Hekima, busara na uongozi bora wa CCM na Magufuli ndizo zitatuvusha hapa. CCM na Rais Magufuli ni hazina, tunu na rasilimali muhimu kwa Tanzania.

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,486
4,408
Hekima ni uwezo wa kutumia maarifa uliyonayo kwa ajili ya kuzalisha matokeo chanya katika jamii. Biblia na Quran vinasema kuwa hekima inatoka kwa Mungu mwenyewe. Katika Biblia, kitabu cha Yakobo 1:5 inasema’ lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu wala hakemei;naye atapewa’. Katika Biblia, tunaona chanzo cha hekima yote ya mwanadamu ni Mungu mwenyewe na akimuomba MUNGU anapewa. Rais Magufuli ana hofu ya Mungu, na mtu mwenye hofu ya Mungu ana hekima.

Watu wenye hofu ya Mungu, busara na hekima ndio waliowaongoza wana wa Israel kwenda nchi ya ahadi. Joshua alikuwa na hofu ya Mungu, hekima na busara na Mungu alimwambia hivi’ Musa mtumishi wangu amekufa,sasa jitayarishe, vuka mto Yordani pamoja na watu hawa wote , mwingie katika nchi ambayo ninawap’ ( yoshua 1:1,2). Hapo tunaona kwamba Mungu alimchagua Yoshua, baada ya kifo cha mtu wake ili awavushe watu wake. Leo hii jukumu hilo anapewa Rais Magufuli la kutuvusha katika haya. Hakika tutavuka.

Huo ni mtazamo wa biblia katika kuelewa ni namna gani kiongozi mwenye hofu ya Mungu, mwenye hekima na busara anapewa jukumu la kuwavusha wengine na ndiyo maana nina mtazamo kama huo kwa Rais wetu wa kutuvusha kama Joshua alivyopewa jukumu hilo.

Tuangazie mtazamo wa kibinadamu, ni kivipi Rais Magufuli atatuvusha.

Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono, na kupitia kwa maono hayo na utekezaji wake ni kutimia kwa ndoto ya kuwa uchumi wa kati kufikia 2025. Si rahisi hata kidogo lakini matumaini yapo na yatatimia. Dhoruba ni nyingi lakini tanga lipo imara, ngarawa haiyumbi inatembea. Kupitia kwa maono hayo tutavuka, hakika tutavuka.

Uongozi wa mfano wa Rais Magufuli na CCM. CCM ni chama chenye kuonesha dira na muelekeo wa muda mrefu. Uongozi bora wa CCM umekuwa kama dira kwa taifa hili. Mipango, mikakati na sera za kichumi iliyopo chini ya CCM ni Imani tutavuka. CCM kimebeba matumaini ya watanzania na moja ya tumaini hilo ni kuhakikisha nchi inakuwa na uchumi wa kati kwa kutekeleza kwa nguvu sera na mipango. Hakika uongozi bora wa CCM utatuvusha hapa tulipo.

CCM na Rais Magufuli ni tunu, hazina kubwa kwa Tanzania kuelekea uchumi wa kati. Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na mzalendo, ambapo maono hayo ni rasilimali muhimu ya kutuvusha na kuvuka na CCM ni chama chenye uongozi bora ambao unatumika kuandaa viongozi bora kama Magufuli kwa hiyo mchanganyiko wa CCM na Rais Magufuli ni kutimia na kutekelezeka kwa ahadi ya UCHUMI WA KATI. Hekima na busara zikiwemo kwa kiongozi, zinamsaidia kufanya mambo makubwa na kwa kuwa Rais wetu anavyo, tutegemee mambo makubwa kwa Tanzania.
 
Njoni huku muone... Zile ID zimeanza tena na post zake
Screenshot_20190503-171321.jpeg
 
WHAT THE F#CK IS THIS??
 
RUBBISH!

Kama Magufuli ana busara basi kuna pia ng'ombe wanaotaga mayai.
 
Umefikiria kwa kutumia makalio ya bibi yako

Kuwa CCM ni fursa nzuri ya kupiga pesa na kuwa na maisha mazuri yasiyo na hofu Wala vikwazo, but Kama unaishabikia kwa kupewa kanga na kofia huku wenzako wakineemeka wewe ni zaidi ya fara
 
Nimepewa ban nyingi sana pia bado naumwa Ila nadhani napaswa kupewa ban tena kwaajili yako!!
 
ujinga mtupu huu
 
Kuna mapungufu makubwa mno, kuvushwa na aina hii ya utawala na uendeshaji wa uchumi kwa aina hii, na aina ya elimu inayo zalisha wasomi wetu. Ni ndoto ya mwenda wazimu kuwaza mavi yatageuka ubwabwa.

Uongo wa makusanyo na matumizi ni janga lingine baya mno, na ukopaji wa mikopo inayo kopwa kulazimisha miradi mikubwa ambayo tija yake haipo leo ni kitanzi cha huo uchumi wa kati. Nyie ndiyo watangazaji wa takwimu ikifika 2025 sisiem itasema tuko kwenye uchumi tayari mwaweza kusema hata sasa hivi tuko tayari kwenye uchumi wa kati. Una bunge hilo la akina wabunge wa ulanga, kibajaji, msukuma na 0 brain kibao utapenya wapi.

Ngoja kwanza ikwame hiyo miradi ndiyo utangaze vizuri kufikia uchumi wako wa kati.

Bahati mbaya kabisa hatujapata rais wa kuipenda nchi yake isipokuwa Nyerere kidogo. Viongozi wanaowaza sisi twaweza kufanana na maisha na uwezo wa wenzetu wazungu. Badala ya kushughulika na tunachoweza hupenda kushindania vya wenye uwezo ni ujinga.

Viongozi wanaowaza ndege badala ya kilimo, wanaowaza fryover badala ya kupanua mji, wanaowaza reli ya kisasa huku iliyopo inayoweza kumpa pesa za kujenga ya kisasa hawaitaki na kwenda kukopa mikopo isiyolipika ni wa ajabu huyo akiwavusha uongo utageuka ukweli, shetani atakuwa malaika.

Tanzania tutavushwa na kilimo, madini yakichimbwa na kuingizwa kwenye kilimo, mikopo ikaingizwa kwenye viwanda vya kuchakata mazao tena bahati nzuri viwanda vya kilimo ni bei ndogo.

SHANGILIENI hao wasio wapenda ni majizi na wafilisi wa raslimali siku atakapo kuja rais mwenye kuipenda nchi na mwenye uchungu na nchi hii ni yule mawazo yake akili zake ni kulima. Na kuwekeza kwenye elimu ya upande wa kilimo
ENDELEENI KUPONGEZANA
 
Kwa mada za aina hii wacha tu watanzania tuendelee kushika nafasi za mkiani kwa kuishi bila furaha; maana furaha yote tumeamua kuwamilikisha ccm!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom