Duniani hakuna haki

Duniani hakuna haki

Huyu akili yake haiko stable
Tangia mwanzoni watu tulimshtukia

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry huyu ni msomi Daktari wa Binadamu. Ana miaka 50 tuu. Hivi ilishindikana kumpa Kazi ya Daktari hapa Bongo? Ina maana Elimu yake haitufai? Pole Daktari I don't know where you went Wrong hata Utaalaamu wako usihitajike nchi hii.
 
Anha

Kumbe ndio yule jamaa alisema kuna pesa zake sijui Russia|Pakistan zimekwama kidogo kutokana na System ya wenyewe huko sio Muda zifafika.

Mapema mie nilitambua hakuna pesa pale huyu jamaa kiuhalisia hana pesa kabisa ..Sema ana akili ya kujichetua|Kujitoa wazimu ya kufanya vitu ambayo hana hata uwezo navyo.

".....Tutaelewana kidogo kidogo,Ngoja tuoneshane makali.
Kuna msanii wake alikuwa anamsimamia...imekuwaje? Yan hata akina roma walimtumia kwenye video yao wanashindwa kumsaidia jamanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa Dar hamna ubinadamu kabisa.Yaani mmeshindwa kumuhifadhi mtanzania mwenzenu hata kwenye banda la uwani?Dr.Shika alivyo anaonyesha ni mtu muungwana,is not a crook/thug!
 
+1
Niwahi kupata msukosuko kwenye biashara wakati flan, asee asikwsmbie mtu, marafiki wote walikimbia,

Sometimes ni bora ujijue kabisa una pambana peke yako kuliko marafiki wasio na tija

Sent using Jamii Forums mobile app
wazazi wako pekee ndio wana uwezo kukupa msaada bila kikomo bila kujali ni hali gani unapitia na bila kinyongo chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom