2. Inawezekana kamati inawasi wasi kuwa mtonyaji anaweza kuwa alitonya 'media' hivyo ni vema kuwahi ili kuzuia isijeonekana wanafukia madudu
3. Au wanaweza kuwa na habari zinazoshabihiana na mtonyaji
Ni mapema mno ngoja tusubiri ''Sunday talks'' kama habari zitathibitishwa
Senetor Graham, Lindsey alilifafanu vizuri sana hili. Ewe msoma post hii kama hukupata furusa ya kumsikiliza Senetor Graham, basi mtazame na kumsikiliza pale alipopewa nafasi; maelezo yake yanaanzi dakika ya 6 sekunde ya 27. karibu.Kwa hiyo ndugu yangu kilichopo hapo ni siasa mwanzo mwisho na Dr. Ford ni political pawn wa Democrats.
Ndani ya viunga vya DC kilalifanyikalo ni katika 'calculus' liwe la kisiasa au la. Ninchoweza kusema ni kuwa Diane ame play smartOkay, sawa.
But what say you kuhusu Diane Feinstein kuikalia barua hadi dakika za mwisho?
Je, kulikuwa na political calculus au hakukuwepo?
Naona gutter politics zinaanza kumrudia yeye mwenyewe sasaBreaking News: Donald Trump exposed!...New York Times
The president has long sold himself as a self-made billionaire, but a Times investigation found that he received at least $413 million in today’s dollars from his father’s real estate empire, much of it through tax dodges in the 1990s.
By age 3, Mr. Trump was earning $200,000 a year in today’s dollars from his father’s empire. He was a millionaire by age 8. By the time he was 17, his father had given him part ownership of a 52-unit apartment building. Soon after Mr. Trump graduated from college, he was receiving the equivalent of $1 million a year from his father. The money increased with the years, to more than $5 million annually in his 40s and 50s.
President Trump participated in dubious tax schemes during the 1990s, including instances of outright fraud, that greatly increased the fortune he received from his parents.
Much of this money came to Mr. Trump because he helped his parents dodge taxes. He and his siblings set up a sham corporation to disguise millions of dollars in gifts from their parents, records and interviews show. Records indicate that Mr. Trump helped his father take improper tax deductions worth millions more.
He also helped formulate a strategy to undervalue his parents’ real estate holdings by hundreds of millions of dollars on tax returns, sharply reducing the tax bill when those properties were transferred to him and his siblings.
For more read this...
Aisee! Mimi ngoja nimalizie fanya uchunguzi binafsi kuhusu Dr Ford na mahojiano kutoka kwa walioshuhudia kwa karibu sana tukio hili na amabo walikuwa na taarifa za awali juu ya mwenendo wa Dr. Ford. Nimepata hii hapa. Jisomee.Breaking News: Donald Trump exposed!...New York Times
TUJITEGEMEE, Dr. Christine Margaret Blasey Ford has nothing to gain/lose from this whole episode while Judge Brett M. Kavanaugh has everything to gain/lose. Dr. Christine Margaret Blasey Ford accused Judge Brett M. Kavanaugh before he was even nominated by President Trump...think about it.Aisee! Mimi ngoja nimalizie fanya uchunguzi binafsi kuhusu Dr Ford na mahojiano kutoka kwa walioshuhudia kwa karibu sana tukio hili na amabo walikuwa na taarifa za awali juu ya mwenendo wa Dr. Ford.
Hivi mwenye matatizo ya kumbukumbu namna hii wakutiliwa maanani kweli. Nimesikia kuna mwanaume amejitokeza na kusema yeye ndiye alihusika Dr. Ford anamtuhumu Brett kimakosa.
Trump alikuwa anarejea post #669 ya uzi huu hasa sehemu ya namba tano (5). Sidhani kama likuwa anadhihaki...alikuwa anarudia yale yaliyofanywa na na Dr. Ford.Trump alimdhahika Dr Ford
It brings back a memory of the late John McCain when he thumbed down the Obamacare.McCain was condemned by conservatives for sticking to the same constitutional principles."Nyani Ngabu, post: 28656910, member: 188"Bravo Senator Susan Collins for sticking to constitutional principles. She was absolutely brilliant on that senate floor.That speech was a tour de force. A compelling support for Judge Brett Kavanaugh.
No, inategemea unaangalia kwa mtazamo gani.Prof. Ford’s allegations were as weak as they could be.
