nimekuuliza maswali kwenye comment yangu kabla hujayajibu unataka uanze kuniuliza mimi na hapo unataka nikujibu wakati weye hujajibu.Kaka naanzia hapa,kwani kutembea kwa mawingu ndio kunaonyesha mbingu inatembea ?
Pili,ili kitu kisiyumbe lazima kiwe kinatembea ?
kitu ili kisiyumbe lazima kiwe hakijatulia eidha kiwe kinakwenda, au kinacheza cheza au kina vibrate.Kaka naanzia hapa,kwani kutembea kwa mawingu ndio kunaonyesha mbingu inatembea ?
Pili,ili kitu kisiyumbe lazima kiwe kinatembea ?
Wanazuoni wamekwenda na kauli mbili,katika aya hiyo,moja wanasema ya kuwa kutembea kwa milima kunatokana na kuzunguka kwa dunia lakini mtazamo huu sio sahihi kutokana na aya iliyokuja kabla ya aya ya 88, kwani aya hizo zinazungumzia siku ya kiyama na zikapewa nguvu na aya :sijui inaelekea wapi.
kutokujua kwangu mimi na wewe haikanushi kuwa haizunguki.
na wala sijui yangu haikanushi Aya inayosema kuwa Milima inskwenda.
unas3maje juu ya tafsiri ya shekhe abdallah saleh kuhusu iyo haya...?
nimekuuliza maswali kwenye comment yangu kabla hujayajibu unataka uanze kuniuliza mimi na hapo unataka nikujibu wakati weye hujajibu.
nimekuuliza milima kama imeshikana n ardhi vipi itembee milima alafu ardhi iwe haitembei..?
nmekuuliza unasemaje juu ya tafsiri ya shekhe abdallah saleh kuhusu hiyo aya..?
kwakuongezea
unafikiri mawingu na mbingu vimeshikanaka kama ilivyoshikana milima na ardhi..?
Naona unatumia mitindo dhaifu ya kimantiki kuhitimisha,leta dalili usiendeshwe na nadharia.kitu ili kisiyumbe lazima kiwe hakijatulia eidha kiwe kinakwenda, au kinacheza cheza au kina vibrate.
ukisemanimeweka jiwe kwenye datfari ili lisiyumbe yumbe maana yake mwanzo halikutulia.
soma kwa umakini.
Allah anasema milima inakwenda kwa maana ya kuwa ipo katika motion, na Milima imeambatana na ardhi kwa maana kam milima inatembea na ardhi nayo inatembea
kwa hyo hapo ardhi na milima vypte vinatrmbea, na dunia huwezi kuitoa ardhi na milimaukasema sio sehemu ya dunia.au unaweza ?
kwahyo dunia nayo inakwenda (inatembea) kwa sabbu imeshikana na milima naardhi.
sababu haitabadilisha kitu.
Naongezea tena hapa,na Imaam Muhammad al Amiin ash Shanqitiy anasema ya kuwa aya zote zinazozungumzia kutembea kwa Milima katika Qur'aan zinazungumzia siku ya Kiyama rejea kitabu chake cha Tafsiri "Adh'wau al Bayani" juzuu ya 6 ukurasa wa 490 na katika Tafsir Ibn Kathii juzuu ya 6 ukirasa wa 217 na shaykh Muhammad al Amiin akamalizia kwa kunukuu aya ya 20 katika surat an Nabaai(78) na surat at-Takweer(81) aya ya 3.nimekuuliza maswali kwenye comment yangu kabla hujayajibu unataka uanze kuniuliza mimi na hapo unataka nikujibu wakati weye hujajibu.
nimekuuliza milima kama imeshikana n ardhi vipi itembee milima alafu ardhi iwe haitembei..?
nmekuuliza unasemaje juu ya tafsiri ya shekhe abdallah saleh kuhusu hiyo aya..?
kwakuongezea
unafikiri mawingu na mbingu vimeshikanaka kama ilivyoshikana milima na ardhi..?
Ni kweli dunia haizunguki.kwenye orbit yake kwa mujibu wa wazungu..Ila Mimi nina amini dunia haizunguki...Jua linazunguka dunia na nyota za huko angani zina chaji jua kila siku..
Sasa unataka nihangaike juu yako, wakati unakiri huwezi kubadilika.
Kwakweli si amini kama wewe ni yule Zurri uliyekuwa mzuri wa hoja, umekumbwa na nini kaka??!!---.
Haya na mimi naomba maelezo ya hao wafasirina unaowaamini ambao wamenukuu maelezo (hadithi) ya mtume (saw) kuhusu hiyo aya (21:33), ili na mimi nijifunze, kwani mtume (saw) alisema kutafuta elimu ni faradhi kwa kila muislamu mwanamume na mwanamke.
Karibu.
nimeweka ile comment ili kukukumbudha kwamba sio Mimi tu ndio nasema dunia inazunguka kwa mujibu aya bali hatashekhe abdallah sheikh alfarsiy naye kaona hivyo.Naona unatumia mitindo dhaifu ya kimantiki kuhitimisha,leta dalili usiendeshwe na nadharia.
Hizo aya zinazungumzia siku ya Kiyama,na hii ndi kauli yenye nguvu mbele ya wanazuoni wa Tafsiri akiwemo Abul Fidah.
Pili,kaka Shaykh Abdullah Saleh al Farsy Allah amrehemu tunaijua nafasi yake hasa kwetu sisi watu wa Afrika Mashariki na kati,na amefanya juhudi kubwa sana katika kuihudumia dini na sunnah,Allah amrehemu,lakini hatumfanyi kuwa ni hoja katika hili,sababu yeye hakuwa mwanachuoni wa Tafsiri na ameenda kinyume na wanazuoni wa kubwa katika hili,bali ameenda kinyume aya kwa dhati yake.nimeweka ile comment ili kukukumbudha kwamba sio Mimi tu ndio nasema dunia inazunguka kwa mujibu aya bali hatashekhe abdallah sheikh alfarsiy naye kaona hivyo.
Ukisoma elimu ya Tafsiri ya Qur'aan yaani Usul Tafsiri,wameeleza sana namna ya aya inavyofasiriwa na aina ya Tafsiri.lakini tukija katika ayayenyewe namna ilivyokuja naomba kuuliza.
iko wapi kauli ya Mtume juu yaufafanuzi wa aya hiyo ?
Soma tena huko nyuma nimeweka wazi ya kuwa aya hiyo imepew nguvu na aya hizo nilizo kunukulia kuhusu kutembea kwa milima na kusambaratishwa kwake,ndio maana wanazuoni wakubwa wa Tafsiri wakahitimisha ya kuwa aya hiyo inakusudia siku ya Kiyama na si kinyume chake.au ha ulamaa waliosema ya kuwa kutembea huko ni siku ya kiama wameegemea dalili ipi ilhali aya inataja wakati uluopo "USIIONE IMETULIA, INAKWENDA "
Soma mtiririko wa aya na rejea aya nilizo kunukulia,n pia Qur'aan ni fasaha sana,ndio maana tunatakiwa kurejea katika asili ili kujua maana ya aya. Mara ngapi yamekuja matamko ya sasa kumaanisha wkati ujao,au dhamiri ya wingi kumaanisha umoja au dhamiri ya mbali kumaanisha karibu ?vipi iwe siku ya kiama wakati aya inaleta habari hizi kwa lafdhi ya sasa hivi kjuu yakitendo hicho..?
Rejea Tafsir Ibn Kathiir.
Kaka hivi ndivyo nilivyo mimi. Tunatakiwa turudi kwenye asili ili kuepuka kukosea. Kila kitu kipo wazi,leo ulinishangaza sana uliposema ya kuwa Qur'aan imezungumzia "The Big Bang Theory" nikaona ya kuwa kumbe hata hiyo nadharia huijui bali unaisikia.
Kwa kukutoa tu wasi wasi japo hili sio lengo na halisaidii chochote,mimi ninaishi katika ulimwengu wa Sayansi kama elimu katika "Secular" ,O level nimesoma Sayansi, A'level kadhalika Sayansi na Chuo nikasoma mambo hayo na nina endelea kuyasoma ila Sayansi ya anga niliikataa zamani sana,nilipo ona watu mpaka muda huu bado wanaamini kuna mtu alifika Mwezini.
Almuhimu Sayansi naijua hasa misingi yake na nina uwezo wa kuikosoa.
Umenukuu juu ya "Big bang"-- Qur'an imeeleza, halikadhakika imeeleza juu ya "the Black hole", tofauti ni hii kwamba Mungu katika Qur'an ameeleza mambo hayo kwa namna yake na wanasayansi wameeleza kwa namna yao,
Kaka unatakiwa uelewe,maelezo ya Sayansi yanakuwa yapo katika misingi yao,na haya wezi kifanana na maelezo ya Allah,ndio masana tunasema hivi hakuna Big Bang wala Black Hole katika Qur'aan.
