And that makes it okay?
Yaani ili bara liitwe bara lazima liwe surrounded na maji lakini kipande Chao wale wazungu wakaamua Tu kusudi kuita bara na hakuna maji surrounded...na wewe ndo imekubali kama tutusa? seriously??
Mbona walipokwambia Dr Livingston ndo kagundua Ziwa Tanganyika...umeamka na kupinga...
Christopher Columbus kagundua America?waliokuwa wanaoishi kabla hajafika je??
Mbona vitu vingine viko so open...
Hakuna bara linaitwa Europe...
Kama ambavyo Hakuna mtu kutoka Ulaya aliekuja Africa na kusema binadaamu wa kwanza kugundua Mlima Kilimanjaro....wachaga wale na wamasai ni wanyama????