Duniani hakuna haki! Nimeibiwa simu na pesa na kupigwa chupa ila bado nikashitakiwa

Ugomvi km huo we komaa na shingo tu ya huyo unaemdai yaani ungehakikisha mpaka anakunya hata upigwe vipi we ni mkasi tu kushoto kulia.
We ukapoteza lengo unaanza ugomvi na mabasha wake.
Ushauri mtafute kaka yake aliyekuintroduce kwake alipe hasara zote.
MM NA DEAL na niliye mkopesha sitaki kudeal na innocent peoples afu hawa mabasha wake sikuhitaji kabisa vita nao ila ilibid tu maana walishaanza kurusha ngumi
 
KILA siku tunasema hapa.........kama huna ishu na demu usijaribu kumkopesha.........mkopeshe mama yako na dada zako...tena wa kuzaliwa.......wengine unajiongezea maadui tuu
na kweli mm nshajiapiza ata nikute demu anakufa simuazimi hela
 
Buku ten inamtesa dogo mpaka kuleta fujo kwa watu.
soma uelewe bro mm kwenye account yangu nina more than 20 million hii kwangu haiondoi thaman ya 10k pale nilienda chukua changu nikakuta mwenzaangu njaa kali
 
Cha kukushauri jifanye mjinga nenda kamuombe msamaha yule demu,Halafu jenga naye urafiki hadi mfikie kuwa wapenzi afu kula Hunduni yake na umuache siku hiyo.Afu umwambie we ni nyonyoma mi ndo mwaisa mtu mbadi unyama mwingi
Mwaisa wa uyole twambombo tununu
 
Duh hhaha,umeua Leo,msaidie anataka kuukalia mpin
Anazingua afu ndo kawaida yake.

Akizinguliwa na demu huko anakuja kunitolea machungu.

Kuna sehemu ameposti analia lia demu anamchunia sasa akakimbilia kwangu kuleta stress.🤭🤭🤣🤣
 
Humu duniani si kila binadamu wa kuongea naye na hata kuwa na ukaribu naye.......

Halafu tuache tabia za KIENYEJI za mazoea ya ajabu....inakuwaje mtu huna mazoea naye anakuomba SIMPLY 10,000 AJAZE BIDHAA ZAKE?!!!

Huu nao ni ubwege wa wanaume BETA MALES wasioishi kwa kanuni....

Ulitaka akusifu?!!
Ulitaka kulazimisha udugu?!!
Ulitaka kuomba mbususu?!!!
Sema mkuu, tumekuwa na mavijana majinga na mabwege mno nchi hii. Hivi unaanzaje kuwa na mazoea ya hovyo hovyo kiasi hicho?
 
Mkuu leo sina kisirani, we pita tu ukatafute wa kugombana nae
JamiiForums252830879.gif


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nakupa ushauri mzuri sana umkomoe huyo dada kwa alichokufanyia. Nunua petrol litre 3, nenda kapige moto hapo. Usiwe na huruma hata chembe maana huyo dada ni muuaji
 
Back
Top Bottom