Dunia imebadilika, acheni kupost post mapicha yenu huko mitandaoni

nje ya mada

mwaka 2017 nilipost picha ya mashine yakfanyia mazoezi ile ya kukimbilia (nilikua nauza) bahati mbaya mimi mwenyewe nilikuepo kwa picha.
asee mpaka leo io picha inazunguka
unataman hata ui edit ujitoe kwenye ile pcha,ila ndio huwezi tena.
 
Ni
Picha kuhifadhi kwa hardcopy ni primitive sana
Unaweza kuhifadhi kwa njia hata ya email bila mtu mwingine kuziona. Hata fb unaweza ukazipiga pin vilevile zisionekane
Nifundishe fb nafanyaje kupiga pin na insta
 
Mbona kama umepitwa na wakati bro!!
Em tupe mifano ya watu wenye heshima zao walio suffer kwa 'content'/picha wanazopost labda tutaelewa.,


mtu anawezaje tumia picha yako kutafutia mchumba kikweli kweli?si ipo siku hao wachumba watakutana ,.what is the use?!

tuko zama pia ambazo kuiba identity ya mtu na ukafanikiwa ni ngumu sana esp unapolink techno na real world kufanya verification km huyu mtu ndie au la,.

kuwa edited inategemea imekua edited kuwa nini...u can still prove the original/authentic you/ photo.....you can have an alibi,.

unless km mtu anaposti tu mitandaoni kwa majina feki km humu JF...of which inaweza kuwa reported humu pia!
 
Binafsi sipigi mapicha tena, nakumbuka simu na laptops nilizowahi kujaza mapicha na zikapotea... ingawa sijawahi kukutana nazo picha zangu ila inanipa hisia mbaya tu kuwa zilionwa/zipo na watu.

What’s the point!
 
Back
Top Bottom