Dunia inashangaa ukatili wa serikali ya Tanzania

Ni kama dunia ilikuwa haijui kinachoendelea Tanzania, now it has been taken by surprise by what has been aired by bbc on the horrific human rights abuse and the persecution of opposition members.

Kuna comments za raia huko duniani zinashangaa sana kusikia kinachoendelea Tanzania. Hawajawahi hata kuwaza kuwa Tanzania inaweza hata kukaribia tu kwenye huu ukandamizaji wa haki za binadamu na uminywaji wa demokrasia.

“Ukiona giza limezidi ujue kunakaribia kucha”.
Mkuu imekuwa aired lini? Any way of re watching it?🤝
 
Sisapoti mauaji ya aina yeyote yale kwa watu wasiokua na hatia,

Ila hao BBC mbona hawatoi Horific human rights abuse kwa mauaji yaliyofanyika Gaza mpaka kupelekea Natanyahu kua na ICC Arrest warrant? hao BBC mbona hawatoi mauaji yaliyofanywa na US kule Iran kwa kuipiga Missile shule ya watoto wadogo na kuua zaidi ya watoto 160?
 
Ni kama dunia ilikuwa haijui kinachoendelea Tanzania, now it has been taken by surprise by what has been aired by bbc on the horrific human rights abuse and the persecution of opposition members.

Kuna comments za raia huko duniani zinashangaa sana kusikia kinachoendelea Tanzania. Hawajawahi hata kuwaza kuwa Tanzania inaweza hata kukaribia tu kwenye huu ukandamizaji wa haki za binadamu na uminywaji wa demokrasia.

“Ukiona giza limezidi ujue kunakaribia kucha”.
Hii nchi imefika mahali pa kudhalilisha sana
 
Anyway, mi nazungumza na M/Mungu, mweza wa yote, mwenye kuyajua kwa kina yaliyo ndani ya mioyo yetu na siyo yanayotoka midomoni pekee; mwenye kuyajua yanayopangwa gizani na sio haya yanayotolewa hadharani pekee. Huyo ndiye sisi tusiye na chuki na Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, tunaongea nae na kumuomba.
Mkuu,
Hakuna mungu wa hivyo. Huyo anaitwa Lucifer, Sheitwani, ibilisi...
 
Sisapoti mauaji ya aina yeyote yale kwa watu wasiokua na hatia,

Ila hao BBC mbona hawatoi Horific human rights abuse kwa mauaji yaliyofanyika Gaza mpaka kupelekea Natanyahu kua na ICC Arrest warrant? hao BBC mbona hawatoi mauaji yaliyofanywa na US kule Iran kwa kuipiga Missile shule ya watoto wadogo na kuua zaidi ya watoto 160?
Acha kuhemkwa! Huko ulikokutaja kulikuwa na vita na kama ujuavyo vita haina macho. Rejea bongo, kulikuwa na vita kati ya nani na nani?
 
Mm mwenyewe niko tanganyika nilikua cjui kiasi icho Ila baada ya kutizama iyo Documentary mpk nimeogopa mno. Kwamba haya yote yamefanyika chini y chura aka kizimkazi? Kweli hakika kuna wanawake makatili mno.kama ngumba vile.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Acha kuhemkwa! Huko ulikokutaja kulikuwa na vita na kama ujuavyo vita haina macho. Rejea bongo, kulikuwa na vita kati ya nani na nani?
Mimi na wewe nani anayehemkwa? unajua kua vita hua ina sheria zake?
Kama ni sawa kufanya yale mauwaji Gaza,mbona ICC wametoa arrest warrant kwa wahusika? au wewe unajua zaidi na umesoma zaidi kuliko majaji wa mahakama ya ICC?

Unapotetea haki za binadamu,hutakiwi kufanya ubaguzi coz kila binadamu anastahili haki yake,
Hao BBC mbona wanabagua jinsi ya kurepoti mauaji ya watu wasiokua na hatia?
 
Ila hao BBC mbona hawatoi Horific human rights abuse kwa mauaji yaliyofanyika Gaza mpaka kupelekea Natanyahu kua na ICC Arrest warrant?
Walitoa sana, labda wewe hukuona.

Ila sijui kama walitoa kuhusu mauaji ya maelfu ya wananchi waandamanaji Wairan yaliyotekelezwa na watawala wa Iran
 
Paragraph yako ya mwisho tu inaelezea kua wewe ni mtu wa aina gani na umesha jikoki kubishana,
Walitoa ila wewe tu ndio uliona.
 
Wewe ndiyo wa aina hiyo, Watanzania waliouawa kikatili bila hatia wakisemewa wewe unaona siyo sawa, bora wasemewe Waarabu wa mbali huko.

Kwa taarifa yako hao Waarabu wa Hamas, Hezbollah, Houthi, Iran, nk wametetewa na kuwakilishwa sana na Al Jazeera, TRT, BBC, nk
 
Ndio maana nilikwambia kua umejikoki kubishana,hueleweki hata unachokipinga kwenye comment yangu,
Ni wapi nimesema watanzania wakisemewa mimi naona sio sawa? bila shaka wewe ndio siku wakisemewa Gaza ndio utaona sio sawa,

Issue yangu ipo kwa BBC kuchagua matukio ya kuripoti kwa maslahi yao,bila shaka wewe ni mgeni kwenye hizi westeners media na hujui zinavyo operate,umewahi kuona Documentary ya BBC kuhusu mauaji ya Gaza?
 
