Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

Sasa kama wahadhiri wanawagonga mwanachuo wa first year ambaye in most cases ni 21 - 22 yrs, yaani bado ni vidogo, vina tamaa za kawaida za kitoto na pia havijakomaa ki maamuzi na kimisimamo unategemea nini hapooo??
 
Toa way forwards
Ipi sasa ? Mm nimeisha sema serikali na jamii zije na njia mbadara zitakazo saidia kuzuia mimba au kupunguza tatizo la.mimba kwa wanafunzu na sio kusubiria tatzo litokee Ndio wachukue hatua. Sasa hapo wao ndio wataamua hatua gan bora wanafunzi wapewe elimu ya uzazi wa mpango mashule au la, kuwe na punguzo la gharama za baadhi ya huduma.za uzazi wa mpango kwa wanafunzu.
 
Mkuu wewe sio jamii, Toa ways forward
 
Safi sana! Una Big Vision sana wewe!
Probably big vision but ukweli ni kwamba misaada ya nje imechochea tukubaliane na hali na sio kwamba wako serious kumsaidia huyo mtoto wa kike....takwa la msaada zaidi
 
Tumegawanyika saba kuhusu kipi kilicho sahihi. Lakini kumnyima mtoto shule kwa sababu ya mimba hiki ni kifungo cha maisha.
Ni adhabu ya kisiasa na si kisheria maana haihusiani na mahakama.
Mungu huwa anasamehe makosa makubwa tu mtu akitubu dhambi. Ameweka moto ndio lakini ametoa nafasi ya kutubu kuepuka moto.
Kwa nini tuweke moto kwa mtoto wa kike bila nafasi ya kutubu.
Mama Samia yuko sahihi.
Eti tunamkataa halafu tuseme atasoma kwa njia nyingine?

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama wahadhiri wanawagonga mwanachuo wa first year ambaye in most cases ni 21 - 22 yrs, yaani bado ni vidogo, vina tamaa za kawaida za kitoto na pia havijakomaa ki maamuzi na kimisimamo unategemea nini hapooo??
Khaaa
 
Hakika ni kweli ulichosema
 
ohoo kumbe tulinyimwa mkopo wa mamilioni ya dola sababu tumezuia mtoto wa kike mwenye ujauzito kurudi shule? kwa hiyo soon tutapata huo mkopo??

maana tulianza na Covid, vikaruhusiwa vya kuruhusiwa ghafla mkopo huo, na hii tena kama hivyo, dah tabu kweli

ila kuna kitu kimoja ambacho nilikiona, Raisi aliyepita alisema hao wanaotaka wenye ujauzito waendelee na shule, kwanini wasijenge shule kwa gharama zao na wawasomeshe hao watoto???
 
Kaziiendelee
 
Unahoja mkuu
 
Baada ya serikali kuwakataa, siyo. Kitendo cha kukataliwa ndicho kischokubaliwa.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani yeye zilikua ni fedha zake au za wananchi
Na hap watoto ni wanani
Alikurupuka
 
CCM inajitekenya halaf inacheka
 
Her Excellency knows timings and right buttons to press
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…