Dunia imebadilika, acheni kupost post mapicha yenu huko mitandaoni

Dunia imebadilika, acheni kupost post mapicha yenu huko mitandaoni

Huwezi kuzuia social media kufanya kazi zake. Ulimwengu huko mbali sana na mawazo ya mtoa mada ambayo ni ya kizamani. Kuna njia nyingi sana za kutafuta furaha na mojawapo ambayo ni ya kisasa ni social media. Dunia ya sasa ina upweke sana ndio maana watu wanatumia social media kujichangamsha na at least kuwa social

Wewe utakuwa mtu Fulani wa mwaka 47 hivi unataka kuleta issue za albam za picha za hardcopy kipindi hiki cha maendeleo ya sayansi na teknolojia. Usishindane na wakati dunia inaenda kasi sana, nyie ndio mnahifadhi hela kwenye mabegi ndani hamziamini hata benki
umepatia

upo sahihi

ndivyo nilivyo.
 
Hivi watu mnawezaje kuandika maandishi mengi hivi?
ukitumia simu huwezi (japo wapo wanaoweza)

ukitumia PC inawezekana,hasa monitor ikiwa kubwa, ila pia

kutegemea na uwezo wako wa kucheza na keyboard + mood.
 
Attachments

  • picha.jpg
    picha.jpg
    101 KB · Views: 5
Sure mkuu watu wanaweza kuisambaza mtaani ikiwa na maelezo "JAMBAZI SUGU ANATAFUTWA UKIMUONA UA KWANZA ULIZA MASWALI BAADAE"
 
Ok hii haihusiani na mada.

Mwaka fulani tukiwa chuo kuna jamaa alipanga room halafu akawa anakaa na wana for free. Kuna dogo yupo diploma akaomba akae pale. Kukawa na jumla watu sita wanaolala mule.

Sasa huyu dogo alikua pasua kichwa yaani kuja kulala na mwanamke huku washkaji wapo pale haikua tatizo kwake. Hachangii msosi, usafi hafanyi, hela ya kununua spray ya mbu hatoi yaani vururu vururu.

Kumwambia mwenye room juu ya huyu dogo mwenye room akajibu "Haya maisha ya chuo tu wote tutapita acheni dogo ale good time" washkaji wakaja kuniomba ushauri.

Basi tukapiga picha TV, lap top na kitanda cha mwenye room tukapost Kupatana kua vinauzwa halafu tukaweka namba za yule dogo kama ndiye muuzaji. TV Samsung LED Flat tuliandika 90K, Laptop Dell Inspiron 14z tuliandika 110K na kitanda cha chuma 5*6 kwa 100K.

Tukamuonyesha mwenye room yale matangazo. Nilicheka sana siku ile, dogo ni mzenji sasa anavyojitetea ndiyo utacheka. Mwenye room akamtimua, tukamfuata dogo tukamwambia ukijirekebisha tunakupigia upatu ili urudi, dogo akakubali kujirekebisha. Tukampigia upatu akarudi mjengoni.

Mi naona hata namba za simu tusigawe kwa watu.
 
Nilishtuka siku naambiwa kuna mtu Instagram amefungua akaunt lakini picha zooote almost 50 ni zangu, kwa kua sipo IG ikanibidi ni install na kwenda kujionea mwenyewe, kuja kupeleleza na bestie wa karibu... nilimind sana akaifuta akaunt.

Sioni tabu kujipost popote au kupiga picha na yeyote, sijui kwann hua napata furaha.
 
Ok hii haihusiani na mada.

Mwaka fulani tukiwa chuo kuna jamaa alipanga room halafu akawa anakaa na wana for free. Kuna dogo yupo diploma akaomba akae pale. Kukawa na jumla watu sita wanaolala mule.

Sasa huyu dogo alikua pasua kichwa yaani kuja kulala na mwanamke huku washkaji wapo pale haikua tatizo kwake. Hachangii msosi, usafi hafanyi, hela ya kununua spray ya mbu hatoi yaani vururu vururu.

Kumwambia mwenye room juu ya huyu dogo mwenye room akajibu "Haya maisha ya chuo tu wote tutapita acheni dogo ale good time" washkaji wakaja kuniomba ushauri.

Basi tukapiga picha TV, lap top na kitanda cha mwenye room tukapost Kupatana kua vinauzwa halafu tukaweka namba za yule dogo kama ndiye muuzaji. TV Samsung LED Flat tuliandika 90K, Laptop Dell Inspiron 14z tuliandika 110K na kitanda cha chuma 5*6 kwa 100K.

Tukamuonyesha mwenye room yale matangazo. Nilicheka sana siku ile, dogo ni mzenji sasa anavyojitetea ndiyo utacheka. Mwenye room akamtimua, tukamfuata dogo tukamwambia ukijirekebisha tunakupigia upatu ili urudi, dogo akakubali kujirekebisha. Tukampigia upatu akarudi mjengoni.

