Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,101
- 62,052
Hata hao kuna Muda Katika maisha priorities zao zinakua SIO wew tena mzeeUpo wew
Wazazi
Watoto wako
BAELEZEEETatizo mnatafuta marafiki wema wakati nyinyi wenyewe hampo tayari kuwa marafiki wema.
Kiuhalisia, urafiki wa kweli upo ila ni nadra sana kuupata kama yalivyo mahusiano ya aina nyingine yoyote ile.
FactTatizo mnatafuta marafiki wema wakati nyinyi wenyewe hampo tayari kuwa marafiki wema.
Kiuhalisia, urafiki wa kweli upo ila ni nadra sana kuupata kama yalivyo mahusiano ya aina nyingine yoyote ile.
Jeshi la mtu mmoja bwashee
Kama unaishia kutoa tu pesa ya chakula na kumlipia ada na matumizi bila kumpa muda wa kutosha , nayeye atayeya na kuungana na mama yakeMtt wangu ndio rafiki yangu wa ukweli na hata akinisaliti sitakuwa na maumivu km yakusalitiwa na mtu baki
Wakati mwingine hawa unao waamini wanaweza kukutelekeza piaUpo wew
Wazazi
Watoto wako
Hitaji lake yule si hela, bali ni uhuru tuuko sahihi mkuu hojaa yako NI 80/20 ..tuendelee kumchangia rafiki WA watanganyika ndugu lissu kupitia tonetone
Wewe ukipewa milioni 50 hautomfitini huyo rafiki yako?Tatizo mnatafuta marafiki wema wakati nyinyi wenyewe hampo tayari kuwa marafiki wema.
Kiuhalisia, urafiki wa kweli upo ila ni nadra sana kuupata kama yalivyo mahusiano ya aina nyingine yoyote ile.
a KweliWengi huwa wanajidanganya, kwa kusema fulani ni rafiki yangu wa katika shida na raha. Na wengine mpaka wanaitana shoga yangu n.k
Ila ukweli ni huu; wote ni wasaka fursa, ila kwa sasa mnapeana tu kampani za kupunguza machungu ya kuungua na jua la utosi.
Unafikiri huyo unayemuita rafiki yako wa kufa na kuzikana, akipewa milioni 50 ili akufitini wewe, atakataa?
Duniani hakuna rafiki, bali uko peke yako.
Huo ni ukweli mtupuWengi huwa wanajidanganya, kwa kusema fulani ni rafiki yangu wa katika shida na raha. Na wengine mpaka wanaitana shoga yangu n.k
Ila ukweli ni huu; wote ni wasaka fursa, ila kwa sasa mnapeana tu kampani za kupunguza machungu ya kuungua na jua la utosi.
Unafikiri huyo unayemuita rafiki yako wa kufa na kuzikana, akipewa milioni 50 ili akufitini wewe, atakataa?
Duniani hakuna rafiki, bali uko peke yako.
Ningekuwa na tamaa hiyo kwa sasa ningekuwa mbali mno. Sijawahi compromise value yangu hata moja for money. Itakuwa kumsnitch mtu mkuu?..Wewe ukipewa milioni 50 hautomfitini huyo rafiki yako?