Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,745
- 16,110
umeanzisha mada au hoja?Kwanini iwe mie ndio natakiwa kueleza uchawi ni nini katika huu uzi? Mimi sio mwenyewe uzi na nakuja hapa nakuta wengine mshachangia maoni yenu kuhusu uchawi na mie nachangia, sasa nashangaa unaposema nimekuwa mgumu kuelezea nini maana ya uchawi.
Mkuu ungetaka kujua maana ya uchawi hakika usingesubiri hadi nije wakati mie nimekuta watu mshaanza kujadili humu, acha kunionea mkuu.
Uchawi upo zaidi kiroho ila unatenda kazi juu ya mwili na uchazi ni zaidi ya kanuni za asili..uchawi unaweza kufanya jambo ambalo ni kinyume na kanununi za asiliTujuze
MaliziaUchawi upo zaidi kiroho ila unatenda kazi juu ya mwili na uchazi ni zaidi ya kanuni za asili..uchawi unaweza kufanya jambo ambalo ni kinyume na kanununi za asili
Kwa mfano huko mitaani tumezoa kuambiwa mtoto mdogo anaweza kupata homa kwasababu ya kijicho(ameangaliwa vibaya na mtu asiye na lengo zuri). Jambo kama hilo kwa hali ya kawaida huwez kuliamini lakini siku ukiwa na mtoto mdogo zile
huo uchawi unaitwa pauline zongoMalizia
ingia google search pauline zongoMalizia
Sio medusa zongo?huo uchawi unaitwa pauline zongo
hiyo medusa ni ya kwako sema pauline zongooo , kule mwanza kuna tajiri anajiita zongiiiSio medusa zongo?
Albino haiwezi kuwa mjadala ni kwasababu wapo kwenye jamii, na jamii ambayo imepumbazika kwa ushirikina ndio huwaua hao Albino.Ni kweli kabisa unachokisema...kama wewe hujawahi kuwaona albino haimaanishi kwamba albino hawapo, hata kama utaamini wapo kwa shingo upande basi utaona ni jambo lenye utata sana kwasababu kwa hali ya kawaida binadamu hawezi kuwa albino
Alikuwa mwanamazingaombwe (stage magician)Albino haiwezi kuwa mjadala ni kwasababu wapo kwenye jamii, na jamii ambayo imepumbazika kwa ushirikina ndio huwaua hao Albino.
Unaelewa kwamba hoja ya uchawi upo iliwahi kufanyiwa challenge ya kuwa tested na ikafeli?
Mwingine anaweza kusema pengine watu hawakujitokeza kuthibitisha kwasababu hakukuwa na faida yeyote watayo ipata in return.
Hapana. Kulikuwa na 1 Million dollars ya prize kwa atayeweza
Mwingine anaweza kusema hakukuwa na muda wa kutosha wa hiyo challenge kufanyika.
Hapana. Challenge ilidumu kwa miaka zaidi ya 50 mpaka inakuja kuwa terminated 2015 hakuna aliyeweza kuthibitisha uchawi upo na unafanya kazi
Unajua aliyeweka hiyo challenge ni nani?
Alikuwa ni James Randi ambaye alikuwa ni maarufu kwa sifa za uchawi.
Unaweza kujiuliza kivipi huyu anayeitwa mchawi aweke tena challenge ya kuthibitisha uchawi upo?
Extraordinary claims require extraordinary evidenceNyie mnaotaka kujua uchawi ni nini hamuwezi kupata jibu mnalolitaka kwasababu mnaamini yote yanatokea kwa sababu ya sayansi tu laiti kama mngejua kidogo upande wa pili nadhani mngeuliza maswali mengi kwaajili ya kujifunza na sio mabishano
Mke awe anafungulia redio ya Mwamposa ili iwe vurugu juu ya vurugu mpaka asalimu amri.Kuna jamaa yangu, kaanza kwenda kwa waganga wa kusini huko.Huyu ninamsadiaje.Maana wamemshika kichwa, full kuwasha maubani nyumbani kwake, imesababisha ugomvi na mke.Then ni msomi kabisa huyu ni muajiriwa taasisi nzuri tu ya kiserikali.
Aliweza kum expose Peter Popoff aliyekuwa kama Mwamposa wa huko mbele akijidai kujua taarifa za watu kwa kutajiwa jina tu.Alikuwa mwanamazingaombwe (stage magician)
Sijaanzisha chochote.umeanzisha mada au hoja?
Zipo nyingi sana naweza kuzileta ikawa mada mpya kabisa kujadili ipi ni sahihi, ndio maana nimekuuliza kwa vile unavyoelewa hadi ukajenga hoja ya kwamba huo uchawi ungekuwepo afrika ingekuwa tajiri.Katafute kwanza definition ya uchawi.
Unani hakikishia vipi kuwa utafiti ulio ufanya wewe ni wa kweli 100%?Tafiti. Kuna vitabu kabla ya Biblia. Vitabu vingi vitafute.
Ila mie nisiye mchawi nikitaka kukuroga siendi kwa mchawi ila naenda kwa huyo huyo mganga.mchawi ni mtu mharibifu, anakutupia majini,anakufanya uwe masikini,uwe kichaa, ufe nk, mganga anatibu,
Bado haujajibu nilicho kuuliza, zaidi naona unaruka na hoja ambazo hazina logic yoyote ile.Mengine yako ndani yako.