Story nyingi za uchawi ni za kusikia tu, utasikia 'unaambiwa'..., kuna huyo jamaa anasema kuna mganga huko Sumbawanga..Sasa na yeye akikuuliza swali kama hilo utajibu nini? Yani akikuuliza unahakika gani hakuna uchawi na si kwamba kutokujua kwako tu maarifa ya uchawi ndio kunafanya useme hakuna uchawi utajibu nini?
Kwa sababu ukiangalia sidhani kama katika experience yako ya maisha umewahi kushiriki ama kushuhudia mwenyewe katika mambo ambayo yalihusishwa na uchawi, kwako wewe uchawi ni issue za kusikia tu na si zaidi ya hapo.
Sasa na yeye akikuuliza swali kama hilo utajibu nini? Yani akikuuliza unahakika gani hakuna uchawi na si kwamba kutokujua kwako tu maarifa ya uchawi ndio kunafanya useme hakuna uchawi utajibu nini?Unathibitishaje hicho unacho kiita uchawi, ni uchawi kweli, na si maarifa ambayo wewe huyaelewi?
Jinsi unavyoelezea uchawi ni kama unazungumzia miujiza ndio maana unapata shida kueleweka.Mnapenda ligi tu ila uchawi upo zaidi kiroho na sio kwa kanuni za asili, naweza kuweka maelezo marefu hapa ila kwa aina yako ya maswali unaonekana hutaki kujifunza ila unataka kubishana
Kama wewe huamini mambo ya kiroho itakuwa ngumu sana kwako kuamini nguvu zilizo kinyume na sheria za asili
Uchawi ni nini?Sasa na yeye akikuuliza swali kama hilo utajibu nini? Yani akikuuliza unahakika gani hakuna uchawi na si kwamba kutokujua kwako tu maarifa ya uchawi ndio kunafanya useme hakuna uchawi utajibu nini?
Kwa sababu ukiangalia sidhani kama katika experience yako ya maisha umewahi kushiriki ama kushuhudia mwenyewe katika mambo ambayo yalihusishwa na uchawi, kwako wewe uchawi ni issue ya kusikia tu na zaidi ya hapo
Jinsi unavyoelezea uchawi ni kama unazungumzia miujiza ndio maana unapata shida kueleweka.
Ni hivi kuna mambo yanayoitwa ni uchawi kwa kuelezewa ni mambo yanayosababishwa kwa nguvu sijui za shetani, mapepo, majini n.k Mfano mtu kutoa kafara mtoto wake kisha akawa tajiri, mtu kulogwa akafa, chuma ulete n.k Haya mambo yapo katika jamii kwa maelezo au story lakini je yanaweza kuthibitishwa?! Hapo ndipo mtu anaposema hakuna uchawi, kama vile tu ambavyo hakuna Sungura anayeongea nje ya hadithi na masimulizi ila hadithi na masimulizi kuhusu Sungura wanaoongea zimejaa tele.Sasa na yeye akikuuliza swali kama hilo utajibu nini? Yani akikuuliza unahakika gani hakuna uchawi na si kwamba kutokujua kwako tu maarifa ya uchawi ndio kunafanya useme hakuna uchawi utajibu nini?
Kwa sababu ukiangalia sidhani kama katika experience yako ya maisha umewahi kushiriki ama kushuhudia mwenyewe katika mambo ambayo yalihusishwa na uchawi, kwako wewe uchawi ni issue ya kusikia tu na zaidi ya hapo
Ukishasema story teyari hapo ni unazungumzia issue za kuambiwa kwa mambo yeyote yale, hata mimi nikija hapa nikaeleza experience kuhusu uchawi kwenu nyie inakuwa story na ndio maana nasema ingekuwa vyema mngekuwa na experience zenu katika hili kuliko kuishia kutolea maoni mambo ya kusikia tu.Story nyingi za uchawi ni za kusikia tu, utasikia 'unaambiwa'..., kuna huyo jamaa anasema kuna mganga huko Sumbawanga..
Watu wangeutumia huo uchawi, kujiletea maendeleo.Sawa hakuna uchawi kama usememavyo na kigezo chako ni kwamba afrika kutokuwa tajiri kwa maana uchawi ungekuwepo afrika ingekuwa tajiri, ndio nakuuliza kama huo uchawi ungekuwepo kweli je ungewezaje kufanya afrika kuwa tajiri?
