Dunia imeharibika, ila watu wameharibika zaidi

Dunia imeharibika, ila watu wameharibika zaidi

Mwandiko wako siku ya kwanza unajiunga, unaomba tukupokee humu na huu wa leo, utofauti ni mkubwa sana kama mbingu na ardhi.

Au tayari kuna njemba umefikabidhi hii akaunti ikuendeshee kimkakati, MTUTAPELI????
Kivipi mwandiko hubadilika
 
We hujui kuhide ID, mbona kila kitu umekiweka hadharani hivyo hadi picha yako.

Wenzio wanataka wakakusage, unawatamanisha
 
Kwamba wewe ni mrembo na unamvuto.
Wanakuja ila hatutaki malalamiko baadae
 
haya mambo yapo Dqr tu huku kwetu mikoani ndani ndani hamna kabisa 😂😂😂😂😂😂😂
haha😂😂😂😂,.
Nawaza hiyo siku sijui nitajiskiaje?, eti mdada anitongoze mwee! kwanza sitamchukulia serious
 
Back
Top Bottom