Dunia inashangaa ukatili wa serikali ya Tanzania

Kupitia maandishi yako nimelibaini hilo. Maelezo yako mengi yamejikita kufunika ya ndani kwa kutumia ya nje!.
Basi hapo unajiona bonge la mchunguzi sio?

Mimi hoja yangu ni western media kubagua matukio ya kuripoti,

Kama mpaka leo una amini kua mzungu ana uchumgu sana na matatizo yanayokufika wewe,basi una safari ndefu sana.
 
Shida sio Mzungu wala Mwafrika, ni kwamba kuna Mashirika ya haki.za binadamu yanajali utu wa Tanzania
Na hata ukisema wazungu hawajali machungu ya Tanzania, utasemaje? CCM ndio inajali ama? Si bora hata hao wazungu wanayaanika hadharani maovu ya CCM. Tena hata sio wazungu, ni watu weusi kama sisi, ndio wako in charge kwenye BBC Africa
Achilia mbali wazungu, ingia social media zote, kuanzia Wakenya, Wanigeria, Black Americans na kila mtu aliyeongelea matukio ya Oct 29 na utekaji Tanzania utaona wote wapo against CCM, hata hapa Tanzania watu wengi wapo against CCM na sio wazungu
Watu walioingia mtaani kuandamana na kuuawa walikuwa wazungu?
Watu waliozomea baada ya kusikia jina la Samia kwenye sherehe ya miaka 30 ya Bongo Flavor walikuwa ni wazungu?
Kwamba ni wazungu tu ndio wanaona uovu wa CCM, au ni kila mtu mwenye akili timamu?
 
Sijui hata umeandika nini hapa! Mambo ya hivyo vyama vyenu yanaingiaje kwenye hoja yangu?

Soma hoja yangu uielewe kwanza,hili gazeti uliloshusha hapa wala halihusiani na hoja yangu,

Mimi nadeal na hiyo media BBC hayo mambo ya vyama vya kisiasa,subiri wenzako waje ndio mbishane.
 
Sababu ni Zile Zile Tu.
Kenge hadi Umpasue Masikio ndio akusikie.

1. Utekaji.
2. Mauaji ya kutisha na Mauaji ya Maelfu ya watu ( October 29.)
3. Kupotezwa kwa Watu..
4. Uhuru wa vyombo vya habari.
5. Uhuru wa kutoa maoni.
6. Kubambikia kesi za uongo akina Lissu, Mboye, Bony, Malisa CHADEMA NK
7. Uhuru wa kuabudu.
___________
8. Rushwa.
9. Ufisadi.
10. Ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
 
Sijui hata umeandika nini hapa! Mambo ya hivyo vyama vyenu yanaingiaje kwenye hoja yangu?

Soma hoja yangu uielewe kwanza,hili gazeti uliloshusha hapa wala halihusiani na hoja yangu,

Mimi nadeal na hiyo media BBC hayo mambo ya vyama vya kisiasa,subiri wenzako waje ndio mbishane.
Yani unaongelea kuhusu BBC kutoleta taarifa nzuri za Tanzania, ila zinaleta taarifa mbaya na taarifa mbaya ni kuhusu CCM then unapretend huongelei kuhusu chama. Okay, whatever.

BBC huwa inareport kuhusu Gaza pia, sio tu Tanzania. Huwa inareport maandamano Marekani & Ulaya, vita vya Russia-Ukraine na Israel-Gaza, Israel&USA-Iran, Sudan nk
Mnaposema BBC inareport mambo mabaya ya Tz tu inakuwa sio kweli, nimeona habari mbaya za Marekani kupitia BBC nyingi sana. BBC wanareport fairly dunia nzima, ni moja ya media ambazo ziko accurate

Kama Larry Madowo wa CNN alivyosema, ukitaka kuona mambo mazuri ya nchi yako tembelea tourism websites za nchi yako, ila media lazima zi highlight matatizo halisi ya watu
 
Hivi wewe jamaa unajielewa kweli? Au umekurupuka tu kutoka usingizini na kuivamia JF? Kuna sehemu nimesema BBC wanaleta taarifa mbaya na hawaleti taatifa nzuri za tz? Wapi nimeongelea hiyo hoja? Hivi wewe una akili timamu kweli? Hebu panda juu usome comment yangu ya mwanzo kabisa,ujue hoja yangu ni nini,

Hujui kitu kuhusu western media zinavyo operate na zinavyoreport matukio,umejikoki kwa speed mpaka akili zako umeziacha nyuma,hapa hata ukielekezwa ni kazi bure tu,

Acha kuniandikia upumbavu wako hapa kama hujaelewa hoja yangu,wapi nimesema nataka bbc watangaze mambo mazuri,punguza kukurupuka unajitia aibu tu,jifunze kusoma hoja ya mtu na kuielewa kabla hijaamua kumquote na kuingia kwenye mjadala.
 
Basi sawa 👍🏼
 
Basi hapo unajiona bonge la mchunguzi sio?

Mimi hoja yangu ni western media kubagua matukio ya kuripoti,

Kama mpaka leo una amini kua mzungu ana uchumgu sana na matatizo yanayokufika wewe,basi una safari ndefu sana.
Najua fika kwamba kwenye hii dunia na mifumo yake katili kila Taifa linapambana kutetea maslahi yake iwe kisiasa, kiuchumi n.k(Survival of the fittest)

Lakini,kwa nini uwape faida 'maadui' zako ya kukuandalia documentaries chafu kama hizo?. Je, hayo yaliyosemwa kwenye hizo documentaries ni ya kweli au ya uongo?.

Haya tuchukulie kwamba 'mabeberu' hawakupendi,na hawapendi kasi ya maendeleo yako,kwa nini unafanya 'madudu' ambayo maadui zako(mabeberu) watayatumia kama silaha dhidi yako mwenyewe?.

Mkuu,hii tabia ya kuhamisha lawama haitatujenga. Sana sana itazidi kutuchelewesha tu. Kama kweli tuna nia ya dhati ya kujiletea maendeleo halisi,tuwajibike kwa matendo yetu wenyewe bila visingizio uchwara!.

Karibu!
 
Mungu ataendelea kumlinda Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, dhidi ya mafedhuli, wachawi, wazushi, waongo, wenye wivu, wenye chuki za kidini au zozote zile na wenye uchu wa madaraka. Ataendelea kung'aa Hadi 2030 zamu ya mwingine itakapofika.
Huna akili wewe mzanzibari, eti Mungu atamlinda Samia Suluhu Hassan, huyo ni Mungu gani???.....Mungu wake wa kichawi wa Kizimkazi? Acha ufala pumbavu wewe.
 
Mkuu naona unatumika bila mwenyewe kujijua; hivi ni Dr Samia alisimamia ufirwaji wenu?!!!!

Anyway, mi nazungumza na M/Mungu, mweza wa yote, mwenye kuyajua kwa kina yaliyo ndani ya mioyo yetu na siyo yanayotoka midomoni pekee; mwenye kuyajua yanayopangwa gizani na sio haya yanayotolewa hadharani pekee. Huyo ndiye sisi tusiye na chuki na Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, tunaongea nae na kumuomba.
Maskini ya Mungu jamani nyie, bado nchi hii ina aina hii ya watu!

Inamaana haujui hata Serikali na mihimili yake namna inavyofanya kazi!

Utekwaji na ufirwaji unaweza kufanyika bila baraka za 'mwenye nchi'?

Huyo mtu atakayefanya mambo ya uvunjifu wa haki za binadamu kiwango cha lami kiasi hicho bila baraka kutoka juu anaweza kubakishwa ofisini na atakuwa anajitaka?

Embu yaangalie mambo kwa uhalisia wake, usifumbwe macho kwa mahaba ya mtu ama udini, huo ni uzombie!

Viongozi hupendwa ama kuchukiwa si kwa ajili ya sura zao ama dini zao, bali kwa matendo yao na kwa kipimo cha uwajibikaji wao.
 
This is satire. Isn't it?
Hebu jiulize wale watoto wadogo waliopigwa risasi wakiwa na mama zao na wale waliokuwa wanaangalia mpira kwenye banda umiza na hata yule mama mjamzito walifanya uhalifu gani?
Na je, mhalifu hupigwa risasi na kuuawa huku akiwa hana silaha au hukamatwa na kushitakiwa?
Kuna mahali na siku isuyo na jina utajibia huu uuaji wenu.
Ndio maana umeambiwa vita haina macho
 
Mimi na wewe nani anayehemkwa? unajua kua vita hua ina sheria zake?
Kama ni sawa kufanya yale mauwaji Gaza,mbona ICC wametoa arrest warrant kwa wahusika? au wewe unajua zaidi na umesoma zaidi kuliko majaji wa mahakama ya ICC?

Unapotetea haki za binadamu,hutakiwi kufanya ubaguzi coz kila binadamu anastahili haki yake,
Hao BBC mbona wanabagua jinsi ya kurepoti mauaji ya watu wasiokua na hatia?
Hayo ya Gaza,watajua wao,zungumzia HAya ya kwetu,Nchini .
 
Basi hapo unajiona bonge la mchunguzi sio?

Mimi hoja yangu ni western media kubagua matukio ya kuripoti,

Kama mpaka leo una amini kua mzungu ana uchumgu sana na matatizo yanayokufika wewe,basi una safari ndefu sana.
Kila siku BBC,wanatangaza habari za Gaza,we Za Gaza unashida nazo gani? Google!
 
Back
Top Bottom