Mungu hajaachilia uovu, na Mungu hawezi kuzuia uovu.Kwani Wewe uovu unaolalamikia hapa kuwa MUNGU kauachilia ni upi?
Na nani kaamua huo ni uovu?
Ndo nakuuliza wewe humu duniani umefanya maovu mangapi na amekuacha?Umesema Dunia ni Mali ya Mungu, ndiyo nikakuuliza kama Dunia ni Mali yake, kwanini aruhusu vita na majanga ya Asili yatokee kwenye himaya yake wakati yeye ni mwenye Upendo wote na nguvu zote?
Tunaweza kuthibitisha AI maana ipo na tunaitumia Kila siku.Wewe mwenyewe AI
Mimi sijafanya uovu wowote, na ikitokea nimefanya makosa, mahakama zipo Kwa ajili hiyo.Ndo nakuuliza wewe humu duniani umefanya maovu mangapi na amekuacha?
Au wewe hujafanya uovu wowote?
Sasa amri za Mungu wa Israel unazileta vipi kwangu mimi Mmakonde?Sijui unaongelea kina nani Sisi huku tumeambiwa tusiue.
Ukichunguza jamii za watu ambao MUNGU WA ISRAELI aliagiza wauawe hadi watoto wachanga: zilikuwa jamii zenye damu za kinefili.
Ajajajajajajaja🤣🤣🤣🤣🤣Kuwa muafrika ni zaidi ya laana.
Ukushasema Mantiki ndo ushamtaja MUNGU hivyo: MUNGU wetu wa milele, habadiliki: sheria za mantiki / kweli (truth) zinaakisi utu wake.Tunaweza kuthibitisha AI maana ipo na tunaitumia Kila siku.
Lakini kuthibitisha uwepo wa Mungu bila mikanganyiko ya kimantiki haiwezekani
Eti Biblia inasema Mungu ni kweli.Ukushasema Mantiki ndo ushamtaja MUNGU hivyo: MUNGU wetu wa milele, habadiliki: sheria za mantiki / kweli (truth) zinaakisi utu wake.
Eternal constants from the Eternal heavens where only TRUTH resides.
Ndomana na bibilia inasema MUNGU ni Kweli. Sio ana kweli, Yani ndio kweli yenyewe.
Ili chochote ki make sense tunamuuliza MUNGU mwenyewe, tunamtegemea yeye kwa kutumia sheria zake za mantiki.
Yani hadi kumkana MUNGU inabidi MUNGU awepo, asingekuwepo usingekuwa na msingi kumkana: sheria za milele za mantinki.
Unaona sasa, kumbe mashetani ni wanadamu, na hata Mungu ni wanadamu vile vile.Kwenda zako shetani.
Kwaheri.
Did spiderman rise from the dead?Eti Biblia inasema Mungu ni kweli.
Kwahiyo unakubali Spider man yupo kisa kuna vitabu vinasema hivyo.
The devil is actively working within you.Unaona sasa, kumbe mashetani ni wanadamu, na hata Mungu ni wanadamu vile vile.
👍
Mfano mimi huyo Mungu nimemkosea kiasi gan hata nistahili haya? Nina 27yrs lakin hakuna langi sijaona nimezaliwa nikakuta familia isioeleweka ,iliyojaa migogoro ,nikaozeshwa nikiwa bado mdogo kwa mwanaume ambaye hata sikua namjua kwa namna yoyote na hata sikumpenda ,ndoa nayo ikawa chungu familia iliyonilazimisha kuolewa haina msaada wowote watu hapo ni kwa kifupi ,kosa langu ni lipi hasa ?hii dunia imelaaniwa na haina faida kama kifo ni suruhu kher nijifie taratibu mamaeeeSasa anatoa vitisho au anakutaarifu?
Kwani hii dunia ya nani?
Mwenye dunia yake kasema ambaye hataki kufuata sheria zake: kumpenda MUNGU mwenyewe na kupenda wenzio kama unavyojipenda ataondolewa.
Hiyo ni taarifa sio kitisho.
Pia lazima ulipe yote uliyofanya, sio unakuja duniani unakuta vitu vizuri vizuri, unaviharibu tu.
Unakuta binti za MUNGU kawaumba wamtumikie wewe unawageuza dampo la uchafu wako, halafu unataka uachwe burebure.
Unakuja duniani kuvurugavuruga tu na kutesa tu watu, Kukosesha haki za watu, kuonea watu, kuumiza watu.
UTALIPA. BY FIRE YOU WILL PAY.
Only that MUNGU wetu ni mwenye Rehema na ameshalipa kwa ajili yako ili uishi milele, kwa DAMU YA YESU utaishi.
Sijajua unataka msaada gani, usikute unataka mahela wakati kwenye Ufalme wa MUNGU hamna hela, mahela yote yatakuja kupigwa kiberiti, so wewe kuhisi hakusaidii ni kukosa hekima / akili.
MUNGU halazimishi mtu, huoni waovu wanavyopeta, ndo wanaongoza kufanikiwa humu duniani na MUNGU kawaacha!
We kama umeamua kumkataa haya, hao watu unaoona wana maana hawalingani kwa vyovyote kwa utukufu na yule aliyewaumba. Ni sawa na kuona robot ana akili kuliko bindamu aliyem program. Ukosefu wa hekima.
Yote uliyoyasema ni sahihi.1 ndoa ni utapeli
2 dunia imejaa unafki
3 dunia sio sehem nzuri ya kuishi
4 Familia sio kila kitu
5 kuamini kiumbe mwanadamu ni ujinga
6 kama kungekua na option ya kuchagua uzaliwe au usizaliwe ningechagua kutokanyaga kwenye dunia hii iliyojaa watu wabaya
7 sina hakika kama Mungu yupo
8 I hate everything 😒
Utachaguaje Sasa wakati ujazaliwa eti Kiranga huyu jamaa vipi unawezaje kichagya uzaliwe au usizaliwe wakati hujui HATA kama Kuna KITU kinaitwa ubongo.kama kungekua na option ya kuchagua uzaliwe au usizaliwe ningechagua kutokanyaga kwenye dunia hii iliyojaa watu
Unaweza kumthibitishia Kiranga ?Mungu yupo aisee amini nakuambia hilo nimelithibitisha kabisaa.
Sasa amri za Mungu wa Israel unazileta vipi kwangu mimi Mmakonde?
Pamoja na yote hayo mkuu anakuja mtu anakwambia Maisha yetu yote Mungu anajua mwanzo na mwisho, yaani Mungu ameshapanga tutazaliwa vipi mpaka kifo chetu kitakuwaje.Mfano mimi huyo Mungu nimemkosea kiasi gan hata nistahili haya? Nina 27yrs lakin hakuna langi sijaona nimezaliwa nikakuta familia isioeleweka ,iliyojaa migogoro ,nikaozeshwa nikiwa bado mdogo kwa mwanaume ambaye hata sikua namjua kwa namna yoyote na hata sikumpenda ,ndoa nayo ikawa chungu familia iliyonilazimisha kuolewa haina msaada wowote watu hapo ni kwa kifupi ,kosa langu ni lipi hasa ?hii dunia imelaaniwa na haina faida kama kifo ni suruhu kher nijifie taratibu mamaeee
Me nina 30 nimeshaenda kuzimu na kurudi hapa hapa duniani, yani cha moto nimekiona.Mfano mimi huyo Mungu nimemkosea kiasi gan hata nistahili haya? Nina 27yrs lakin hakuna langi sijaona nimezaliwa nikakuta familia isioeleweka ,iliyojaa migogoro ,nikaozeshwa nikiwa bado mdogo kwa mwanaume ambaye hata sikua namjua kwa namna yoyote na hata sikumpenda ,ndoa nayo ikawa chungu familia iliyonilazimisha kuolewa haina msaada wowote watu hapo ni kwa kifupi ,kosa langu ni lipi hasa ?hii dunia imelaaniwa na haina faida kama kifo ni suruhu kher nijifie taratibu mamaeee
AsanteeYote uliyoyasema ni sahihi.
Pole kwa unachokipitia kwa sasa!