Dunia sio duara!

hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!

Umeishia darasa la ngapi wewe? Ungefika kidato cha kwanza tu jaman ungepata jibu.
 
Non sequitur.

Wengine wanaweza kusema binadamu kufa kirahisi hivyo kunaonyesha kwamba hakuumbwa na mungu muweza yote.

Kwa sababu angeumbwa na mungu huyo asingeweza kufa kirahisi hivyo.
Kwa nini binadamu anakufa? Ni lazima kufa?

Vipi binadamu amepata uhai? Chanzo cha uhai ni nini?
 
Kwa nini binadamu anakufa? Ni lazima kufa?

Vipi binadamu amepata uhai? Chanzo cha uhai ni nini?

Hata nikisema sijui majibu ya maswali yote hayo, yanahusikaje na uthibitisho wa kuwapo kwa mungu?

How are those questions different from "kwa nini kuna nguvu za uvutano" au "kwa nini rangi ya blue ni blue" ?
 
Kama huna majibu ya haya, inakuwaje unaweza sema hakuna Mungu?

Una uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu? Umwage hapa.
 
Kama huna majibu ya haya, inakuwaje unaweza sema hakuna Mungu?

Una uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu? Umwage hapa.

Kisichokuwepo hakina uthibitisho kwamba hakipo, kwa sababu hakipo.

Kilichopo ndicho kina uthibitisho kwamba kipo, kwa sababu kipo.

Swali hapa ni kwako.

Una uthibitisho kwamba mungu yupo?
 
Ukifuata nyuzi ya latitude mfano Ikweta mviringo wake ni duara na una nusu kipenyo kinachofanana toka centre kwenda kwenye kuta za mzingo na hivyo hivyo kwa + or - latitude toka Ikweta.
 
Kisichokuwepo hakina uthibitisho kwamba hakipo, kwa sababu hakipo.

Kilichopo ndicho kina uthibitisho kwamba kipo, kwa sababu kipo.

Swali hapa ni kwako.

Una uthibitisho kwamba mungu yupo?

Unajuaje kwamba kisichokuwepo hakipo?
Toa mfano wa kisichokuwepo.
 
Unajuaje kwamba kisichokuwepo hakipo?
Toa mfano wa kisichokuwepo.

Kisichokuwepo hakijulikani kwa uthibitisho kwamba hakipo, ni jukumu la anayesema kipo kuonyesha uthibitisho kwamba kipo.

Ama sivyo, tutaweza kusema chochote kipo, kilichopo na kisichokuwepo.

Kwa sababu hakuna jinsi ya kuonyesha kwamba kisichokuwepo hakipo, kwa sababu hakipo, na kwa sababu hakipo, hakionyesheki kwamba hakipo.
 
Kisicho kuwepo wapi? Stop assumptions BELIEVER OF NO GOD. Do you believe in NO GOD, or are you sure He is not there and you can support your BELIEF with impeccable evidence?

BELIEVER OF NO GOD, why are you perplexed when you hear about "NO GOD"? This believer is addicted to God and doesn't know where to find HIM.
 
Kisichokuwepo hakina uthibitisho kwamba hakipo, kwa sababu hakipo.

Kilichopo ndicho kina uthibitisho kwamba kipo, kwa sababu kipo.

Swali hapa ni kwako.

Una uthibitisho kwamba mungu yupo?

To the Believers of No God:

If you claim God almost certainly does not exist, then you now carry part of the burden of proof to support your belief why He is not existing. You have to provide good reasons and evidence for the "almost certainly not" claim.

Furthermore, you have to tell us why you came to the conclusion that "God does not exist". It is your burden "BELIEVERS OF NO GOD" and you are bound to support your answer with airtight exhibits.

I will not tolerate assumptions and are not allowed in your reply. Only empirical and impeccable watertight verifiable evidences.

NOW SUPPORT YOUR BELIEF OF NO GOD.
 
sikujua kama hii topiki inahusu watu maalumu na sio kila mtu anaruhusiwa kuchangia au kutoa maoni.
Hayo mengine ni uamuzi wako na ni haki yako kuwaza vyovyote unavyotaka kuhusu mimi.
Kuna waislam, wakristo na dini nyingine nyingi tu, zote zinadai kumuelezea Mungu, kuna ubaya mtu akiuliza Mungu gani tunamuongelea?
 
If I will give it a try, I wil die.

That does not prove god exists.

Mkuu kiranga una elimu gani ata kwa ukiniPM sio mbaya.. kwasababu watu wenye phd hawawezi debate na wewe.. mfano nina uhakika Dr kitika mkumbo yupo hapa janvini hawezi kudebate na wewe hata kidogo..
ulisomea nini philosophy,linguistics,geo-phisics,geography au nini hasa?
kama ni kuishi ulaya mbona william machela na chris wa jf hawana uwezo wa kureason kama wako
sisi wa kizazi hiki na ma mitandao na google tumeshindwa kuwa kama wewe.. je ni IQ kubwa kama ya wayaudi/jews.. yaani hatuwezi ata tukijosea sana..?

naomba majibu mkuu kiranga.. pia jf standard sio ndogo.. mbona kuna maprofessor wengi hapa jf nawajua.. ukiwataka nitawataja.. lakini wameshindwa kudhibitisha uwezo wao..
 
kiranga njoo utueleze kiwango cha elimu,,we ni dr au phd?pls tunataka kujua hlo na je usa unafanyakaz gani?lecture au?
 
Hawa wanasayansi waongo sana...eti dunia inazunguka wakati sijawahi hata kuihisi...nyumbani ni paleple kila siku, ingekua inazunguka atleast watu tungekua tunapotea njia kurudi makwetu...
 
Kama ni hivyo. je unaposema huwezi kuthibitisha ni kuwa unatumia imani(dhana) tu. au ni bahati nasibu?

Je ni Mungu yupi ambaye unasema hayupo?

Je una vigezo vyako vya ili awe Mungu, ni lazima akidhi vigezo hivyo? Vitaje.
 
Hahaaaaa

Acha hizo mkuu.

Tatizo wakali hawajotokezi.

Tukijitokeza sie wengine tunachukua chati.
 
Kama ni hivyo. je unaposema huwezi kuthibitisha ni kuwa unatumia imani(dhana) tu. au ni bahati nasibu?

Je ni Mungu yupi ambaye unasema hayupo?

Je una vigezo vyako vya ili awe Mungu, ni lazima akidhi vigezo hivyo? Vitaje.

Katika framework gani?
 
Hilindo tatzo la kusoma sana, kunasiku utaulizwa 1-1 utashindwa kujib, heb jitazame tu ww unakubar kuwa umetokana na sokwe? Kama utakataa basi kubari kuwa dunia ni duara, na kama ukikubari, utakuwa na matatzo ya akili na huenda mvua zimekuvuruga...
 
What has that got to do with the price of pork in China?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…