Duniani hakuna haki! Nimeibiwa simu na pesa na kupigwa chupa ila bado nikashitakiwa

Kuna mwamba mmoja mtaani alikua anasifika sana kwa ukorofi halafu watu walikua wanamuogopa kwasababu alikua anaweza kufanya chochote bila kuogopa

Huyu mwamba kwenye ugomvi kila kilichopo mbele yake atakitumia kama zana ya kukushambulia bila kuangalia hata madhara yanayoweza kumkuta kwa kupelekwa jela endapo atajeruhi au kuua

Jamaa alijitengezea aina fulani ya utemi ambayo iliwafanya watu wengi wamuogope kwamba ni mtu fulani ambaye hana cha kupoteza, na hata sometimes akianzisha nongwa basi watu wanakua wakwanza kuomba msamaha japo kua yeye ndio aliyeanzisha ugomvi.

Sasa kuna siku alikutana na msela, msela yuko simple tu utani mwingi si wakapishana kauli.

Watu wakaanza kuogopa na wakimsihi yule msela aombe msamaha kwani hapo kutazua balaa zaidi

Yule msela akawaambia "jamani naomba mtulie huyu si ndo anajitia yeye ni mgomvi basi niachieni leo nimuonyeshe"

Kelele zikazidi pale kila mtu anajaribu kumsisitiza jamaa aombe msamaha na ikibididi aondoke. Jamaa alichokifanya akambeba yule mtemi juu juu akawa anakimbia naye' watu wakawa wanashangaa imekuaje tena mtemi wetu abebwe kindezi kama vile

Watu wakafatilia kwa nyuma wakamkuta yule mtemi kawekwa kwenye kiuwanja fulani chenye mawe mengi, halafu jamaa kashika panga

Watu wakawa wanachungulia huku wanajiuliza "ina maana jamaa kashika panga halafu anataka kupambana na mtemi au niaje?"

Wakashangaa jamaa anamwambia yule mtemi, "wewe si naskia kwenye ugomvi ukishikaga panga hujawahi lirudisha nyuma, haya shika hili panga, ukiweza tumia na hayo mawe kunipiga ila mimi ntatumia ngumi njoo kati tuzichape"

Mtemi akifikiria namna alivyo bebwa bebwa msobe msobe kutoka kijiweni na akiangalia mazingira hakuna muamuliaji akaona mmmh hapa nikijitusu mbona ntakufa.

Mtemi akasema bro nisamehe nilikua natania tu yani neno dogo kulifanya kubwa kweli...
Mwamba alichezeshwa kisaikolojia tu, kila mbabe ana mbabe wake sikuzote!

Hata Deebo wa kwenye Friday alichezeaga kipigo toka kwa ice cube japo alikuwa anaonea mtaa mzima kwa mda mrefu.
 
BRO Extrovert TRUST ME kuna vity wacha viende ugomvi wa dizain ukiua utajutia

yaani natamani hata ningekuwa mchawi au mganga au imchek Mshana Jr afanye yake tuzike bila ushaidi

mbali na hilo ni kununua matatizo mengine LET HER GO au tafuta sehemu utapata haki yako
Yah huyo unamtengeneza kimazingira tu unamnyoosha😂
 
Asije kukudanganya mtu maisha ya kitaa yanaendeshwa kitaa, mtaani huku kila mtu niga na bado tunapeana respect kwasababu hata uwe miraba minne utaishia kuwavutia mashori ila kwa vibopa unakalishwa tu kwasababu likishafikia swala la ugomvi hakuna u-solo

Hao jamaa wangefanya tukio hilo huku mitaa yetu na tena kama ulivyoeleza kua kuna kiosk, basi hata isingekua shida kwenye mapatano ya bei maana kungekua na malupulupu mengi hapo
Upo kitaa gani mzee kwa hapa DSM?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Alijua akimpelekea bill atakatwa juu kwa juu ndo mana cash only kwa mjuba.... wengine bill hahaha
Kuna wanawake ni psycopaths ni balaa sana kujiweka karibu nao. Yani intentionally alitaka amrushe jamaa hilo liteni!
 
Ugomvi km huo we komaa na shingo tu ya huyo unaemdai yaani ungehakikisha mpaka anakunya hata upigwe vipi we ni mkasi tu kushoto kulia.
We ukapoteza lengo unaanza ugomvi na mabasha wake.
Ushauri mtafute kaka yake aliyekuintroduce kwake alipe hasara zote.
 
Habar wadau najua humu kuna watu BIGGER THINKER mtanishauri vyema jana ndo nimeamini dunian hakuna haki dunia hii ione hvhv tambala bovu duh !!!! namshukuru mungu sikuumia sana japo nilipata uvimbe sehemu ya taya kwa nje kwenye shavu hii ni baada ya kupigwa na chupa nne za kichwa duh haya maisha haya unajua nn chanzo twende pamoja

WEMA NDIO ULINIPONZA

Miezi kadhaa nyuma nililetewa habar nzur tu na rafik yangu kuwa dada yake kafungua kioks ivo niende kumuunga basi bwana kidume nikatinga ili kuweka mambo sawa km mchango ili baa ionekane kubwa aiseeee ile nafika pale mm sinywi bia nakunywa grand malta kwanza nikashangaaa unakunywa bia bili hazielewek chengi hawarudish kila ukiomba chenj basi unaingia kwenye mjadala mzito huku uyo sista akijifanya km anakuelewesha vile nia yake kuu ni kukuchosha upotezeee io chenji

Nikiwa nataka nisepe dada akaniomba elfu 10 nimuazime ili aweke vinywaji store kapungukiwa pesa atarudisha nikampa toka siku io ni chenga tu kila nikimkumbusha kesho kesho kesho mwisho akasema kampa mdogo wake anipe nikamtafuta mdogo wake anipe akaniambia hajapewa hela siku zikapita sasa jana ndio balaa limeanzia hapo

