OooohHapana mbili mbona ilikuwepo toka jana
Acha kabisa.Aaah
Hana maana kanipa hasira kweli kweli ku mframe mama wa watu
Matiko ni kama ManjiAcha kabisa.
Nawaza vile atakavyomwekea vikwazo vya kibiashara bwana matiku aliyeamua kumsaidia rose
I love you sista.Ooooh
Niliisoma jana kumbe, wooiii
Love you more brodaI love you sista.
Wooooooiiii[emoji134][emoji134][emoji134]Hakuna kasi sasa hivi amestop kabisa
Haya maa ukuwe na sikukuu njemaSiku mbili hizi tu kila kitu kitakaa sawa mamy
Sante maa[emoji120][emoji120]Soma michirizi ya damu upunguze arosto