Dunia ni ngumu jitahidi kufurahi kila uwezapo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Unaempenda hakupendi au anakupenda kwa manufaa yake binafsi. Anaekupenda unamuona si wa hadhi yako.

Unapokutana na anaekupenda kwa dhati na wewe ukampenda kwa dhati, Kuna jambo litatokea mnaweza kushindwa kuoana. Mkioana mmoja anaweza kufa mapema.

Mnapendana lakini matatizo hayaishi, umasikini umetamalaki badala ya kufurahia mapenzi mnawaza kodi ya nyumba, chakula na ada za watoto.

Pesa siyo shida lakini ndani ya nyumba hakuna naelewanao. Mnaweza kuelewana kuna ndugu wa mke au mume wanawakorofisha.

Furahia maisha unavyoweza, maisha hayatabiriki.
 
Unaempenda hakupendi au anakupenda kwa manufaa yake binafsi. Anaekupenda unamuona si wa hadhi yako.

Unapokutana na anaekupenda kwa dhati na wewe ukampenda kwa dhati, Kuna jambo litatokea mnaweza kushindwa kuoana. Mkioana mmoja anaweza kufa mapema.

Mnapendana lakini matatizo hayaishi, umasikini umetamalaki badala ya kufurahia mapenzi mawaza kodi ya nyumba, chakula na ada za watoto.

Pole!.
 
Mtu akikuuliza miaka 50 ijayo utakuwa wapi? jIbu linaweza kuwa nitakuwa nilishafutika katika hii dunia. Kwa muktadha huo, kuna kutafuta maisha, kupenda/kupendwa na kuna kuishi pia. Na vyote ili uweze kuvitimiza, ni wewe tu na maamuzi yako
 
Kunywa bia za baridi na ulale
 
Mtu akikuuliza miaka 50 ijayo utakuwa wapi? jIbu linaweza kuwa nitakuwa nilishafutika katika hii dunia. Kwa muktadha huo, kuna kutafuta maisha, kupenda/kupendwa na kuna kuishi pia. Na vyote ili uweze kuvitimiza, ni wewe tu na maamuzi yako
Katika kutimiza haya kuna wanaoishi kwenye ndoa zisizo na mapenzi mradi wapate watoto. Kuna wanaopoteza maisha kabla ya kufikia ndoto zao.
 
Nakuelewa unachomaanisha mkuu; ilinitokea siku za karibuni kwa mwenzangu na ilinibidi nitumie garama niwezavyo kuokoa hali yake, kafanyiwa upasuaji mkubwa leo, baada ya siku 2 mama yake akafariki kutokana na mshtuko, baada ya wiki aliyefanyiwa upasuaji anatakiwa asafirishwe kwa tiba ya mionzi; wapo walioniona kama nimechanganikiwa, lakini nilipambana kutumia rasilimali ninavyoweza ili maisha yaendelee
 
Wakati unahangaika na yote haya kuna mwenye pesa ya kupeleka watoto Orlando Disney World na wanakaa hotelini. Hii dunia ni ngumu sana. Pole sana kwa uliyokutana nayo.
 
Ninachoweza kusema katika hii dunia, weka misingi mizuri ya kupata hela ili kufurahia maisha; ikiwezekana tafuta marafiki wazuri nje ya nchi wenye connection
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom