Notorious_Marcc
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 2,599
- 6,128
Jehanam ni eneo lililotajwa kiroho zaidi, labda nikuulize , je kuna maeneo hapa duniani yaliyo tajwa kiroho zaidi tunayoweza kuyagundua na kuyatembelea?Jehanam unakubali kwamba ni eneo halisi lipo?
Ooh hapo sawa.Jehanam ni eneo lililotajwa kiroho zaidi, labda nikuulize , je kuna maeneo hapa duniani yaliyo tajwa kiroho zaidi tunayoweza kuyagundua na kuyatembelea?
Taratibu mkuu. Mungu anakusikia unavomkashfu.Kwanini Mungu aruhusu mbaya yatokee kwenye Dunia yake?
Yeye si mwenye uwezo wote na nguvu zote?
Kwanini akubali na aruhusu ushenzi utokee kwenye himaya yake?
Au Hana uwezo wote? Au
Hana Upendo na Nguvu zote kuzuia mabaya?
Duniani tunaishi Kwa kutegemeana sisi Kwa sisi, Kwa ufupi tunaishi Kwa kutegemea msaada wa mazingira.
Hakuna Mungu kwamba Yuko sehemu Fulani analinda Dunia na vitu vilivyomo.
Ukiwa mgonjwa, ukakosa matibabu ya madaktari au wataalamu wa afya, kinga zako zikawa dhaifu kupambana na ugomjwa wako, utakufa, Mungu hawezi kuja kukusaidia hata kukusogezea glasi ya maji.
Thibitisha kwamba Mungu ananiona, kabla ya kuthibitisha kwamba namkashifuTaratibu mkuu. Mungu anakusikia unavomkashfu.
Hata mimi. Pamoja na ubaazazi wangu wote sitamkana Mungu. God is real.Binadamu huwa tunaishi kwa kulaumu kuwa tunapitia matatizo na changamoto nyingi.
Mpaka pale ambapo mtu apate changamoto ya kiafya au ajali ashindwe kusimama au kufanya kazi ndio anakumbuka kuwa yale yote yalikuwa sii matatizo, tatizo halisi ni hilo moja la ugonjwa.
Licha ya kupitia changamoto nyingi za kila aina zilizo nipiga kila kona ya maisha yangu huwa naanmini mungu yupo.
You are fine. Hizo changamoto utazishinda tu. Jipe moyo.1 ndoa ni utapeli
2 dunia imejaa unafki
3 dunia sio sehem nzuri ya kuishi
4 Familia sio kila kitu
5 kuamini kiumbe mwanadamu ni ujinga
6 kama kungekua na option ya kuchagua uzaliwe au usizaliwe ningechagua kutokanyaga kwenye dunia hii iliyojaa watu wabaya
7 sina hakika kama Mungu yupo
8 I hate everything π
Fo shoHata mimi. Pamoja na ubaazazi wangu wote sitamkana Mungu. God is real.
Fact π―π―1 ndoa ni utapeli
2 dunia imejaa unafki
3 dunia sio sehem nzuri ya kuishi
4 Familia sio kila kitu
5 kuamini kiumbe mwanadamu ni ujinga
6 kama kungekua na option ya kuchagua uzaliwe au usizaliwe ningechagua kutokanyaga kwenye dunia hii iliyojaa watu wabaya
7 sina hakika kama Mungu yupo
8 I hate everything π
Usione jua kama linakuwakia wewe pekeako! After all karibu kila mmoja anapitia same shit ulizoandika hapo!1 ndoa ni utapeli
2 dunia imejaa unafki
3 dunia sio sehem nzuri ya kuishi
4 Familia sio kila kitu
5 kuamini kiumbe mwanadamu ni ujinga
6 kama kungekua na option ya kuchagua uzaliwe au usizaliwe ningechagua kutokanyaga kwenye dunia hii iliyojaa watu wabaya
7 sina hakika kama Mungu yupo
8 I hate everything π
Una uhakika changamoto nazopitia ni nyepesi mpka nikiona za watu wengine nitafuta uzi? Hapo sijaandika changamoto hata moja nilichokiandika hapo kinatokana na ninachopitia ndio maana kuna watu hujiua kwa sababu ya watu kama nyie mtu akija kwako badala umtie moyo unaanza kusema ooh,changamoto yako ni ndogo kwan unadhan watu wote tupo sawa mpka tuwe na mapokeo yanayofanana ?Usione jua kama linakuwakia wewe pekeako! After all karibu kila mmoja anapitia same shit ulizoandika hapo!
Ni vile tu sio rahisi, kila mtu akisema afungue uzi aandike changamoto zake nina uhakika utaufuta huu uzi! Watu wanacheka tu ila wengi wetu tuna vilio vikubwa moyoni!
Amini ipo siku tu! Utayavuka haya, umeanguka mama inuka jikungβute mavumbi songa mbele! Itajulikana mbele ya safari..
Kuhusu swala la Mungu sisemi sana ila sijui kama yupo au hayupo ,kuna mdau mmoja kasema Mungu ana watu wakeNa hao wanaompinga Mungu usiwape nafasi, sio ukisikia tu njaa ndio ukamlaumu Mungu hajakuletea lunch, jiulize we umeshamfanyia nini huyo Mungu unaemlalamikia mara zote? Unataka kufanyiwa tu bila kuwa na juhudi yoyote? Yaani ufaulu tu mtihani bila kusoma? Hauwezi kunywa sumu eti kwa sababu tu unahisi kiu!
