Dunia itakuwaje ikiwa Trump akiingia msituni kwa kutokubaliana na mambo yanayotokea Marekani?

Yeah as always muafrika ni kawaida yake kujishusha mbele ya mweupe.

Lakini sio mwafrika mimi.
Afrika inaweza kuwa na maendeleo au zaidi yao.
Unajitutumua mkuu,ila ukweli unaujua.Afrika haiwezi kuendelea kwa mfumo uliopo wa nchi za Afrika. China ndio wanaweza kufikia maendeleo ya wazungu kwa sababu wameamua iwe hivyo.Afrika tuna zuga zuga tu.Emu nipe mfano mmoja wa kitu tuna choweza kuwazidi wazungu au tulichowazidi wazungu.
 

Picha ya mwishoni naona bendera ya wamarekani wenyewe. Confederates.
 
Mkuu utakuwa shabiki wa msemo wa live in the moment.

Africa hata kama haitoendelea leo au kesho lakini in decades and centuries lazima itaendelea.
 
Kweli mkuu
 
Kwani demokrasia ni pumzi ? Halafu unashangaza hujui kwamba katika sakata hili kuna watu wameuawa ? Halafu unasema hawajavunjwa miguu ? Pole sana
 
Sasa mataifa changa ya Afrika unataka ulinganishe na Marekani. We vipi ?
 
Hao waandamanaji ni ile mijitu myeupe yenye ubaguzi wa kiwango cha juu sana yaani mweusi ukijipendekeza mbele yao hao ni wale hawajiulizi mara mbili mbili kwamba wakuuwe au wasikuuwe.
Hizo ni fikra zako tu ujue kuna kundi la weusi kibao tu wanamsapoti trump chunguza kabla hujaongea tambua trump sio mbaguzi wa rangi kama udhaniavyo wewe
 
Hizo ni fikra zako tu ujue kuna kundi la weusi kibao tu wanamsapoti trump chunguza kabla hujaongea tambua trump sio mbaguzi wa rangi kama udhaniavyo wewe
Humjui Trump.

Jipe muda ufuatilie historia yake.

Trump aliwahi kununua column kwenye gazeti na kuanza kuandika makala za kushnikiza vijana fulani weusi wanyongwe. ( Hao vijana ilisemekana wamebaka mtoto wa kizungu ) ila baadaye ijaja kugundulika walisingiziwa.

Ukiona Trump yuko na mtu mweusi unue ana maslahi naye au ukiona mtu mweusi anamuunga mkono Trump mara nyingi utakuta ni mkristo conservative, au ni tajiri ( sera za kikodi za Republican zinawafavour matajiri )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…