Dunia inashangaa ukatili wa serikali ya Tanzania

Ushoga itaishia huko huko
Umeona kwako la Maana ni Ushoga,upo Toka zamani Dodoma na Gomorrah,tunazungumzia kutia aibu Kwa Nchi yetu,mauaji,utekaji,kunyimwa Haki za kikatiba, Wewe Vipi mkuu!Ongea Kwa Hekima na Hoja zenye mashiko sio kubweka!
 
Halafu mashine ya mafisadi ya kuchakata propaganda iitwayo Msigwa inasema ni uzushi hivyo upuuzwe.
 
Umeona kwako la Maana ni Ushoga,upo Toka zamani Dodoma na Gomorrah,tunazungumzia kutia aibu Kwa Nchi yetu,mauaji,utekaji,kunyimwa Haki za kikatiba, Wewe Vipi mkuu!Ongea Kwa Hekima na Hoja zenye mashiko sio kubweka!
Hao unaosema wananyimwa haki (bila shaka unamrejea lissu), wamemtendea nani haki wakiwa kwenye nafasi zao?!!!
 
Kwa huyo kuteka wananchi Wako Mwenyewe,huyo Ndio Haki na demokrasia,?Nafasi zipi walizowahi kuwa nazo za utawala,ila muda mbaya Kwa mboga mboga!

Back
Top Bottom