Amini tu kama ubaya upo basi na wema upo! Kama shetani yupo basi na Mungu yupo! Usiruhusu mtu aliyeingiwa na ushetani akutenganishe na Mungu, usitafute dhambi ya kukufuru bila sababu! Kila mmoja anajua shetani anatafuta wa kwenda nao, hii ni mitandao kila mmoja ana lengo lake humu! Usiwe na uhakika sana kuwa wote ni watu! Mambo ni mengi mamaake..
Mfano huu;
UELEWA KATIKA MAANDIKO NI KWELI UNAMHITAJI ROHO MTAKATIFU.
Kuna mtumishi aliwahi kunikataza kuua mbu nilipokuwa kwake, eti kwa sababu katika amri kumi za MUNGU, moja wapo inasema, "USIUE" akasema kuwa, Mungu hakuainisha usiue nini, yeye kasema usiue, hivyo hatupaswi kuua cho Chote.
Mtumishi alitaka ning'wate na π¦ halafu nimshukuru MUNGU, kwa sababu andiko linasema, "Shukuruni kwa kila jambo, maana hayo ni mapenzi ya MUNGU" yaani mimi kung'wata na π¦ ni mapenzi ya Mungu... πππππ
UELEWA
Nb; doing the same thing over and over expecting different results is insanity..
So try changing how you look at things mate, or else..utalaumu mpk nguo unazovaa!
Hayo ni mawazo yangu tu, hujataka kunielewa basi na wala sijasema unachopitia ni kidogo! Kuna style nyingi za kumtia mtu moyo tuseme yangu haijafanya kazi kwako, umeanza kuwa mkali mweh!S
Una uhakika changamoto nazopitia ni nyepesi mpka nikiona za watu wengine nitafuta uzi? Hapo sijaandika changamoto hata moja nilichokiandika hapo kinatokana na ninachopitia ndio maana kuna watu hujiua kwa sababu ya watu kama nyie mtu akija kwako badala umtie moyo unaanza kusema ooh,changamoto yako ni ndogo kwan unadhan watu wote tupo sawa mpka tuwe na mapokeo yanayofanana ?
Sisi sote ni watu wa Mungu ila tunaamua tu kuchagua njia tofauti tofauti!Kuhusu swala la Mungu sisemi sana ila sijui kama yupo au hayupo ,kuna mdau mmoja kasema Mungu ana watu wake
Na matatizo mengi yameanza tokea zamani hata sijitambui sasa Mungu alitaka nimfanyie nini kwa umri huo mdogo nikiwa sijielewi au alitaka nifauru mtihani gan kwa umri huo,Na hao wanaompinga Mungu usiwape nafasi, sio ukisikia tu njaa ndio ukamlaumu Mungu hajakuletea lunch, jiulize we umeshamfanyia nini huyo Mungu unaemlalamikia mara zote? Unataka kufanyiwa tu bila kuwa na juhudi yoyote? Yaani ufaulu tu mtihani bila kusoma? Hauwezi kunywa sumu eti kwa sababu tu unahisi kiu!
Amini tu kama ubaya upo basi na wema upo! Kama shetani yupo basi na Mungu yupo! Usiruhusu mtu aliyeingiwa na ushetani akutenganishe na Mungu, usitafute dhambi ya kukufuru bila sababu! Kila mmoja anajua shetani anatafuta wa kwenda nao, hii ni mitandao kila mmoja ana lengo lake humu! Usiwe na uhakika sana kuwa wote ni watu! Mambo ni mengi mamaake..
Mfano huu;
UELEWA KATIKA MAANDIKO NI KWELI UNAMHITAJI ROHO MTAKATIFU.
Kuna mtumishi aliwahi kunikataza kuua mbu nilipokuwa kwake, eti kwa sababu katika amri kumi za MUNGU, moja wapo inasema, "USIUE" akasema kuwa, Mungu hakuainisha usiue nini, yeye kasema usiue, hivyo hatupaswi kuua cho Chote.
Mtumishi alitaka ning'wate na π¦ halafu nimshukuru MUNGU, kwa sababu andiko linasema, "Shukuruni kwa kila jambo, maana hayo ni mapenzi ya MUNGU" yaani mimi kung'wata na π¦ ni mapenzi ya Mungu... πππππ
UELEWA
Nb; doing the same thing over and over expecting different results is insanity..
So try changing how you look at things mate, or else..utalaumu mpk nguo unazovaa!
UsijalHayo ni mawazo yangu tu, hujataka kunielewa basi na wala sijasema unachopitia ni kidogo! Kuna style nyingi za kumtia mtu moyo tuseme yangu haijafanya kazi kwako, umeanza kuwa mkali mweh!
pole subiri waje wengine!
Uko sahihi kwa mtazamo wako, ila kiukweli mambo mengi hutokea kabla hatujakomaa au kuelewa maisha, lakini haimaanishi Mungu alituacha.. Badala ya kuuliza 'kwanini', jaribu kuuliza 'nifanye nini sasa', hebu jitahidi kuangalia kitu cha kufanya badala ya kualumu tafuta solution tu maana maumivu ya zamani yanaweza kuwa sehemu ya ushuhuda wako..N
Na matatizo mengi yameanza tokea zamani hata sijitambui sasa Mungu alitaka nimfanyie nini kwa umri huo mdogo nikiwa sijielewi au alitaka nifauru mtihani gan kwa umri huo,
Tayari una changamoto ya kisaikologia, you need specialist for emergency quick counseling and treatment.1 ndoa ni utapeli