kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,042
Mrusi alivyoshambulia ukrain nakuchukuwa baadhi ya majimbo ya ukrain
Kuna watu walimuita putin shujaa mbambe wa dunia sijui nini wengine walikwenda mbali wakamuita baba mtakatifu Wa ukrain walivyo jaribu kulalamika nakuomba msaada wa dunia baadhi ya watu waliwaita wanafiki mashoga [emoji30][emoji23][emoji1][emoji2][emoji3]
Kuna watu uko Wanapewa kichapo kila kukicha wanazunguka mitandaoni wakitaka watu wote tuwaonee huruma [emoji2][emoji30][emoji23]
Kwa dunia ya sasa kila mtu na mnyonge wake
Kama nguvu munayo kweli nendeni kupambana kwenye uwanja wa vita uko sio mitandaoni