Mbona kama umepitwa na wakati bro!!
Em tupe mifano ya watu wenye heshima zao walio suffer kwa 'content'/picha wanazopost labda tutaelewa.,
mtu anawezaje tumia picha yako kutafutia mchumba kikweli kweli?si ipo siku hao wachumba watakutana ,.what is the use?!
tuko zama pia ambazo kuiba identity ya mtu na ukafanikiwa ni ngumu sana esp unapolink techno na real world kufanya verification km huyu mtu ndie au la,.
kuwa edited inategemea imekua edited kuwa nini...u can still prove the original/authentic you/ photo.....you can have an alibi,.
unless km mtu anaposti tu mitandaoni kwa majina feki km humu JF...of which inaweza kuwa reported humu pia!