Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Ulisoma shule gani mkuu?Australia ni bara? Sijawahi sikia bara linaitwa Australia.
Ulisoma shule gani mkuu?Australia ni bara? Sijawahi sikia bara linaitwa Australia.
dah.,. Umeishia la 2bAustralia ni bara? Sijawahi sikia bara linaitwa Australia.
Nafikiri hapo umeweka mfano wa elimu ya watoto. Ni kama watoto kufundishwa kuwa 0 kutoa moja haiwezekani lakini baadaye wanafundishwa kuwa sifuri kutoa moja ni negative moja. Mtu anayemaliza form 4 anatakiwa kufahamu kuna mabara ma 4 hadi 8 kulingana na criteria.Nimeupitia huu mjadala kwanza nikaona na mimi nikachimbe wenzetu huko wanafundishwa nini kuhusu mabara
●Green Oaks Academy, UK
View attachment 2623799
●St. Brigid Catholic Elementary School, Canada
View attachment 2623800
●Marekani
View attachment 2623801
Huko kote watoto wanafundishwa kuwa kuna mabara saba Africa, Asia, Australia (Ocenia), North America, South America na Antarctica.
Sijaona wakifundishwa bara la Eurasia
Ila hoja ya wanaosema Eurasia ni bara ina mashiko na iko kwenye mijadala ukizingatia definition ya Continent
KWA SASA ACADEMICALLY ILI TUSIWAPOTOSHE WANAFUNZI/WATOTO WETU MABARA NI SABA: Africa, Asia, Australia, Antarctica, North America na South America
Hayo mengine tuyaache kama mjadala tena wenye mantiki na tija
Kuna vitu havina cha level hiyo iko officially duniani kote mabara ni 7Nafikiri hapo umeweka mfano wa elimu ya watoto. Ni kama watoto kufundishwa kuwa 0 kutoa moja haiwezekani lakini baadaye wanafundishwa kuwa sifuri kutoa moja ni negative moja. Mtu anayemaliza form 4 anatakiwa kufahamu kuna mabara ma 4 hadi 8 kulingana na criteria.
Haya mambo yakijadiliwa na wabobezi huwa yanakuja na majibu mfano hilo suala la Eurasia bado lina mjadala ulio mezani kati ya geographers wanaosema ni bara wengine wanasema sio baraNafikiri hapo umeweka mfano wa elimu ya watoto. Ni kama watoto kufundishwa kuwa 0 kutoa moja haiwezekani lakini baadaye wanafundishwa kuwa sifuri kutoa moja ni negative moja. Mtu anayemaliza form 4 anatakiwa kufahamu kuna mabara ma 4 hadi 8 kulingana na criteria.
Labda alikua anamaanisha ulayaWrong hakuna bara linaitwa Europe ni utapeli hapo
Wakuu sana, eti kijiografia duniani kuna mabara mangapi?
![]()
Wewe unafikiri Europe ni bara kwa vigezo gani na Eurasia si bara kwa vigezo gani?Haya mambo yakijadiliwa na wabobezi huwa yanakuja na majibu mfano hilo suala la Eurasia bado lina mjadala ulio mezani kati ya geographers wanaosema ni bara wengine wanasema sio bara
Ni kama vile zamani tulisoma kuna sayari 9 ila sasa hivi mitaala duniani kote imebadilishwa kuwa sayari ziko 8 tu na hii ni baada ya wabobezi astronomers kukaa, kujadili na kukubaliana kuwa Pluto haikidhi vigezo vya kuwa Sayari
Kwa sasa haina haja ya kuforce kuwa Eurasia ni bara bado halijawa officially bara ni mjadala unaondelea kati ya geographers
Hakuna bara linaloitwa Eurasia mkuuWewe unafikiri Europe ni bara kwa vigezo gani na Eurasia si bara kwa vigezo gani?
Lipo. Ndilo bara kubwa duniani.Hakuna bara linaloitwa Eurasia mkuu
🤣🤣🤣 sawa mkuu. Unapoelekea hata katoto kadarasa la 3 katakufundisha Geography sasaLipo. Ndilo bara kubwa duniani.
Ant-Arctic and hence the name AntarcticaAfrica
Europe
Asia
Australia
South America
North America
Antaktika