Dunia duara ukifikiri utahara.Wanajamvi Salam.
Leo nataka kujua zaid kuhusu mada fikirishi ya umri wa dunia. Kupitia hadithi mbalimbali za historia na vitabu vya dini, zinatuambia Kwamba Dunia ilianza takriban miaka million kadhaa huko nyuma. Pia watu walioishi miaka hiyo ya nyuma sana inasimuliwa na kuaminika kwamba walikua ni watu wenye maumbile makubwa sana kimwili, wenye nguvu sana, wenye akili sana, majasiri, wenye uthubutu, na sifa nyinginezo kedekede.
Swali langu la msingi ni kwamba, kwa huu umri wa Dunia unaosimuliwa na aina ya watu waliokwepo zamani, kwanini Civilization na technological advancement zimechelewa sana? Kwanini maisha ya zamani yalikua magumu sana, (only strongest survived) Kwanini maisha yamekua some how simplified kuanzia karne ya angalau ya 15 hapo?
Does it mean hao watu wa zamani walikua vilaza sana tofauti na historia zinavowapamba? Kama sio, kwanini hawakuwa na hiyo akili na uvumbuzi wa teknolijia ambayo ingepunguza ugumu wa maisha tokea miaka hiyo??
Kwa wale Watu wazima waliozaliwa miaka kati ya 1930 hadi 1970 ambao wako hai hadi leo, wanasema wameishi katika ulimwengu wa zaid ya aina 3 hapahapa duniani. Kwanini wanasema hivyo? Angalia gap la mabadiriko ya dunia kuanzia 2010 hadi sasa, Rudi nyuma Kidogo angalia mabadiriko ya dunia ya 2000 hadi 2010, kisha endelea kurudi nyuma kwa kuangalia dunia ya miaka chini ya 2000. Nadhani hapo utakua umepata picha kidogo ya swali langu. Dunia ya 2000 ni tofauti kabisa na dunia ya 2023.
Hiyo dunia ya zamani na watu wake wenye uwezo mkubwa walishindwa hata kutengeneza simu ili wawasiliane? Computer zimekuja mwishoni mwa karne ya 20 (miaka ya 1940-1950) kama sikosei, Simu pia zilianza miaka ya 1980s, magari na vyombo vingi vya moto vilianza kuanzia angalau karne ya 15 hapo. Unaambiwa watu walikua wanasafiri hata miezi kadhaa wako tu njiani. Sasa hizo akili na uwezo wao mkubwa ulikua wap?
Mwisho, mi naamini hii dunia ni ya Juzijuzi tu hapo. Naombeni mje na hoja za kusema hii dunia ina hiyo miaka mamilioni.
Mungu hajui nina uhakika na hilo ila sisi wanadamu tumeshajua umri wa dunia mpaka umri wa jua na tunajua lini jua litapoteaAjuaye umri exactly wa Dunia ni Mungu tu.
Yani ya binadamu au viumbe.. Dunia imepitia vifo vya halaki kama vipindi vitatu hv. Kipindi cha kwanza ni pale cyno bacteria walipoanza tengeneza oxygen dunia ikaganda. Chapili kinaitwa great dying hatujui sababu yake ila asilimia 95% ya viumbe wa nchi kavu walikufa na 98% ya baharini walikufa... Chatatu ni pale dunia ilipopigwa kimondo kuua dinasour wote wasio ndegeInaonesha kila baada ya kufikia stage flani huwa dunia inakuwa restored to default na kuanza upya, siamini kama sis ndo intake ya kwanza kuwepo humu
Ndio IQ ya mwislamu inapoishia hapa. Hii dini ndio maana popote ilipopita jamii ya mahali hapo imekuwa mambumbumbu.Dunia duara ukifikiri utahara.
