KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
- Thread starter
- #61
Mambo ya meiva kwa habari iliyopo sasa SDK zimeachiwa
SDK tayari imeachiwa
Kwa maana hiyo malls zote za dunia zinaanza ku connect na Pi Blockchain. Hivyo wana Pi jiandaeni kufanya manunuzi ya vitu mnavyo vipenda na Vile vile kupata huduma mbalimbali.