Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,064
- 22,757
Hakika huko unakopata habari zako kunatisha. Ndugu yangu TUJITEGEMEE kama tulivyotabiri awali ndo ndo ndo sasa imekuwa chururuuuuu! Kabla ya Krismasi ya mwaka huu tutashuhudia mengi kwani Marekani mambo hayaendi kwa pupa wala kwa kukurupuka na kupayuka hovyo. Yanayomsubiri Rais Donald Trump mbele ya safari hata yale yalliyomkuta Rais Nixon miaka 40 iliyopita, yataonekana kama cha mtoto. Wewe endelea kuota tu.As such, the investigation’s focus has shifted this year from looking for collusion to finding obstruction. Mueller’s team have combed through Trump’s tweets and looked at his firing of former FBI Director James Comey with a view to finding this obstruction, so far unsuccessfully.
Cohen's plea comes two weeks before the lawyer is due to be sentenced for the earlier tax and campaign finance violations. He is facing a possible term of 46 to 63 months in prison and a potential fine of up to $1 million. His voluntary cooperation with Mueller, however, could see this punishment lessened significantly.
===
Cohen anachokifanya, ni kumchomoa Trump kwenye 'makandokando' ingawa anadhani ndiye anampaka hayo makandokando. Kwa hili Trump atapeta tu.