Nilipenda sana kuchora lkn nilikosa mwongozo,hivi kwasasa ni wapi naweza jifunza mkuu,kwa utu uzima huu huu,hivi kuna app za kuchora katika simu??
Siku hizi uchoraji umerahisishwa sana ingia YouTube kuna drawing tutorial nyingi tuuNilipenda sana kuchora lkn nilikosa mwongozo,hivi kwasasa ni wapi naweza jifunza mkuu,kwa utu uzima huu huu,hivi kuna app za kuchora katika simu??