Dunia simama nishuke

Marehemu wapone haraka hahaha... angekuwa dogo huyo afande tungesema bange...sasa huyo ni nini anaropoka utadhani amekatwa kichwa
🤔🤔[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Teknolojia yetu inazidi kukua, tulianza na risasi za kukata kona sasa tunapata habari za kuzimu

Konda mimi nashuka kwa marehemu hapo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chuo nyie nenden mkasome ila vichwan weupe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…