king joniva
JF-Expert Member
- May 14, 2018
- 262
- 296
Ni kwer kabisaa mkuu hata huyu mwenye picha uliyo iweka kwenye avatar yako alikosea sana kuweka mtandaoni..kwer Kabsaa mkuu!!!Lakini sasa nimeelewa kwanini yote hayo yalikuwa yanafanyika, na ninakubaliana nao kuwa walikuwa na wapo sawa hata na sasa. Wote ni mashahidi jukwaaa la MMU watu wakitafuta wapenzi, kwenye social networks tofauti watu wakitafuta wapenzi. Picha nyingi zimekuwa zikitumika huko, na nyingi kati ya picha zinazotomika si za wahusika wenye picha wenyewe na wala wao hata hawajui.