Mwislamu hawezi jibu kwa akili hivi ndio maana FaizaFoxy anasema atahara akiijua dunia. Uislam ni janga.Dunia ina miaka 4.5 billion na maisha duniani yana miaka 4 billion. Multicellular organism ya namiaka 600m. Viumbe vimetoka nje ya maji ni takriban miaka milioni 400
Basi huenda tukifikia stage flani na hii itasafishwa tuanze mojaYani ya binadamu au viumbe.. Dunia imepitia vifo vya halaki kama vipindi vitatu hv. Kipindi cha kwanza ni pale cyno bacteria walipoanza tengeneza oxygen dunia ikaganda. Chapili kinaitwa great dying hatujui sababu yake ila asilimia 95% ya viumbe wa nchi kavu walikufa na 98% ya baharini walikufa... Chatatu ni pale dunia ilipopigwa kimondo kuua dinasour wote wasio ndege
Una hakika gani kama hivyo vipindi vitatu vilitokea kweli? Au umetumia nini kujua kama vilikuwepo?Yani ya binadamu au viumbe.. Dunia imepitia vifo vya halaki kama vipindi vitatu hv. Kipindi cha kwanza ni pale cyno bacteria walipoanza tengeneza oxygen dunia ikaganda. Chapili kinaitwa great dying hatujui sababu yake ila asilimia 95% ya viumbe wa nchi kavu walikufa na 98% ya baharini walikufa... Chatatu ni pale dunia ilipopigwa kimondo kuua dinasour wote wasio ndege
Ongeza maarifa kwa kusoma vitu mbali mbali usitegemee maarifa yatakukuta.. Elimu sio kama kufanya mapenzi au kunyonya kuwa unazaliwa unajuaUna hakika gani kama hivyo vipindi vitatu vilitokea kweli? Au umetumia nini kujua kama vilikuwepo?
Wewe si umesoma hizo sources? ndiyo nimekuomba ueleze mkuu. Maana hapo awali umenijibu kuwa unahakika kuwa Mungu hajui umri wa Dunia.Ongeza maarifa kwa kusoma vitu mbali mbali usitegemee maarifa yatakukuta.. Elimu sio kama kufanya mapenzi au kunyonya kuwa unazaliwa unajua
Dunia ina umri wa miaka Bilioni 4Wanajamvi Salam.
Leo nataka kujua zaid kuhusu mada fikirishi ya umri wa dunia. Kupitia hadithi mbalimbali za historia na vitabu vya dini, zinatuambia Kwamba Dunia ilianza takriban miaka million kadhaa huko nyuma. Pia watu walioishi miaka hiyo ya nyuma sana inasimuliwa na kuaminika kwamba walikua ni watu wenye maumbile makubwa sana kimwili, wenye nguvu sana, wenye akili sana, majasiri, wenye uthubutu, na sifa nyinginezo kedekede.
Swali langu la msingi ni kwamba, kwa huu umri wa Dunia unaosimuliwa na aina ya watu waliokwepo zamani, kwanini Civilization na technological advancement zimechelewa sana? Kwanini maisha ya zamani yalikua magumu sana, (only strongest survived) Kwanini maisha yamekua some how simplified kuanzia karne ya angalau ya 15 hapo?
Does it mean hao watu wa zamani walikua vilaza sana tofauti na historia zinavowapamba? Kama sio, kwanini hawakuwa na hiyo akili na uvumbuzi wa teknolijia ambayo ingepunguza ugumu wa maisha tokea miaka hiyo??
Kwa wale Watu wazima waliozaliwa miaka kati ya 1930 hadi 1970 ambao wako hai hadi leo, wanasema wameishi katika ulimwengu wa zaid ya aina 3 hapahapa duniani. Kwanini wanasema hivyo? Angalia gap la mabadiriko ya dunia kuanzia 2010 hadi sasa, Rudi nyuma Kidogo angalia mabadiriko ya dunia ya 2000 hadi 2010, kisha endelea kurudi nyuma kwa kuangalia dunia ya miaka chini ya 2000. Nadhani hapo utakua umepata picha kidogo ya swali langu. Dunia ya 2000 ni tofauti kabisa na dunia ya 2023.
Hiyo dunia ya zamani na watu wake wenye uwezo mkubwa walishindwa hata kutengeneza simu ili wawasiliane? Computer zimekuja mwishoni mwa karne ya 20 (miaka ya 1940-1950) kama sikosei, Simu pia zilianza miaka ya 1980s, magari na vyombo vingi vya moto vilianza kuanzia angalau karne ya 15 hapo. Unaambiwa watu walikua wanasafiri hata miezi kadhaa wako tu njiani. Sasa hizo akili na uwezo wao mkubwa ulikua wap?
Mwisho, mi naamini hii dunia ni ya Juzijuzi tu hapo. Naombeni mje na hoja za kusema hii dunia ina hiyo miaka mamilioni.
Ndio Mungu hajui umri wa dunia..Wewe si umesoma hizo sources? ndiyo nimekuomba ueleze mkuu. Maana hapo awali umenijibu kuwa unahakika kuwa Mungu hajui umri wa Dunia.
Kwa vile wewe unafahamu nikataka u justify findings zako.