Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Ni Pm basi tupange makutano yetu Zhakiem.Nasikia. Kuna kitongoji kina jina ilo
Ni Pm basi tupange makutano yetu Zhakiem.Nasikia. Kuna kitongoji kina jina ilo
Lazima ianze leo wewe hutaki kunidanga?Makutano mwakani
Mipango inaanza tarehe 31/dec
Oooh mbona ratiba ya Nov umekataa kutoa?
Mbagala hua hatudangi ..au umesahau ilo
hahah its serious mkuu sijui inakuwaje but jamaa ilikuwa akipanic tu huku mambo yanajipa sijajua ni ,mechanism gani inafanyika.
Nitaitoa Leo jioni jirani
Pweza zinanitoa mabaka jirani..nimeacha kula
Ukiwa tayari nitakupa mwanzo kama una utayari lakini.Sina
Labda unifunze
Hapo sawa.Sawasawa jirani