Uganga na uchawi vyote viwili ni utapeli unaonufaishana, bad cop good cop strategy, ni scam tu.Ukishasema story teyari hapo ni unazungumzia issue za kuambiwa kwa mambo yeyote yale, hata mimi nikija hapa nikaeleza experience kuhusu uchawi kwenu nyie inakuwa story na ndio maana nasema ingekuwa vyema mngekuwa na experience zenu katika hili kuliko kuishia kutolea maoni mambo ya kusikia tu.
Kama utakuwa unasema uchawi ni issue ya masimulizi tu hakuna wahusika wenyewe, basi uganga usingekuwa deal kiasi cha kuona idadi kubwa ya watu kufungua ofisi za uganga kama uchawi ni issue ya masimulizi tu kwa maana kusingekuwa na watu wenye kwenda huko kwa waganga kwa issue za uchawi..
Watu wangetumia uchawi kuiondoa CCM madarakani.Sawa hakuna uchawi kama usememavyo na kigezo chako ni kwamba afrika kutokuwa tajiri kwa maana uchawi ungekuwepo afrika ingekuwa tajiri, ndio nakuuliza kama huo uchawi ungekuwepo kweli je ungewezaje kufanya afrika kuwa tajiri?
Wewe ambaye umeshafikia kusema hakuna uchawi unaniuliza mie tena uchawi ni nini!Uchawi ni nini?
Katika maisha yako ushawahi hata kumsindikiza mtu kwa mganga?Uganga na uchawi vyote viwili ni utapeli unaonufaishana, bad cop good cop strategy, ni scam tu.
Huna pointKatika maisha yako ushawahi hata kumsindikiza mtu kwa mganga?
Kumbe hata hujui uchawi ni nini. Ila unabisha bisha tu na kupinga kila hoja.Wewe ambaye umeshafikia kusema hakuna uchawi unaniuliza mie tena uchawi ni nini!
Uchawi haupo kwa ajili ya maendeleo mkuu🤣uchawi hauna maana yeyote mkuu.
fatilia huu uzi uone maswali atakayo ulizwa mleta mada na majibu atakayotoa.
mwisho huu uchAwi tunataka kama upo utende kazi positive na tuzione, kama haujengi barabara, viwanda, kutibu magonjwa basi hauna umuhimu
Sawa, ila cha muhimu kilicho wazi mnajadili vitu ambavyo mnasikia tu na ndio maana kuna mtu huko kauliza hivi nyie mnaishi huku huku tunapoishi sisi?Huna point
Najua mambo mengi tu ya afya na sijawahi kusoma hata course moja ya udaktari au unesi. Najua mambo mengi ya Marekani japo sijawahi kufika huko, najua mambo mengi ya Waislamu na sijawahi kutia mguu msikitini au madrasa.Sawa, ila cha muhimu kilicho wazi mnajadili vitu ambavyo mnasikia tu na ndio maana kuna mtu huko kauliza hivi nyie mnaishi huku huku tunapoishi sisi?
Sasa mtu haujawahi hata kumsindikiza tu mtu kwa mganga utawezaje kujua yenye kuwahusu waganga zaidi ya kusikia tu?
Mimi sipingi ila nahoji, umeleta hoja kwamba uchawi ungekuwepo afrika ingekuwa matajiri, sijapinga kutokuwepo kwa uchawi bali nimehoji huo uchawi ungekuwepo ungewezaji kufanikisha afrika kuwa matajiri?Kumbe hata hujui uchawi ni nini. Ila unabisha bisha tu na kupinga kila hoja.
sasa una faida gani hata kama upo?Uchawi haupo kwa ajili ya maendeleo mkuu🤣
Kumbe hata hujui uchawi ni nini. Ila unabisha bisha tu na kupinga kila hoja.
Tuiwekeje mtu anayeota ndoto anakoja usingizini halafu anajikojolea kweli kitandani?Hebu tuwaze kwa kuweka Udini pembeni.
Tuwaze kwa kuweka Mungu. Uganga na Uchawi pembeni.
Tuwaze tukiwa Neutral ground.
Najua unaamini kuna mambo watu wanaweza kufanya ambayo kwa hali ya kawaida mtu asingeweza Kufanya.
Pia kuna mambo ya Kiroho ambayo hata ww unajua yako beyond our reasoning and thinking.
Je Haya tuyaiteje?.
mfano.
Ushawah kuota kitu alaf huko mbele kikatokea vile vile?.
Ushawah kumuwaza mtu na yeye anakuwaza muda huo huo?.
Ushawah kunuia kitu na kikatokea?.
Najua ushawah haya yote.
Je tuiwekeje hii?.
Tuiwekeje mtu anayeota ndoto anakoja usingizini halafu anajikojolea kweli kitandani?