Wait! what about Billy Cosby?Couldn’t remember shit. Waited some 36 years to come out.
Billy Cosby?Hopefully, going forward, this confirmation process will serve as a lesson, that, serious allegations against anyone should be judged by the universal standards of equity.
Not at all. Nimekuwekea ushahidi wa Rais Trump kukataa FBI wasifanye uchunguzi. Senate Judiciary walikataa uchunguzi wa FBI wakilazimisha kura.Timelines, evidence/corroboration, the accused afforded due process, etc.
Kama ulinisoma jana, kura ya Joe Manchin ilikuwa ya kuzuia ''uharibifu'' kwa upande wake. Yupo katika ballot box midterm na katika himaya ya red state.Now Senator Joe Mancini, D-West Virginia, is also a ‘yes’ vote
It brings back a memory of the late John McCain when he thumbed down the Obamacare.McCain was condemned by conservatives for sticking to the same constitutional principles.
No, inategemea unaangalia kwa mtazamo gani.
Allegation za Stormy zilionekana weak,
kadri siku zinavyosonga tunapata picha kubwa zaidi. Trump alimuagiza Trump Jr na Cohen kuzuia timbwili la Stormy kitu ambacho alisema hakikutokea.
Madai ya Russia yalionekana weak kadri siku zinavyokwenda tunajua mengine n.k.
Wait! what about Billy Cosby?
Not at all. Nimekuwekea ushahidi wa Rais Trump kukataa FBI wasifanye uchunguzi. Senate Judiciary walikataa uchunguzi wa FBI wakilazimisha kura.
Ni pale tu ambapo Jeff Flake waliweka ngumu na walibaini mchakato utaishia hapo, then Mitch and Trump succumbed to the pressure and accepted the same.
In a rare moment, president Trump bowed down to the pressure and made unconventional U turn.
Hata hivyo, uchunguzi wa FBI uliwekewa uzio 'scope' wahusika Brett and Ford bila kuhojiwa.
Copy ya nakala ilikuwa moja na classified na hakuna uchunguzi mwingine kwa waliojitokeza.
Katika kamati hakuna aliyeruhusiwa kuleta mashahidi wa tukio.
Katika tukio la watu wawili, who could be right or wrong without witness.
Hapa nina maana hakukuwepo na ''due process but duress process''.
Katika siku zijazo kila kitu kitawekwa wazi kwa kujua hakuna atakayezuia na hapo ndipo tutaweza kujua scope ya uchunguzi na nini FBI waliona
Now utapataje evidence bila witness? hasa likiwa tukio la wawili?
My point kama ilivyokuwa awali ni kuwa kulikuwa na shinikizo la kumpata Kavanaugh kwa njia zozote.Hiyo ilimnyima Dr Ford haki ya kusikilizwa au madai kufanyiwa uchunguzi wa kina
Kama unasema ''Timelines, evidence/corroboration, the accused afforded due process,'' je kwa Jaji Garland constitutional principles na due process ilikuwepo?
Si Republicans walikataa kumsikiliza kwa zaidi ya mwaka. Leo wanakuwaje mashujaa wa constitutional principles? Kama ulinisoma jana, kura ya Joe Manchin ilikuwa ya kuzuia ''uharibifu'' kwa upande wake. Yupo katika ballot box midterm na katika himaya ya red state.
Hesabu za Dems ni kutopoteza maseneta katika midterm. Hivyo kura ya Susan Collins imem 'cover' Manchin in a way
Katika mabandiko #673 nilisema wazi kura ya turufu ipo kwa Murkowisk na Collins.
Laiti Collins angekwenda No, Joe Manchin angepiga No kwa cover kwamba waliomkataa ni GOP
Ninadhani Dems wakubali kuwa kulikuwa na due process kupitia FBI. Hili litawasaidi mbeleni wakati Trump atakapolalamika FBI kuwa bias na kwamba inatumika politically
Conservatives and alt-right walimshambulia McCain kwa kauli yake kuwa Healthcare issue zinapaswa zifanyike in bipartisan. McCain alikuwa ana exercise his freedom of speech which is enshrined in the constitution, first amendmentNyani Ngabu, post: 28658152, member: 188"]What constitutional principle did McCain stick to when he thumbed down that Obamacare vote?What about John McCain?
Zilionekana weak kwa conservative media, surrogates and supporter wa Trump kwavile zilitoka kwa Stormy, mfanyabiashara ya ngono.Zilionekana weak kwa mujibu wa nani? Mfano/ mifano?