Labda kama hizi theory huzisomi vizuri na ukazielew unaishia kuzisikia
Kaka, lazima ujue kwamba kuna elimu za sayansi za uongo na zipo za kweli, mimi ninaunga mkono elimu za sayansi za kweli. Umenukuu kuhusu habari ya watu kutua mwezini suala hili liwe la uongo au kweli bado halibatilishi elimu zingine za kweli za sayansi,
Ukisoma historia misingi ya sayansi na mahesabu na fizikia, elimu za nyota (astrology) na elimu ya tiba za leo zimewekwa na Wanasayansi wa kiislamu katika "medieval era", na hili halipingiki.
aya ulizonukuu hazina mafungamano na aya hiyo ya 88 ni vitu tofauti kabisa.Pili,kaka Shaykh Abdullah Saleh al Farsy Allah amrehemu tunaijua nafasi yake hasa kwetu sisi watu wa Afrika Mashariki na kati,na amefanya juhudi kubwa sana katika kuihudumia dini na sunnah,Allah amrehemu,lakini hatumfanyi kuwa ni hoja katika hili,sababu yeye hakuwa mwanachuoni wa Tafsiri na ameenda kinyume na wanazuoni wa kubwa katika hili,bali ameenda kinyume aya kwa dhati yake.
Ukisoma elimu ya Tafsiri ya Qur'aan yaani Usul Tafsiri,wameeleza sana namna ya aya inavyofasiriwa na aina ya Tafsiri.
Aya ya Qur'aan hutafsiriwa kwa aya Qur'aan pia,na hili ndilo alilolifanya mwanachuoni huyu mkubwa wa zama zetu,Imaam Muhammad al Amiin ash Shanqitiy katika Tafsiri yake iitwayo "Adhwa' al Bayaan fii idhwah Qur'aan bil Qur'aan", shaykh huko ametafsiri Qur'aan kwa Qur'aan.
Rejea mtiririko wa aya na zile aya nilizokunukulia kwa munasaba wa milima kutembea,alichokifanya Shaykh hapo ni kutafsiri aya moja kwa kutumia aya nyingine,na hii ni aina ya kutafsiri Qur'aan.
Ama kuhusu kauli ya mtume juu ya aya hii mpaka niitafute,na mtume hawezi kuoingana na aya,maadamu aya hiyo imetafsiriwa na aya nyingine hakuna maana ya zaidi itakayo kweda kinyume na aya hizo.
Soma tena huko nyuma nimeweka wazi ya kuwa aya hiyo imepew nguvu na aya hizo nilizo kunukulia kuhusu kutembea kwa milima na kusambaratishwa kwake,ndio maana wanazuoni wakubwa wa Tafsiri wakahitimisha ya kuwa aya hiyo inakusudia siku ya Kiyama na si kinyume chake.
Soma mtiririko wa aya na rejea aya nilizo kunukulia,n pia Qur'aan ni fasaha sana,ndio maana tunatakiwa kurejea katika asili ili kujua maana ya aya. Mara ngapi yamekuja matamko ya sasa kumaanisha wkati ujao,au dhamiri ya wingi kumaanisha umoja au dhamiri ya mbali kumaanisha karibu ?
Sasa kwanini unataka maneno ya mtume tu ? Je kama kuna aya inayofafanua aya hiyo,utaikubali au ?(1) Kaka, kwanza naomba maelezo ya Ibn kathir juu ya hiyo aya 21:33, yakinukuu maneno ya mtume. Ili nipate kujifunza elimu niliyokuwa siijui.
Nilicho kielewa mimi ni kuwa hizo ni nadharia tu ambazo wao wenyewe hawawezi kuzithibitisha.(2) Naomba unifafanulie jinsi ulivyozielewa kwa mujibu wa wanasayansi the Big bang na the black hole, kwani labda mimi sikuwaelewa hao wanasayansi.
Ninacho kusihi kwanza uwe unasoma Tafsiri za Qur'aan kutoka kwa wanazuoni wakubwa wa kubwa ambaa wanategemewa.Mimi, kaka nataka leo niwe mwanafunzi wako, nitafurahi sana wewe uwe mwalimu wangu.
Jifunze kuhoji kielimu na usintumie mitindo ya kivivu ya ki logic kuhoji,sababu kadhia ya mawingu iko wazi hali kadhalika kadhia ya ardhi iko wazi,kwani hata hivyo mbingu zitakuja kukunjwa.sasa kama hapo kinachozungumziwa ni siku ya kiama je NA KUTEMBEA KWA MAWINGU AMBAYO YANATEMBEA KAMA MILIMA INA MAANA MAWINGU NAYO YATATEMBEA SIKU YA KIAMA ?
Hivyo vyote vinafanya kazi kwa amri ya Allah,inaonekana hujazisoma aya nilizo kunukulia,kazisome kwanza kisha uje kujenga hoja upya.unaona hapo mawingu yanaamrishwa kupita baina yambingu na ardhi kwa maana ya kuwa mae
wingu yanatembea baina ya hivyo viwili.