Mi naona hata namba za simu tusigawe kwa watu.
Hahahaha hiyo mbinu kabambe sana, nimeipenda mnooooo.
 
Nilikuaga sielewi kwanini kuna sehemu ukipita huruhusiwi kupiga picha, nilikuwa hata sijui kwanini. Nilikuwa sifahamu kwanini familia flani flani hasa za kifalme sio watu wapenda mapicha picha, kujionyesha onyesha.Nilikuwa sitambui kwanini yote hayo ni "marufuku" kwa aina flani ya watu nilidhani tu sababu ya vyeo na nyadhifa zao.

Lakini sasa nimeelewa kwanini yote hayo yalikuwa yanafanyika, na ninakubaliana nao kuwa walikuwa na wapo sawa hata na sasa. Wote ni mashahidi jukwaaa la MMU watu wakitafuta wapenzi, kwenye social networks tofauti watu wakitafuta wapenzi. Picha nyingi zimekuwa zikitumika huko, na nyingi kati ya picha zinazotomika si za wahusika wenye picha wenyewe na wala wao hata hawajui.

Kama kuna jitu lipo huku linatumia picha yake kudanganya watu, matukio ya namna hiyo ni mengi sana. Umeshawahi kukaa chini ukajiuliza hizo picha wanazitoa wapi? Jibu najua unalo ni humu humu mitandaoni kwenye hizi social media. Ndugu zanguni yawezekana hujawahi ona picha yako ikiandikiwa tangazo ndio mana unaona kama hii haikuhusu ila nataka tu kukwambia "ipo siku".

Ipo nini nimesema? (in teacher mpamire's voice)

Nataka kukwambia nini wewe dada wewe kaka hebu leo kata mazoea ya kujipost post huko kwenye mitandao, kama unapenda picha fanya kama walivyokuwa wanafanya wazazi wetu zamani, nenda studio piga picha safisha weka kwa album, kwa kuwa unapenda show off (wageni wakija wape waangalie).

Wakiondoka si wataacha album nyumbani fresh "You are safe" ila usije ukajidanganya kwamba wewe utaendelea kupost picha tu kwasababu haupost picha mbaya.

Unajipa moyo kuwa unavaa kiheshima kwahiyo huoni uoga kujipost (my dear upo hatarini) hivi umesahau tuko ulimwengu wa teknohama eeeh umesahau.

Si eti, unataka jitoa ufahamu hujawahi ona editing wanazofanyiwa watu (acha ni assume hujawahi). Sasa nikwambie kitu, achana na kupost mapicha kwenye masocial media, ipo day moko utanikumbuka nakwambia tena.

Wengine mnawapost watoto zenu aseee mnakosea nasema mnakosea (mnawaonea hao watoto mnajua) subirini wakikua wajiamulie maisha yao.

Usimpost mwanao wewe mama, usimpost mwanao wewe baba kaa na mwanao ndani jaribuni kuelewa hata kwa ufupi somo lile la "privacy and security".

Mimi leo hiii kuna picha zangu nilizipost kwenye akaunt zangu mahali mahali flani, sasa nimesahau password ya kule, bwana wee shida ninayopata kuzitoa zile picha kule zilipo si ndogo.

Sikulazimishi unielewe kama kawaida yangu mimi naandika ila uamuzi ni wako.

Ukiamua kusoma tu ukiamua kusoma na bila kuchukua hatua ni wewe, ila mpaka siku utakapokutana na picha ako imeeditiwa vilivyo ndio tutakumbukana.

Nime Finish.
Kwa sasa hivi mtu ukiwa na FB account halafu friends list yako inaonekana na watu, halafu una urafiki na watu usiowajua vizuri, hapo unasubiri kuwa cloned tu.

Kwa usalama zaidi.

1. Lock friends list asione mtu zaidi yako.
2. Lock mtu asipost kwenye profile yako bila approval.
3. Lock groups zako zisionekane na mtu zaidi yako.
4. Kumbuka hizi security settings ni kwenye profile yako tu, ukipost kwenye group au profile ya mtu zinaweza zisi apply.
5. Kumbuka mtu hahitaji password yako, anaweza ku copy picha tu na kutengeneza profile nyingine kwa jina lako na kujifanya ni wewe, na kuomba urafiki kwa rafiki na ndugu zako kwa nia mbaya.
 
Picha kuhifadhi kwa hardcopy ni primitive sana
Unaweza kuhifadhi kwa njia hata ya email bila mtu mwingine kuziona. Hata fb unaweza ukazipiga pin vilevile zisionekane
Mkuu mimi natumia Email ila
Nimeshindwa kuzisave vipi kuna uhusiano wa kusave pc kwenye Email na ukubwa wa simu?
 
Back
Top Bottom