Mimi na wewe nani anayehemkwa? unajua kua vita hua ina sheria zake?
Kama ni sawa kufanya yale mauwaji Gaza,mbona ICC wametoa arrest warrant kwa wahusika? au wewe unajua zaidi na umesoma zaidi kuliko majaji wa mahakama ya ICC?

Unapotetea haki za binadamu,hutakiwi kufanya ubaguzi coz kila binadamu anastahili haki yake,
Hao BBC mbona wanabagua jinsi ya kurepoti mauaji ya watu wasiokua na hatia?
Kwa hiyo kama wanabagua ndio inahalalisha human tights abuse zifanyike Tanzania? Kama ya Gaza hawajaripoti ila ya hapa Tanganyika wametipoti shida iko wapi? …By the way BBC kila siku wanareport yanayoendelea Gaza, sijui wewe unataka wareport kitu gani zaidi. Kila siku, kila saa huwezi kukosa report za Gaza kwenye BBC na Aljazeera, so I just don’t understand what you want from Gaza?
 
Wewe ndiyo wa aina hiyo, Watanzania waliouawa kikatili bila hatia wakisemewa wewe unaona siyo sawa, bora wasemewe Waarabu wa mbali huko.

Kwa taarifa yako hao Waarabu wa Hamas, Hezbollah, Houthi, Iran, nk wametetewa na kuwakilishwa sana na Al Jazeera, TRT, BBC, nk
Hata mie namshangaa huyu mtu. BBC and Aljazeera daily report on Gaza
 
Mkuu naona unatumika bila mwenyewe kujijua; hivi ni Dr Samia alisimamia ufirwaji wenu?!!!!

Anyway, mi nazungumza na M/Mungu, mweza wa yote, mwenye kuyajua kwa kina yaliyo ndani ya mioyo yetu na siyo yanayotoka midomoni pekee; mwenye kuyajua yanayopangwa gizani na sio haya yanayotolewa hadharani pekee. Huyo ndiye sisi tusiye na chuki na Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, tunaongea nae na kumuomba.
Umesahau kumeza vidonge vya afya ya akili leo.
 
Kwa hiyo kama wanabagua ndio inahalalisha human tights abuse zifanyike Tanzania?
Kuna sehemu nimesema hivyo?
Kama ya Gaza hawajaripoti ila ya hapa Tanganyika wametipoti shida iko wapi?
Shida ipo kwenye hizo media za westerners kufanya unafiki kujifanya wana uchungu na haki za binadamu kitu ambacho sio kweli,BBC wanabagua matukio yakureport,umeona Documentary ya mauji ya Gaza? ipo siku utakuja kujua kua hizi media kama BBC zipo kwa maslahi yao tu,hata report zao zimelenga maslahi yao,huko juu nimesema kua sisapoti mauaji ya watu wasiokua na hatia,BBC nao walitakiwa wakemee mambo haya haijalishi hata kama mauaji yamefanywa na US au Israel,

Mimi issue yangu ipo kwenye kubagua matukio wala sipo kwenye hayo mabishano yenu ya kisiasa.
 
Ni kama dunia ilikuwa haijui kinachoendelea Tanzania, now it has been taken by surprise by what has been aired by bbc on the horrific human rights abuse and the persecution of opposition members.

Kuna comments za raia huko duniani zinashangaa sana kusikia kinachoendelea Tanzania. Hawajawahi hata kuwaza kuwa Tanzania inaweza hata kukaribia tu kwenye huu ukandamizaji wa haki za binadamu na uminywaji wa demokrasia.

“Ukiona giza limezidi ujue kunakaribia kucha”.
Unataka kusema Tanzania imeizidi Isreal kule Gaza,Lebanon au kule North Korea au Saudi
 
Ndio maana nilikwambia kua umejikoki kubishana,hueleweki hata unachokipinga kwenye comment yangu,
Ni wapi nimesema watanzania wakisemewa mimi naona sio sawa? bila shaka wewe ndio siku wakisemewa Gaza ndio utaona sio sawa,

Issue yangu ipo kwa BBC kuchagua matukio ya kuripoti kwa maslahi yao,bila shaka wewe ni mgeni kwenye hizi westeners media na hujui zinavyo operate,umewahi kuona Documentary ya BBC kuhusu mauaji ya Gaza?
Spinning. Unajaribu kupooza unyama wa ndani kwa kurejea unyama wa nje!

Kinga ni bora kuliko tiba!
 
Ni kama dunia ilikuwa haijui kinachoendelea Tanzania, now it has been taken by surprise by what has been aired by bbc on the horrific human rights abuse and the persecution of opposition members.

Kuna comments za raia huko duniani zinashangaa sana kusikia kinachoendelea Tanzania. Hawajawahi hata kuwaza kuwa Tanzania inaweza hata kukaribia tu kwenye huu ukandamizaji wa haki za binadamu na uminywaji wa demokrasia.

“Ukiona giza limezidi ujue kunakaribia kucha”.
Unaikumbuka Jamii ya Rohingya ya nchini Mynmar?
 
Back
Top Bottom