Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,926
- 4,110
Tutaelewana tu! Itapendeza km utampatia Dr. Shika walau muhogo wa kuchoma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpk alipata Meneja wake,mdada mmoja hivi.Nakumbuka kuna kampuni ya kamari ikamtumia kwenye matangazo yake sijui kama alilipwa pesa nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Badae kidogo ntatoa kisa changu cha kusisimua ambacho ni cha kweli 100% naamini wengi watajifunza kupitia mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa TISS![]()