Dunia hazibadiliki, mitizamo ya watu hubadilika!

Dunia hazibadiliki, mitizamo ya watu hubadilika!

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
12,212
Reaction score
17,005
Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na Hekima,na aombe Dua kwa Mungu,awapaye wote kwa ukarimu,Wala hakemei;naye atapewa.
(Yakobo 1:5).

Zingatia jinsi utamaduni unavyobadilika kadiri muda unavyopita.Kanuni za kijanii zinabadilika: Mambo yaliyokuwa yanakubalika hapo Swali hayakubaliki Tena,na kinyume chaka:

Haya mambo ya Uchawa na kushangilia vitu vsivyo na maana,vitakuja kutuhuzunisha baadae mambo yakiwa ndivyo sivyo.

Yangu ni hayo kwa Leo, Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom