DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 17,948
- 45,423
Happy Sunday My Friends
Mada yangu
Kipindi hiki ambacho nataka kutimiza Ushuhuda ndo nashangaa Yule Mtoto kutoka Pwani Namba D akinitumia sms ambazo zinanipa huzuni na huku akinipigia sm kila muda.
Honestly nampenda Japo na mm nataka kuupiga Mwingi ili Angalau huu mwaka nione Mwanga katika Maisha yangu na siyo Mapenzi tu honestly it pain in such kukuta muda ambao hutaki Mapenz ndo muda Mwenzio anakuwaza kila Muda huku akipata Sonona.
Nyie wanawake ebu tupeni Muda hasa sisi wapenzi ambao tupo na dreams za kuja kuwa na pesa nyingi na Maisha makubwa .
Maana Mimi utelezi hauwezi niendesha kiasi hiki hadi kupoteza focus.
Huyu mtoto ananipenda Sana sijawai kuona.
Lucy najua huko ulipo mm Nakupenda but nipe Muda nipambanie Kesho yangu.