Suala si kesi ni uthabiti wa madai yaliyotolewa na ukweli uliopo. Trump alikana kufanya ngono, si kweli alikula tunda na Stormy. Akakana kutotoa pesa, ukweli unajulikana alitoa.Cohen kasema Don Jr aishirikI. Tusubiri kuona kama campaign finance haitarudi tena.Hapo kwa Stormy hakuna kesi ni embarrasing information tu. Hakuna ushahidi unaomtia hatiani Trump kuwa alikiuka sheria za campaign finance
Kwa mujibu wa nani? Kuna indictment 100+. Mueller yupo kazini hatujui nini kitatokea. Kusema no there there kunaturudisha mwanzo uliposema habari za Russia collusion ni fake kutoka Clinton news network.Russian collusion illusion. There's no there there! Miaka miwili inakatika hakuna lolote
Right !Uh, one man's meat is another man's poison. The comparison is on the 'due process'.Last I checked he was sentenced to 3 to 10 years in a state prison for drugging and sexually assaulting Andrea Constand at his home 14 years ago.This is 2018, right? So 14 yearS, there is absolutely no comparison between what Bill Cosby was accused and what Brett Kavanaugh was being accused of.Sexual predators rarely end their predatory ways. Cosby has had a long list of allegations going back some 40 some years ago.
Not true, please check your source(s). Dr Ford presented her 'allegations' before Kavanaugh was nominatedDr. Ford waited until Brett Kavanaugh was nominated to the Supreme Court before she conveniently came out.
Hey ! do you expect an accomplice to implicate himself? By the way he never used the word 'deny'.Mark Judge denied everything.
She was never interrogated ,never given a chance to corroborated her allegations.She had nothing to corroborate her allegations. Nothing.
Cosby is convicted predator , Kavanaugh is accused predator, the lesser of two evils, uh!So Bill Cosby's situation is no where even remotely comparable to what was being alleged against Judge Kavanaugh.
It's all about 'alleged crimes' committed before he became a judge. It's about his credibility as Brett not a judge. Kavanaugh has exhibited the lack of composure and incoherence through his vulgar remarks that cast doubt on his pastKavanaugh has been in the limelight for 20 years or so serving at various levels of the US government. Never in his professional he has been accused of such serious crimes.
The same as Obama's Birther mantra well orchestrated by TrumpOnly when he got appointed to the US Supreme Court is when all of this crap popped up.
Obama was a state senator and then US Senator, why Trump never raised a concern about 'birtherism'?He has sat on the United States Court of Appeals for the District of Columbia Circuit for 12 years. To sit on that bench he had to go through senate confirmation hearings and all that jazz.Where were all these people then?
Kamati ni FBI? Kama ni hivyo kwanini walipeleka FBI ikiwa kamati ilishafanya kazi ya FBI?Kabla ya hiyo supplemental investigation, Kavanaugh alikuwa keshafanyiwa uchunguzi mara 6!Isitoshe, Dr. Ford na Judge Kavanaugh wote walikuwa washahojiwa na kamati.
Kwanini hawaku declareNaamini FBI waliona hakuna sababu ya msingi ya kuwahoji tena ilhali ushuhuda wao mbele ya kamati upo tayari.
Not true! Walipopeleka WH ikiwa na seal. Ilipopelekwa kwa Mitch haikuwa classified.Hiyo ni standard operating procedure ya FBI kutokuweka wazi matokeo ya chunguzi zake.
Hajakana, wamesema hawana recollections. Hili neno ni muhimu sana kulielewaMark Judge mbona naye FBI walimhoji hii majuzi. Hukusikia?Watu wote alowataja huyo mama kuwa walikuwepo wamekana.
Si kweli, sharti la FBI lilizungumzwa kabla. Mitch alikataa, Trump alikataa. Mitch akataka kura ya lazima.And btw, hata aliyetoa sharti la hiyo supplemental investigation, Jeff Flake, karidhika na matokeo ya hiyo investiogation na atapiga kura ya 'Ndiyo' kumthibitisha Kavanaugh.
Waliwahi kumsikiliza? Waliwahi kupiga kura?Due process ilifanyika?Kuhusu Judge Garland, well, GOP walikuwa na kura za kutosha kuzuia/ kuukalia uteuzi wake. Hawakuvunja katiba.