Dunia haina usawa

Dunia haina usawa

Bado kuna arosto huku?Mkuu Shunie next time jitahidi kuleta mzigo uliokamilika tayari kama ilivyokuwa kwa Malkia wa Goshen ili uweze kujimwayamwaya mwenyewe.Hata hivyo nakupa pongezi nyingi tu kwa jinsi unavyojitolea kutuma mizigo humu.Kosa moja haliwezi acha mke.Nakutakia pasaka njema!
Toka mwanzo nilisema kuhusu hii story kunaweza kuwa na arosto mbele halaf hii nahisi ni story ya kwanza toka nilete ina arosto

Asante sana jackal nakutakia pasaka njema na kwako pia nimependa hapo kosa moja haliwezi acha mke
 
Asante mkuu Shunie
 
Inategemea na ukubwa wa kosa lenyewe
 
@Shinie hii stori hata kuongezewa episode moja imeshindikana?
Haaaa!
 
Mwambie asikilize wimbo wa Alicia Keys-If i ain't got you.

Hivi ile hadithi yako ingine inaendelea au nayo ime simama kama hii.
Wimbo umeniumiza sana, mwambie I will be back!!

Kule inaendelea uwe na usiku mwema jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom