Dunia inakwenda kasi sana

Grave mistake!
 
Sawa hata mimi nasapoti kutumbuliwa,lakini ushahidi thabiti upo?alihojiwa na kupewa nafas ya kujieleza?huenda kuna mambo yako nyuma ya pazia hakuna anayejua.
Nafasi ya kusikilizwa alipewa ndyo maana Rais kasema alimuonya mara kadhaa lakin bado hakusikia
 
Procedures za utumbuaji zimefatwa. Kama Rais anajua sifa za jamaa kwann mkewe asijue
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87]Mkewe..!! [emoji40][emoji40][emoji40][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Rais; Umeteuliwa kuwa DAS kuanzia sasa.
Yesu (voice ).mama inuka kuanzia leo dhambi zako zimesamehewa
😁😁😁watu na mamlaka yao.
 
Rais; Umeteuliwa kuwa DAS kuanzia sasa.
Yesu (voice ).mama inuka kuanzia leo dhambi zako zimesamehewa
[emoji16][emoji16][emoji16]watu na mamlaka yao.
[emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144][emoji40][emoji40][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nilikuambia wakubali wasukuma umeng'ang'ana na Eli79
Ambaye ni Mpare [emoji30][emoji30][emoji119][emoji119][emoji119][emoji109][emoji123][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: amu
Ambaye ni Mpare [emoji30][emoji30][emoji119][emoji119][emoji119][emoji109][emoji123][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wapare hamfai.
Wasukuma wapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…