Jana nilikuwa nimefulia nina elfu 14 tu mfukon alafu mambo yangu kibao hayako sawa dili zimebuma sijala kuna vidonge pia apo sijamumua aiseeee nikaona tu leo ngoja tu niifate elfu 10 yangu najuta kuchukua uamuzi huu

Nikafika kwenye baa nikamkuta uyo dada nikamwambia nipe pesa yangu akasema kampa bahat nikamwambia bahati mm simjui nakujua wewe wewe ndio nimekuazima kukatokea mzozo ebwana eeeh dada kanyanyua chupa kanipiga nayo ya kichwa dah hasira zilinipanda nami nikachukua chupa nirudishe kuna jamaa sijui ni bwana wake akaniwah kanikumbatia nikashindwa kurusha ile chupa sasa kipindi jamaa kanikumbatia dada kachukua chupa nyingine nikapigwa chupa ya pili tena kichwan hasira ziliongezeka vurugu ikazid kuwa kubwa nikakamatwa na midume km mitatu hv ili nisilete vurugu dah wakanipeleka mpaka nyuma upande wa nyuma wa baa wakaniuliza shida nini bro nikawa naelezea ile sijakaa sawa nikapigwa chupa nyingine tena kichwan

Kumbe wale watu wa upande ule kule demu hata hawamshiki wanamgusagusa tu demu akipata uwazi anarusha chupa mm huku nimeshikwa siwez hata kurusha ngumi kuja shtuka na simu samsung galaxy a12 nshaibiwa na jamaa mmoja kati ya walionishika nawaambia watu nimeibiwa simu hamna anayenisikiliza sijakaa sawa nikapigwa chupa nyingine apa saa nikatumia nguvu zangu zote nikawasukuma walionishika nikamshika demu nikamkunja japo kuna mtu alikuwa kati tukasukumizana apo mpaka chini yule jamaa wa kati ndio yule jamaa yake nikawa nataka nimsukume ili nibaki na yule dada man to man aisee sikupata uwazi wa kurusha hata ngumi moja

Yule jamaa akaubeba ugomvi nikianza kupigana na yule jamaa jamaa linasema “ weweeeeee unapigana na demu tukatwangana makonde kadhaa apo wale jamaa wengine wakaja kunishika tena hapa nilichomolewa zile elfu 14 live bila chenga wakawa wananipiga wanasema naleta vurugu ngumi ziliendelea apo hamna hata njia ya kupita baa imekuwa ndogo wahuni wangu walikuwa wapo mbali sikuwa na mtu wa kunitetea mpaka alipokuja dada mmoja hv anayenijua apo nmekunjana na lile jamaa ambalo sijui ndio demu wake washikaji wanamuita mwarabu jamaa linaniambia nikae chini nikamwambia sikai kwan wewe ni polisi mpaka uniamlishe nikae chini

Nikapiga hesabu yule dada kashika chupa nyingine anatafuta upenyo huku mm na mwarabu tumekunjana wale vibaka nao wananichangia mm nikasema nikiiita mwizi hapa nakufa mimi ngoja nisepe nikaita boda boda nikaenda adi kituo cha polisi niliwa polisi natoa maelezo akaja yule dada na wapambe wake wakasema nimeleta fujo baa nimefika na kumwaga bia zote bia zote chini nimemchania sidiria nimemtegua mkono nimempiga na chupa za kichwa na wapambe wakawa wanajazia na mimi nikajielezea polisi wakaona mm ndio mtuhumiwa nikaamrishwa nikae chini nikataka kulinzisha tena apo kituon ila nikajua ningepokea dozi NO MATTER WHAT IKABID NIWE MPOLE HATA WALE MAPOLISI AMBAO nawafahamu ajabu wamenichunia

Nikawa nasali kimoyo moyo uko nje wadau wangu walifika wakaliua so sijui walimalizana vipi mm nikakuta so lishaisha nikafungua kesi nyingine nimeibiwa simu na pesa aiseee mpemba nae anasema kaibiwa kali sita mmh kimoyo moyo nikasema mwongooooooo

APA NINA HASIRA SANA UNASAIDIA WW UNAPIGWA WW UNASHITAKIWA WEWE YAANI BALAA TUPU NIFANYEJE WADAU

Mnisamehe kwa mwandiko nimevurugwa
Dawa ni kulipiza kisasi tu.....jipange na upange wahuni wa kutosha uende kwa wakati ambao watakua wameshasahau uwalipizie naelewa unayopitia
 
Aaah kubabake yani hiyo nisingekubali ikalala ushindi ukiwa kwao, kama wamenidhibiti kwasababu ya wingi hilo sio swala

Huku mtaani kuna wana ukiwapa 20k wanakichafua, hao mabaunsa wanapoteana na hicho kioski hapo kinakua mbuga
Hicho ndio unatakiwa kufanya sasa, polisi unaenda kupoteza mda
 
Humu duniani si kila binadamu wa kuongea naye na hata kuwa na ukaribu naye.......

Halafu tuache tabia za KIENYEJI za mazoea ya ajabu....inakuwaje mtu huna mazoea naye anakuomba SIMPLY 10,000 AJAZE BIDHAA ZAKE?!!!

Huu nao ni ubwege wa wanaume BETA MALES wasioishi kwa kanuni....

Ulitaka akusifu?!!
Ulitaka kulazimisha udugu?!!
Ulitaka kuomba mbususu?!!!
 
KILA siku tunasema hapa.........kama huna ishu na demu usijaribu kumkopesha.........mkopeshe mama yako na dada zako...tena wa kuzaliwa.......wengine unajiongezea maadui tuu
 
Back
Top Bottom