Duniani kuna mabara mangapi?

Duniani kuna mabara mangapi?

Haohao waliokupa hiyo definition ndio wanaloliita europe ni bara, sasa akili yako i wapi?

And that makes it okay?
Yaani ili bara liitwe bara lazima liwe surrounded na maji lakini kipande Chao wale wazungu wakaamua Tu kusudi kuita bara na hakuna maji surrounded...na wewe ndo imekubali kama tutusa? seriously??

Mbona walipokwambia Dr Livingston ndo kagundua Ziwa Tanganyika...umeamka na kupinga...
Christopher Columbus kagundua America?waliokuwa wanaoishi kabla hajafika je??

Mbona vitu vingine viko so open...

Hakuna bara linaitwa Europe...
Kama ambavyo Hakuna mtu kutoka Ulaya aliekuja Africa na kusema binadaamu wa kwanza kugundua Mlima Kilimanjaro....wachaga wale na wamasai ni wanyama????
 
Huu ni utumbo bablai.
Unajaribu kudanganya watu hapa.
Hakuna kitu kinaitwa Autralasia bali Oceania continent
 
Huu ni utumbo bablai.
Unajaribu kudanganya watu hapa.
Hakuna kitu kinaitwa Autralasia bali Oceania continent

Mimi nakwambia hakuna Europe we umerukia Oceania...
Oceania au Australasia ...hayo ni majina Tu but eneo lake linajulikana kuwa ni Australia,New Zealand, Fiji nk...

Usihamishe magoli...
Nilikuwa nakupa the truth about Europe ambayo ulikuwa haujui...
 
Eti Australasia...hii imetumika kama ukanda na sio bara
Huu ni uongo mtupu
Australia na Newzealand na Fiji vinaitwa Oceania

Dogo usibishane na Baba zako...

Screenshot_2023-05-16-03-48-20-495_com.android.chrome.jpg
 
Mimi nakwambia hakuna Europe we umerukia Oceania...
Oceania au Australasia ...hayo ni majina Tu but eneo lake linajulikana kuwa ni Australia,New Zealand, Fiji nk...

Usihamishe magoli...
Nilikuwa nakupa the truth about Europe ambayo ulikuwa haujui...
Sijahamisha goli wala magoli hapa nilikuwa nakujibu pia kuhusu Australasia yako kuwa hii haimanishi ni bara bali ni ukanda, au koloni hasa koloni la Muingereza kusini mwa Asia...hii ndio maana halisi ya hilo jina.

Kuhusu bara hili huitwa Oceania.
Umetosheka turudi Uropa?
 
Wewe utakuwa Mzanzibar wale CHOGOLESS.
Austalasia haimaanishi bara bali ukanda/nchi zilizotawaliwa na Muingereza kusini mwa Asia ndg yangu.
Lala upumzishe fuvu

Wewe unaongea na source zipi?unatoa kichwani mwako??
 
Back
Top Bottom