Dunia ina mambo mengi ya kushangaza

Yoda sasa hiyo Nguvu.
Wanaiojua inavutwaje na kuipata ndio wanaitumia kwa namna mbali mbali.

Wengne Kuanzisha Dini.
Wengne Uchawi na Uganga.
Wengne kuongoza watu nk.

Ila kuna Nguvu iko ndan yetu. Na inatuzunguka.
kwasababu ya hiyo nguvu ndio Uchawi, Mungu, Uganga upo na mengne yapo na yanawezekana.
 
Kama mambo yako beyond our reasoning and thinking kwa nini unasema ni ya kiroho? Umejuaje ni ya kiroho? Umethibitishaje ni ya kiroho? Mambo ya kiroho ni mambo gani kwanza??

Kama mambo yako nje ya uwezo wako wa kawaida wa akili ina maana huyaelewi na hauyafahamu(angalau kwa wakati huo), haithibitishi chochote kwamba ni mambo ya kiroho au yaliyo nje ya uhalisia, ni kwamba tu hujayafahamu na kuyaelewa kwa akili zako, ishia hapo.
 

Ww pia unajua na hujaelewa yanatokeaje.

Ila kuna watu wanajua na wanatumia kufanya yasiyowezekana kikawaida kuwezekana.

Uchawi upo. Mm nishashuhudia
Najua utasema ni story. Ila i wish siku moja ukutane nao.
 
Ww pia unajua na hujaelewa yanatokeaje.

Ila kuna watu wanajua na wanatumia kufanya yasiyowezekana kikawaida kuwezekana.

Uchawi upo. Mm nishashuhudia
Najua utasema ni story. Ila i wish siku moja ukutane nao.
Unaweza kumleta mchawi au mganga hata mmoja anayeweza kuelezea na kuthibitisha mtu ukitoa kafara, ukipewa dawa au ukizindikwa utapata pesa au mafanikio??
 
Unaweza kumleta mchawi au mganga hata mmoja anayeweza kuelezea na kuthibitisha mtu ukitoa kafara, ukipewa dawa au ukizindikwa utapata pesa au mafanikio??

Nina amini wako.
Ila mm sina connection ya makafara . Hayo muombe Al-mukheef .

Nishashuhudia ndugu yangu kabisa wa karibu tunalala usiku anaongea na sisi vizur.
Alaf asubuh hawez kuongea. Anaongea kama bubu (aba aba aba nying).
hosp kadhaa ameenda. Mapicha na Xray za kutosha. Na hakuna kitu.
Ni dawa za usingiz alipewa ili Ubongo utulie maana waliamini ni Hitilaf ya Ubongo.

Miez 6 tukampeleka Handen kwa Mababu Zetu. Akakaa wiki 2. Akarud anaongea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Mm mwenyewe nishawah fanyiwa mavitu vitu. So naelewa.

Hizi nguvu hata usipoita Uchawi. Ila ziko bro.
 
Najua mambo mengi tu ya afya na sijawahi kusoma hata course moja ya udaktari au unesi. Najua mambo mengi ya Marekani japo sijawahi kufika huko, najua mambo mengi ya Waislamu na sijawahi kutia mguu msikitini au madrasa.
Kujua mambo mengi sio tatizo ila shida inakuja kujua uhalisia wa hayo mambo. Unaweza ukawa unajua mambo mengi kwa kusikia na kusoma kuhusu Marekani lakini isiwe yote uliyosoma na kusikia ikawa ndio uhalisia wenyewe wa maisha ya huko Marekani yaliyvyo.

Kwahiyo inawezekana kabisa ikawa umesikia visa vingi vya utapeli wa waganga, lakini hujui uhalisia wake ukoje.
 
Me nisaidie kitu kimoja tu, njoo PM niachie majina ya hivo vitabu tu
 
Mimi sipingi ila nahoji, umeleta hoja kwamba uchawi ungekuwepo afrika ingekuwa matajiri, sijapinga kutokuwepo kwa uchawi bali nimehoji huo uchawi ungekuwepo ungewezaji kufanikisha afrika kuwa matajiri?
Ungeweza kufanikisha utajiri kwa kutumia hizo nguvu zinazo daiwa ni za kichawi.
 
Hakuna uganga unaofanya kazi,
Wanacheza na akili yako,
Pseudo Effects.
 
Tz mbongo gTurn kwanini inakua ngumu sana kueleza uchawi ni nini, uzi mpaka sana umeshanasa kila mtu anacheza defensive kwa upande wake mjadala unashindwa kwenda mbele
 
Nice story, but doesn't cut it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…